elisa ana chuki binafsi tu na EDO
Tuleteee wa kwako elisa humu unaandika point za kudandia tu na zisizo na punde ya ukweli kulazimisha watu wamchukie EDO sasa kwa taarifa yako watu wameng"amua janja zenu za kumpaka tope mpiganaji na mkomozi wetu aliesalia...richmond richmond wewe un ajua abc za richmond....ukiambia usimame mahali useme utadhubutu, acha zako mzeeee? Lowasa hashawishi watu bali watu wanmshawishi kwakua wamemkumbuka na wana imani nae fullstop
From: 'shedrack maximilian' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
To: wanabidii@googlegroups.com
Sent: Wednesday, March 25, 2015 7:03 AM
Subject: Re: [wanabidii] RICHMOND ITATUCHAGULIA RAIS TUSIPOKUWA MACHO
Kila mwenye uwezo na sifa ajitokeze au ashawishiwe .Hata wewe Elisa tumia nafasi hiyo kumshawishi unayefikiri anafaa!!!
--------------------------------------------
On Wed, 25/3/15, 'eid omari' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
Subject: Re: [wanabidii] RICHMOND ITATUCHAGULIA RAIS TUSIPOKUWA MACHO
To: wanabidii@googlegroups.com
Date: Wednesday, 25 March, 2015, 9:12
Safi Elisa kwa mtazamo
wako, i like that........................
Omary Iddy,DAGROFORESTRY RESEARCH TANZANIA
FORESTY RESEARCH INSTITUTE(TAFORI)P.O BOX
1257,SHINYANGATANZANIA.Tel:+255 28 276 3249MOBILE:+255 713
728 672FAX:+255 28 276 2198EMAIL:eidomari@yahoo.com
--------------------------------------------
On Wed, 3/25/15, 'Reuben Mwandumbya'
via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
wrote:
Subject: Re:
[wanabidii] RICHMOND ITATUCHAGULIA RAIS TUSIPOKUWA MACHO
To: "wanabidii@googlegroups.com"
<wanabidii@googlegroups.com>
Date: Wednesday, March 25, 2015, 7:49 AM
Elisa
&
Chamani;You have
said it all.Thanks Reuben
On Tuesday, March
24, 2015 6:38 PM, amour chamani <abachamani@gmail.com>
wrote:
Unapata tabu ya
bure.
Bagamoyo iwe na Mashehe 80 bado tu hujaelewa?
Walewale.
On Mar 24, 2015 11:35 PM,
"'ELISA MUHINGO' via
Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com>
wrote:
TUSIPOANGALIA RICHMOND
ITATUCHAGULIA RAIS
Ambaye hakijui kisa cha mtoto mdogo kumuumbua
mfalme kuwa
anatembea uchi mbele ya watu
wazima waliokuwa wanaogopa
kumsema
'vibaya' mfalme anisamehe maana sitakieleza.
Lakini ningependa kusema mimi katika utoto
wangu nawaonyesha
watu wazima habari za
mfalme anayetembea uchi mbele zetu.
Nadhibitisha kuwa mimi ni mtoto mdogo sana nilizaliwa saa
9
usiku wa kuamkia 5 September 1952 katika
zahanati ya
Kashasha. I am a young boy of
63 years now.
Mfalme mwenyewe ni watu hawa
wazima walioitikia kwa
kupotosha wito wa
Rais wetu Dr. Jakaya Kikwete kuwa
Inawezekana kumpata rais kwa kumshawishi mmoja wetu
ambaye
hata kama hataki lakini kama anaweza
kunamshawishi.
Watanzania wote tunajua kuwa
wapo wanachama wa CCM ambao
wanatumikia
adhabu ya kuangaliwa mwenendo wao baada ya
kuonekana wanapiga kampeni ya kugombea uRais kabla ya
wakati. Waliofungiwa kufanya hivyo ni pamoja
na waziri Mkuu
aliyejiuzuru kwa Kashfa
Mpendwa wetu Edward Lowasa, Benard
Membe,
January Makamba, Wasira na kadhalika.
Moja kati
ya matendo waliyokuwa wanafanya ni kujipitisha
kwenye makanisa na misikiti kujidai wanatoa
michango. Watu
wenye akili wakatafsiri
matendo hayo kuwa ni rushwa ya
kutaka
waungwe mkono wakati wa kugombea urais
Tamko la rais kuwa tunaweza kumshawishi mmoja
wetu ambaye
japo hajajitokeza na labda
hataki kujitokeza bila shaka
yoyote kwa mtu
mwenye akili za kawaida (kila mtu ana akili
lakini si kila mtu anzo za kawaida) anajua kuwa rais
aliowasema sio wale waliokwisha kujitokeza na
kuonyesha nia
ya kuutaka urais mpaka
kufikia hatua ya kufungiwa kuutaka
urais.
Haiingii akilini.
Kitu
cha ajabu na cha kushangaza watu wazima, viongozi wa
dini eti wameenda kumshawishi mwenzetu Edward
Lowasa,
'kumuomba' 'akubali'
kugombea urais. Haiingii
akilini katika
maeneo mengi.
Tuanzia
hapa:
i Yapo
maazimio ya Bunge kuhusu
kashfa ya Richmond
ambayo nadhani hayajatekelezwa na
serikali.
Kama yakitekelezwa huwezi kujua kama hayawezi
kudhibitisha uchafu wa wahusika akilwemo
Lowasa wetu.
ii
Kashfa muhimu na kubwa ni kuwa
capacity
charges zilizotamkwa ndani ya ripoti ya tume ya
bunge ina mgao wa wahusika na haijulikani kama
EL hayumo
iii
Katika michango ambayo EL alikuwa
akitoa
makanisani misikitini na kwingineko inadhaniwa kuwa
huenda sehemu yake inatokana na mgao huo.
iv Kulionekana
dalili kuwa kuna mambo
tume ya Bunge chini
ya Dr. Mwakyembe ilibakiza mambo fulani
ambayo ingeyatoa kuna watu wangepata shida. Tunakumbuka
aliposema aliwahi kufuatwa na mke wa mtu
fulani kumsihi
afiche ukweli wa ripoti. EL
hakuacha kutajwa katika hilo.
V Na kadhalika.
Taifa letu
lina matatizo makubwa sana. Mengine ni nyufa
alizozieleza Mwalimu Nyerere mwaka 1995. Sasa
zimemeguka na
kuwa kubwa zaidi. Rushwa sasa
imezidi na kupata jina
advanced tunaiita
UFISADI.
Kila mwenye
akili timamu yuko anaumiza kichwa akitaka kujua
tufanyeje ili tupate kiongozi bora na tumjueje
ambaye si
fisadi. Kila mwenye akili
sawasawa anajua kuwa aliyekwisha
tajwa kwa
hilo hafai hata akitaka kutumia njia zake kuupata
urais.
Sasa
katika mazingira hayo:
1. Viongozi wetu ambao walikuwa
wakipokea michango hiyo haramu wajisafisheje mtu akisema
walinunuliwa na kuandaliwa kwa wakati kama
huu?
2. Viongozi
wetu hao wana upeo kiasi
gani kukubali
kutumiwa kihuni namna hii? Kweli walilenga
kwenda kumshawishi Lowasa agombee kwa sababu wameona
amekaa
kimya yaani hafurukuti kugombea?
Yaani viongozi wetu
walidhani
hawatajulikana kuwa lazima wamehongwa kufanya kazi
hiyo?
3.
Wanaweza kusimama na kujitetea mbele
ya waumini wao kuwa walifikiri Lowasa hatajitokeza
kugombea
ndiyo maana waliamua kumshawishi
na kumchangia fedha?
Wameona wamejitokeza
wangapi mpaka wakahofu kuwa huenda
asijitokeze?
4.
Wanataka Lowasa aje alisaidie taifa
hili
kufanya nini? Wanaona taifa halina nini? Wengine
tunaona taifa ni tajiri, Lina raslimali, lina
watu wapole
waelekevu. Shida linakosa
kiongozi wa kuukabili ulafi na
kujilimbikiza mali ili mali iliyopo itumike vizuri. Kweli
mtu mwenye kashfa ya namna iliyo kwenye ripoti
ya Tume ya
Bunge anaweza kupendekezwa na
viongozi wa dini? Hii balaa.
Viongozi hao
ambao ni waombezi wa Taifa hili kweli wana
dhamira njema?
Siwaelewi.
Viongozi hawa wamejua jinsi ambavyo Lowasa
ameleta mgogoro katika viongozi wa kimila wa kimasai? Na
kuwa mgogoro huo ni uimla wa kutaka
kuwabambikizia
wanaMonduli mtu anayetaka
amrithi ubunge yeye atakapo kuwa
rais?
Ndiye wanayetaka aongoze taifa hili?
Lowasa
anaweza kuwa rais lakini nafikiri viongozi wa dini
wasingependa kuwa sehemu ya waliomsaidia.
Lowasa amesemwa
sana. Kwa hiyo anaweza kuwa
rais na akawa mzuri sana hivyo
kutukomesha
tunaomsema. Lakini akiwa mbaya kuna
atakayeshangaa?
Rais Kikwete alipoupata
urais wakati watu wakitabiri nani
atakuwa
waziri Mkuu wapo waliomtaja Lowasa. Wako waliosema
haiwezekani akawa Lowasa. Sababu zilikuwa kwa
sababu ni
rafiki wa JK basi (JK) atashindwa
kumdhibiti. Waliosema
anaweza kuwa Lowasa
walisema atajitahidi kutomudhalilisha
rafiki yake? Nini kilitokea? Unawezaje kumwamini Lowasa?
Mimi nawashangaa viongozi wa dini . si
viongozi wa siasa wa
chama chake. Hayo
tumeyazoea. Mitandao ilikotufikisha ni wao
hakuna zaidi. Siwashangai wanafunzi. Wao ndivyo
wameelekezwa
na wanamtandao na ni haki yao.
Wanakomea hapo. Siwashangai
vijana wa
bodaboda. Hao tumewazoea. Tunawakuta wakishajaziwa
mafuta ya pikipiki zao basi. Nini zaidi.
Lakini viongozi wa
dini???? Nitaendelea
kuwashangaa.
Elisa Muhingo
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email
kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone
posting to this Forum bears the sole
responsibility
for any
legal consequences of his or her postings, and
hence
statements and facts must be presented responsibly.
Your
continued membership signifies that you agree to
this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.
---
You
received this message because you are subscribed
to the
Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop
receiving
emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole
responsibility
for any legal consequences
of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree
to this
disclaimer and pledge to abide by
our Rules and
Guidelines.
---
You
received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this
group and stop receiving emails
from it,
send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole
responsibility
for any legal consequences
of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree
to this
disclaimer and pledge to abide by
our Rules and
Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to
the
Google Groups "Wanabidii"
group.
To unsubscribe
from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole
responsibility
for any legal consequences
of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree
to this
disclaimer and pledge to abide by
our Rules and Guidelines.
---
You received this
message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop
receiving emails
from it, send an email to
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.
--
Send
Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to
this Forum bears the sole responsibility for any legal
consequences of his or her postings, and hence statements
and facts must be presented responsibly. Your continued
membership signifies that you agree to this disclaimer and
pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message
because you are subscribed to the Google Groups
"Wanabidii" group.
To unsubscribe
from this group and stop receiving emails from it, send an
email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
0 comments:
Post a Comment