Tuesday 2 October 2012

Re: [wanabidii] Kutoka Mbeya : Magari yagongana na kuwaka Moto

Kuna taarifa kuwa lori la mafuta limegongana na hiace na pickup, hakuna uhakika watu wangapi wamekufa lakini kuna watu wamepoteza.
Ajali imetokea eneo la mbalizi unapomaliza mteremko ukitokea mbeya mjini.
Nafikiri taarifa zaidi tutazipata baadaye.
Daud

2012/10/2 Yona F Maro <oldmoshi@gmail.com>
Ndugu zangu

Nimesikia huko mbeya kuna magari yamegongana na kuwaka moto na baadhi
ya watu wamefariki kwenye tukio hili .

Mwenye taarifa zaidi atupatie

--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

0 comments:

Post a Comment