Sent from my BlackBerry® smartphone from Vodacom Tanzania
From: Pius Makomelelo <makomelelopius@yahoo.co.uk>
Sender: wanabidii@googlegroups.com
Date: Wed, 3 Oct 2012 11:28:55 +0100 (BST)
To: wanabidii@googlegroups.com<wanabidii@googlegroups.com>
ReplyTo: wanabidii@googlegroups.com
Subject: Re: [wanabidii] Malawi leader to take border dispute with Tanzania to ICJ
Elisa, umenena! Huyu katoka majuu juzi tu, na mara moja kufika nyumbani anatoa tamko hili! Nani yuko nyuma yake? Hatujui. Wataalamu wetu wa usalama tufungulieni hili pazia tuone kilichoko ndani na tumtambue adui yetu halisi. Cha muhimu tusikubali kutishwa. Sijawahi kusoma historia ya TZ yenye kuonyesha TZ kuvamia eneo la Malawi! Natamani kujua Baba wa Taifa alikabidhiwa ramani ipi wakati wa uhuru. Ikuru au makumbusho yetu hawana nakala? Aaaah, au tuachane na hilo, natambua siyo leo tunayahitaji yale maji, siku zote tumekuwa nayo tunayatumia na tungependa kuendelea kuwa nayo. Hatutaki tufikie mahali wananchi wetu wote kwenye mwambao walazimike kuwa na passports na kuomba visa sijui ya kudumu kwa ajili ya kuchota maji ya ziwa nyasa lililowakuza na kuwahudumia siku zote toka enzi za kale.
From: ELISA MUHINGO <elisamuhingo@yahoo.com>
To: wanabidii@googlegroups.com
Sent: Wednesday, 3 October 2012, 12:00
Subject: Re: [wanabidii] Malawi leader to take border dispute with Tanzania to ICJ
--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
From: ELISA MUHINGO <elisamuhingo@yahoo.com>
To: wanabidii@googlegroups.com
Sent: Wednesday, 3 October 2012, 12:00
Subject: Re: [wanabidii] Malawi leader to take border dispute with Tanzania to ICJ
Inaonekana huyu mwanamke alifikiri wakati mgogoro unatatuliwa zziwa litaendelea kuwa mali ya Malawi. Kwa nini hakufikir wakati mgogoro unaendelea kutafutiwa ufumbuzi sehemu inayodaiwa kuwa ya Tanzania itaendelea hivyo? Kama Tanzania inafikiri sehemu ya Ziwa ni mali yake alifikiri (Tanzania) ikitoa ramani itakuwa inafananaje? Ni kama ana uhakika kuwa atapata 'haki' huko anakokwenda. Ni vizuri Tanzania ikapima kama itatendewa haki. Kama hakuna basi hakuna haja ya kwenda na kauli ya Lowasa inaweza kuwa na maana --- On Wed, 10/3/12, Charles Banda <chasbanda@gmail.com> wrote:
|
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
0 comments:
Post a Comment