Tuesday 16 October 2012

RE: [wanabidii] Mabomu Mbagala Kizuiani

Amen.Ninayo furaha kuu kwani wakati
wa kusimama na kuzungumza kwa ujasiri juu ya dini za watanzania unawadia.Hawa wenzetu inabidi watuelewe wazi kuwa vurugu zao,unafiki.na ukosefu wa ustaarabu ndio vinawafanya waonekane ni jamii hatari na isiyostaarabika.

Hakuna rangi yeyote ya kuwapaka na kuwafanya safi zaidi ya wao wenyewe kuchukua msasa na kujisafisha.Banza stone aliimba elimu ya mjinga ni majungu.Hakuna maisha bora if u dont invest.Let alone the church of Tanzania that helps in bringing development and prosperity.

------------------------------Ngupula
On Tue, Oct 16, 2012 16:27 EEST Demetria Kalogosho wrote:

>Someni Wagalatia 5:22 na Mhubiri 10:2
>
>
>
>From: wanabidii@googlegroups.com [mailto:wanabidii@googlegroups.com] On
>Behalf Of Irene Mwasaga
>Sent: Tuesday, October 16, 2012 3:24 PM
>To: wanabidii@googlegroups.com
>Subject: Re: [wanabidii] Mabomu Mbagala Kizuiani
>
>
>
>'Hata sasa nimefarijika sana na Utulivu wa washirika wa makanisa
>yaliyofanyiwa vurugu, utulivu huo ndo Ukristo wenyewe, kutolipiza kisasi
>ndio Ukristo wenyewe, Kuomba Mungu wakati wa mambo kama haya ndio Ukristo
>wenyewe, kutochochea hasira na chuki dhidi ya wanaofanya vurugu ndio Ukristo
>wenyewe, kushughulikia kutatua mambo kwa hekima, busara na maarifa ndio
>Ukristo wenyewe! Kuendelea kuhubiri kwa
>
>hekima na upendo na kuwavuta watu wote kwa Yesu wa dini zote ndio Ukristo
>wenyewe, kutambua kuwa Kanisa la Yesu si jengo tu bali ni watu waliozaliwa
>mara ya pili, waaaminio, Ndio Ukristo haswaaa, Kulinda heshima ya Ukristo na
>Values yaani mambo ambayo Ukristo unathamini ni muhimu sana wakati kama huu
>...yaani Pressure inapokuja, dhoruba inapokuja, vitisho vinapokuja,
>mashambulizi yanapokuja Je Values zipo strong, zinalindwa, Je Bwana
>akiangalia atakuta values tulizopewa zipo yaani Imani, Amani, Upendo, umoja,
>Upole, utu wema, Rehema, Huruma, Masamaha, Upatanisho, Heshima, uvumilivu,
>Hekima, uadilifu, na Utakatifu.'
>
>Nukuu toka Rev Abel Orgenes
>
>
>
>From: Hildegarda Kiwasila <khildegarda@yahoo.co.uk>
>To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
>Sent: Friday, 12 October 2012, 16:27
>Subject: Re: [wanabidii] Mabomu Mbagala Kizuiani
>
>
>
>ITV muda huu RPC, RC na Shehe Mkuu DSM wameeleza kisa. Vijana 2 age 12
>wakibishana mmoja mwislamu mmoja mkristu. Mwislamu kashika Qurani kamwambia
>mwenzake huko Chamazi kijijini kwao kuwa akiikojolea atadhurika atageuka
>panya au mjusi etc. Mwenzake baada ya mabishano ya muda mrefu akatoa mdudu
>akakojolea. Mwenye quran akaenda home akamwambia baba, suala likafika kwa
>mjumbe hadi polisi kata. Taarifa zikapokewa kuandika na kuzagaa. Waislamu
>wakavamia kituo cha polisi chamazi na kuvunja magari, vioo vya madirisha etc
>wakimtaka kijana aliyeletwa hapo atolewe nje auawe whatever!! Wakapanga mawe
>polisi ili magari kutoka polisi nyingine yasiingie. Wakazagaa kuchoma
>makanisa mawili matatu, imezagaa barabara ya temeke kuja mjini DSM. maonyo
>yametolewa kuomba amani. Kova, RC na Sheikh wameeleza hao ni watoto si vema
>wakubwa kuchukua sheria mkononi. FFU walikwenda chamasi na kuwataka
>watawanyike waondoke kituoni na kuacha fuje. Wachache waliondoka wengi
>hawakuondoka na kuanza kuharibu mali za watu na makanisa. Kifua kimepata
>mkohoaji, nchi itawaka moto sio Chamazi na Temeke tu. Onyo limetolewa kwa
>waendao na magari na queue ni ndefu zahama ndio hiyo. Amani, Amani, Amani.
>Siku wakristu watakapoinua mkono kulipiza kisafi kuchoma kamsikiti hata kama
>ni ka make-shift kamojawapo hatujui itakuwaje. Vibaka usiku waleo ndio
>wamepata pa kuchotoeavya watu. Tujiangalie kwa nia njema. Tuone mifano kwa
>wenzetu. hapo Mwenge na Ubungo kuna mihadhara inayokashifu wakristu daily
>wanatumia loud speakers na kujibizana lakini wakristu wapo wananunua tu
>mitumba, nyanya na sangara hakuna anayechoma msikiti wala kuwavamia. Tujenge
>uvumilivu pande zote. Miji mingine imeambiwa iweke tadhadhari. Limejambwa
>Dar litanuka kote TZ.
>
>Mungu ibariki TZ, tufunue fikra tujue jinsi ya kuishi ktk ukweli sio
>visingizio. Waendao Temeke wametakiwa kujiangalia.
>
>
>
>
>From: Peter Lwegasira <petermakatu@yahoo.com>
>To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
>Sent: Friday, 12 October 2012, 14:21
>Subject: Re: [wanabidii] Mabomu Mbagala Kizuiani
>
>
>
>Hii njia ya kujichukulia sheria mkononi ndilo linalonipelekea kuwashanga
>hawa ndugu zetu.
>
>
>
>From: Joseph Beda Rupia <rupia.joseph@gmail.com>
>To: wanabidii@googlegroups.com
>Sent: Friday, October 12, 2012 1:40 PM
>Subject: Re: [wanabidii] Mabomu Mbagala Kizuiani
>
>
>
>Inasemekana kuna kijana aliikojolea Koran Tukufu jana, sasa leo Waislamu
>wanamsaka wamuue ndio chanzo cha ugomvi au vurugu hizo na polisi.
>
>Joe Beda
>MHARIRI TABIBU
>
>2012/10/12 Marcus FALINZUNGU <marcus.falinzungu@wfp.org>
>
>
>
>Wanabdii;
>
>Mimi niko Kigoma, familia iko Mbagala-DSM
>
>Nasikia kuna ugomvi na mabomu kati ya Waislamu na polisi kituo cha Kizuiania
>
>Mlio karibu tuambieni kulikoni??
>
>
>
>Rgd
>
>Marcsu
>
>
>
>
>
>--
>Karibu Jukwaa la http://www.mwanabidii.com/
>Pata nafasi mpya za Kazi http://www.kazibongo.blogspot.com/
>Blogu ya Habari na Picha http://www.patahabari.blogspot.com/
>
>Kujiondoa Tuma Email kwenda
>mailto:wanabidii%2Bunsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya
>kudhibitisha ukishatuma
>
>Disclaimer:
>Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
>consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be
>presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to
>this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>
>
>
>
>--
>Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
>Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
>Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
>
>Kujiondoa Tuma Email kwenda
>wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
>ukishatuma

>wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>
>Disclaimer:
>Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>
>

--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

0 comments:

Post a Comment