Tuesday 2 October 2012

Re: [wanabidii] Hospitali ya Dr Ngoma wataka kunitoa Roho

Ndugu Demetria acha masihara, kama kupata mlo wa kila siku ni issue
kwa watanzania tulio wengi itawezekana vipi kutibiwa India? Kwa nini
usingemshauri aende hospitali au zahanati za serikali? Nampa pole huyo
bwana na namuombea apone haraka. Tatizo tulilonalo ni lile lile
waliloibua madakatari wakati wa mgomo. Tuziwezeshe Zahanati pamoja na
hospitali zetu ili watu wawe na imani nazo kwa ajili ya matibabu
badala ya kwenda vichochoroni.

2012/10/2 Tracy John <tracykwetu@gmail.com>:
> Ndio zake huyo mzee muogopeni
>
>
> 2012/10/2 weston mbuba <matutetz@yahoo.com>
>>
>>
>> Pole kaka.
>> Hizi hosp nadhani nazo zina makanjanja. Shangazi yangu aliwahi kupewa dawa
>> za ukoma ilhali anaumwa malaria. Mke wangu aliwahi kuambiwa ana sifilisi
>> nikashangaa. Binafsi ninamwamini sana. Tuwe makini na hosp
>> hizi.------------------------------ On Tue, Oct 2, 2012 05:59 PDT Juma Mzuri
>> wrote: >Ebwana ehh nilijisikia vibaya kichwa kinaniuma jana nikaamua kwenda
>> >hospitali ya dr ngoma iliyopo mwenge karibu na gorofa za jeshi . > >Ebwana
>> wakanipiga sindano na kunitaka nilazwe hapo mwili wote ukaanza >kufura mpaka
>> baadaye jamaa yangu alipokuja kunicheki akagundua dawa >walizonipa sio
>> sahihi nikaondolewa hospitalini hapo > >-- >Karibu Jukwaa la
>> www.mwanabidii.com >Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
>> >Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com > >Kujiondoa Tuma
>> Email kwenda >wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya
>> kudhibitisha ukishatuma > >Disclaimer: >Everyone posting to this Forum bears
>> the sole responsibility for
>> any legal consequences of his or her postings, and hence statements and
>> facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies
>> that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and
>> Guidelines. > >
>>
>> --
>> Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
>> Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
>> Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
>>
>> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
>> ukishatuma
>>
>> Disclaimer:
>> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
>> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be
>> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to
>> this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>>
>>
>
> --
> Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
> Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
> Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
> ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be
> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to
> this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>
>

--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

0 comments:

Post a Comment