Tuesday 2 October 2012

RE: [wanabidii] Dondoo Ya Nani Kapigwa Chini, Nani Kapeta NEC – CCM 2012 - Mwanzo

-----Original Message-----
From: ELISA MUHINGO
Sent: 02/10/2012, 14.50
To: wanabidii@googlegroups.com
Subject: Re: [wanabidii] Dondoo Ya Nani Kapigwa Chini, Nani Kapeta NEC – CCM 2012 - Mwanzo

nafikiri hii itapunguza uDaresalaam.
Kila kiongozi hasa wa kuchaguliwa kila akishachaguliwa anahamia Dar. Anawaacha waliomteua.
Ni jambo la wazi si wabunge wote wanaonekana kuyajua matatizo ya wananchi wake.
haiwezi kushangaza kuwa Sumaye baada ya kuwa waziri mkuu alihamia Dar na alirudi juzi kuoma kula. Wakamnyima kura akakosa  kula. Chipukizi wajifunze.

--- On Mon, 10/1/12, Magiri paul <kiganyi@gmail.com> wrote:

From: Magiri paul <kiganyi@gmail.com>
Subject: [wanabidii] Dondoo Ya Nani Kapigwa Chini, Nani Kapeta NEC – CCM 2012 - Mwanzo
To: wanabidii@googlegroups.com
Date: Monday, October 1, 2012, 9:53 PM

UTARATIBU mpya wa CCM kufanya uchaguzi wake wilayani badala ya taifani ilivyokuwa awali, umeanza kuonesha mabadiliko makubwa na athari mbaya kwa vigogo wakiwamo mawaziri.Hali hiyo imejitokeza pale ambapo baadhi ya vigogo ambao katika utaratibu wa awali wasingetarajia kuangushwa katika kinyang'anyiro cha uongozi, wamejikuta 'wakiangukia pua'.Baada ya juzi Waziri Mkuu mstaafu, Frederick Sumaye kuangushwa na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Uwekezaji na Uwezeshaji, Mary Nagu, Naibu Waziri wa Kazi na Ajira, Makongoro Mahanga naye ameangushwa na mfanyabiashara maarufu Ramesh Patel katika kinyang'anyiro cha ujumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC). Kana kwamba haitoshi, Meya wa Jiji la Dar es Salaam, Didas Masaburi naye ameambulia patupu katika kinyang'anyiro cha ujumbe wa Mkutano Mkuu wa Taifa. Juzi Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Vijana na Michezo, Amos Makalla alibwagwa na Mbunge wa zamani Suleiman Saddiq Murad.
http://wotepamoja.com/archives/7839#.UGpzFTqEsXE.gmail
--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
 
0 comments:

Post a Comment