Tuesday 16 October 2012

Re: [wanabidii] MAINLANDERS TO BE FINGERPRINTED AS FOREIGNERS IN ZANZIBAR!

All animals are equal but some are more equal than others...

2012/10/16 Said Issa <saidissa100@yahoo.com>
Kaka Lushengo,

Tafadhali jiweke wazi. Hatujakufahamu. Kipi kinachokuchafua? Huko kupigwa marufuku kwa pombe au ukahaba?

Hivyo ni kosa kwa Regional Commissioner wa Mwanza kutaka kujua nani ni kutoka Mwanza na nani anapita tu kikazi?

Hebu soma tena nia ya huu mswaada!

...bin Issa.

From: Lushengo Lutinwa <lutinwa@gmail.com>
To: wanabidii@googlegroups.com
Sent: Tuesday, October 16, 2012 12:33:24 PM

Subject: Re:[wanabidii] MAINLANDERS TO BE FINGERPRINTED AS FOREIGNERS IN ZANZIBAR!

Anything about our Eastern neighbour kinanichefua
On Oct 16, 2012 7:18 PM, "John Nkumbaruko" <nkumbaruko@yahoo.com> wrote:

Nd Kiwasila, Muhingo, Mwakyembe, Monica Malle na wengine, mlikuwa wakali huko nyuma, je, sasa mtakula dongo????

Jana, hawa ndugu zetu wamepiga marufuku POMBE na leo wanataka kuchukuwa alama za vidole 
za Wabara kama vile sisi tunatoka Kenya, Uganda, Rwanda, etc. This will definitely require
a full set of fingerprints, including both rolled and flat impressions of probably all ten fingers
as conducted in criminal record checks.
Suala ni kuwa, je, hawa ndugu zetu wanatutaka bado?

//John Nkumbaruko

N.B.
Jamani, tusilirukie tu hili suala bila ya kufikiri sana. 
Zanzibar zamani watu wakienda kusali misikitini ilikuwa maduka hawayafungi, lakini leo inabidi sio wafunge tu bali pia waweke walinzi.
Zamani Unguja kabla hatujaenda sisi walikuwa hawana uhalifu wa silaha, leo silaha inatumika kuliko DSM na sote tunajua kuwa zinatoka wapi.
Zamani Zanzibar kulikuwa na bar mbili tu - pale Zanzibar Hotel na Afrika House, leo bar zimejaa kuliko DSM na wanywaji ni kutoka Bara.
Pia tufahamu kuwa leo unaingia ZNZ kama vile unakuenda Mwanza - yaani bila ya passport. Kutokana na Soko la Africa Mashariki watakaoingia kiholela ZNZ sio sisi tu bali the whole of East Africans!
From the above points,I think Zanzibaris have every right to preserve their smallness and their islamic culture!

--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
 
"Vision is the ability to see the invisible!"
Hamisi A. Kigwangalla, MD, MPH, MBA
P.O.Box 22499,
Dar es salaam.
Tanzania.
Phone No: +255 754 636963
                +255 782 636963
website: www.peercorpstrust.org or www.hamisikigwangalla.com
Email: hamisi.kigwangalla@peercorpstrust.org or info@hamisikigwangalla.com
Skype ID: hkigwangalla
Blog: blog.hamisikigwangalla.com 

--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
 
0 comments:

Post a Comment