wanajukwaa,
nimekutana na Mwl Lwaitama katika mitaaa mbali mbali ya mji wa bukoba,
kweli huyu mzee ukimuona hana atofauti na mkulima wa kawaida wa
kijijini bumai, anavaa simpo sana na muda mwingi utembea kwa miguu,
hana makuu na siku hizi amekuwa na tabia ya kuvaa kibaragashehe
kichwani, kama Mwl Lwaitama alivaa kikawaida siku ile, mhudumu wa
ndege alitaka kumtoa ushamba mkulima huyu na kumwonyesha kazi ya
polisi nini na kumtia adabu
lakini kama Mwl L angetinga suti au nguo za bei ghali na kuwa na
business card kubwa au kama angejitambulisha kuwa yeye ni mhadhili
mstaafu wa UDSM na sasa JOKUCO na ana PhD, mwandishi wa vitabu na
machapisho kibao, wale waliofanyia hivi wasinge mtoa nje ya ndege wala
nini
ukawaida Mwl L huu unamfanya aone hali halisi ya maisha ya watanzania
na ni mapambano tosha.
mhudumu hakujua kuwa huyu ni Mwl wa kizungu tena ngazi za juu, laiti
angalijua. na bila shaka kiingereza cha Mariam Jumanne kilikuwa ni
kama cha kwangu cha ze kamu ze go,
On 02/02/2014, Finnigan wa Simbeye <f_simbeye@yahoo.com> wrote:
> Mwl. Dk Lwaitama,
>
> Huna haja ya kutoa maelezo marefu hapa ili kuwaridhisha baadhi yetu ambao
> ama hawajui taratibu za kutoa maelezo ndani ya ndege au kwa makusudi yao
> wenyewe wanaona ulifanyiwa sawa na mhudumu huyo wa Precision kwani nao
> hawakupendi na labda hata lugha yetu ya taifa hawaipendi maana jambo hili
> lipo wazi kabisa, hamna haja ya kubishana!!
>
> wa Simbeye
>
>
>
>
>
>
>
> On Sunday, February 2, 2014 2:26 PM, Azaveli Lwaitama
> <kerezesia_mukalugaisa@hotmail.com> wrote:
>
> Utetezi wa Mhudumu wa Precision
> Bariki,
> Siwaelewi wale mnaotetea mhudumu wa ndege kunitoa nje ya ndege kwa kumshauri
> kwa nini hasitoe maelekezo kwa Kiswahili vile eti vile mhudumu mwingine
> siku nyingine aliisha nitolea maelezo kuwa hivyo ndivyo walivyoelekezwa na
> wakubwa wao kufanya. Kwanini eti mimi nipate muda wa kwenda kwa wakubwa wa
> Precision kuwaeleza wakati mimi nilidhani kwa kuwaeleza wahudumu wengi
> iwezekanavyo basi wao watawaeleza maeelezo yangu wakubwa wao na
> watabadirisha maelezo haya. Hivi nikienda hoteli nikatoa ushauri kwa
> wahudumu wa chini juu ya maboresho watanitupa nje ya hoteli au watakwenda
> wao kwa wakubwa wao na kuwaeleza ushauri wangu. Mimi siwachukulii wahudumu
> kama mashine za roboti na kampuni nzuri lazima iweke muda wa kupata ushauri
> wa wahudumu wao kadiri na wao wanavyopata malalamiko ya wanao wahudumia.
>
> Hivi ili swala la mimi kurudia rudia ushauri wangu kwa kila mhudumu
> anayeniuliza kama najua Kiingereza ilianipe maelezo kwa kutumia Kiswahili(
> maelezo ambayo hata juu ya mlango wa dharura kwenyewe yametoleawa tafsiri ya
> Kiswahili) ni swala liliitaji mhudumu kusema kwa hasira eti nitakutoa nje ya
> ndege na kweli akatengeneza mazingira ya uongo ya kumshaawishi rubani
> kunitoa nje ya ndege eti nafanya fujo? Hivi kweli mimi nilitarajiwa nitenge
> muda kuandika kwa uongozi wa juu wa Precision kuwaelezea wahudumu wao wawe
> wanatoa maelezo yale kwa Kiswahili wakiombwa na abiria wafanye hivyo?
> Sielewi utetezi huu wa mhudumu kutenda kazi kwa kiburi na kama roboti
> kunatokana na kunichukia mimi kama mimi au ni kweli kama mtu ungekuwepo pale
> ukaona mhudumu alivyopoteza muda mwingi kutengeneza mazingira ya kunitoa nje
> nje ya ndege kwa kudhubutu kumwambia je si ungeweza ukatoa hayo maelezo?
>
> Yaani mtu unatetea mhudumu wa ndege kumwamisha abiri kwenye kiti alichopewa
> na ndege yenyewe na tayari ameisha kaa na kufunga mkanda amaulizwa kama
> anajua Kiingereza akasema najua kidogo au hakijui kabisa? Yaani abiria
> huyu hasiye jua Kiingereza RUKSA kudhalilishwa hata kama maelezo hayo hayo
> ytayari yamewekwa juu ya mlango wa dharura huo huo kwa tafsiri ya
> Kiswahili? Potelea mabali HATA kama Cabin Crew Manual ya Precision inasema
> kitumike Kiingereza kutoa maelezo ya kufungua mlango wa dharura? Huku
> mhudumu huyo huyo anayatoa maelezo mengine yote kwa abiria wote tafsiri ya
> Kiswahili hicho hicho?
>
> Yaani ni sawa tu abiria abughudhiwe kwa kuamrishwa kwa kiburi kuondoka
> kwenye kiti alichoisha kaa na kufunga belti eti vile hajui kiingereza au
> anajua kidogo kidogo? Yaani mimi ninaambiwa eti NINGEVUMILIA na kunyamazia
> ujuha huu na eti baadaye , kwa muda wangu ninge kaa chini niuandikie
> uongozi wa juu wa Precision nieleze haya yote kwenye barua pepe kwa CEO wa
> Precision KUPUSHA madhara ya KUMSUMBUA mhudumu wa Precision vile hasitaili
> kuulizwa kwa nusu sekunde kwa nini hasitoe maelezo haya kwa Kiswahili?
>
> Mtu hasiyejua lugha ya taifa Kiswahili ni mtu hasiye na thamani kiasi hiki?
> Na Mtanzania ananilaumi mimi ( eti mtu wa hadi yangu???) kwa kujitolea
> kutetea matumizi ya Kiswahili kwa nusu sekunde lakini anamtetea mhudumu
> anaye dharau mtu hasiyejua Kiswahili wa aina hii, kweli? HUO NDIO USOMI WA
> AFRIKA, ETI? Mungu ibariki Afrika. Mungu ibariki Tanzania. Nadhani utetezi
> waina hii ni ule ambao ungemtetea mhudumu wa hoteli ya wazungupekee Afrika
> ya Kusini aliyekuwa anamkamata Mwaafrika kwa kuingia mgahawa wa wazungu
> pekee vile eti mhudumu yule alikuwa anatekeleza maelezo ya wakubwa wake, au
> siyo?
> Nawashukuru wanaonikosoa na kunilaumu kwa kutumia nusu sekunde kuwatetea
> wasiojua Kiingereza na wanadhutu kupanda ndege za Precision badala ya
> zile shirika jipya la FASTJET amabo wahudumu wao hawawabughudhi abairi wao
> wanaokaa karibu na milango ya dharura kama wanajua Kiingereza au hapana.
> Utetezi wao wa Yule mhudumu umenifungua macho kuwa yule mhudumu si yeye
> pekee hasiye wekea maanani umuhimu ushauri wa mtu anayethubutu kusema hajui
> Kiingereza.Yule mhudumu sasa utafiti wangu umefanikiwa kujua kuwa jina lake
> ni MARIAM JUMANNE, miaka 25, na mhudu aliyekuwa kiongozi wake
> aliyemsikiliza na akamsaidia kutekeleza azma yake ya kunitoa nje ya ndege na
> kukatisha safari yangu jina lake ni ANGELA MTEMI, miaka 35. Rubani
> aliyewasikiliza hawa wawili na kuwaamini kuwa mimi nilikuwa nafanay fujo na
> nilistahili kutupwa nje ya ndege ni INNOCENT MBOYA. Wanahabari mliomo humu
> nawasihi twendeleze mjadala huu kwa kutafuta hawa jama ni watoto wa nani,
> walisoma wapi shule tangu msingi, sekondari, na juu.
> Mimi nitatimiza miaka 62 tarehe 16 Februari mwaka huu na napenda niweke
> wazi kuwa ni mtoto wa wakulima marehemu Sylivester Kente Lwaitama na
> marehemu Lydia Mukaluagaisa Lwaitama wa kijiji cha Bumai, Bugabo, Bukoba
> Vijijini. Ni motto wa shamba. Hta hivyo tabia yangy ya udadidadisi na
> kuhohoji imetokana na elimuniliyopata kutoka shule za Katare Primary
> School, Iluhya Upper Primary School, Ilboru Secondary School, Minaki High
> School, University of Dar es Salaam, na Aston University in Birmigham,
> Uingereza.
> Nina uhakika tabia yangu iliyoniponza ya kuhohoji mambo na kutetea wanyonge
> niliambukizwa na walimu wangu wa taasisi hizo nikopata elimu. Labda na
> wenzangu waliambukizwa tabia zao za kutunisha misuli kwa abiria anayehohoji
> mambo waliambukizwa na walimu wao wa asasi za elimu walikopata elimu.
> Labda mimi elimu niliyopata yakudadisidadisi mambo si shahii na labda elimu
> ya wao yakutii amri na kutafakari juu ya matokeo ya matendo yako baadaye
> ni sahihi zaidi kataiaka Tanzania ya leo. Sijui!! Nakubali mateso yote
> nitakayopata kutokana na tabia yangu "mbaya" ya kuudadidisi na kuhohoji
> mambo kila mara!! Sina wakumlaumu na sirahisi kuibadili katika umri huu wa
> miaka 62!!! Nitabia hii inayonichonganisha na marafiki zangu wa CCM
> ninaposema kila mara kuwa mimi ni CCM Mfu na natamani CCM kibwagwe katika
> uchanguzi wa 2015!!
>
> AMA KWELI SIJIHURUMII VILE HATA SASA NI WAZI SIHIJUTII TABIA HII YA
> KUDADISIDADISI NA KUHOJIHOJI MAMBO (KAMA NILIVYOELEIMISHWA KUWA TABIA HII
> INAITAJIKA KATIKA ZAMA HIZI ZA "KNOWLEDGE SOCIETY" NA KUACHANA NA YA ELIMU
> YA KUKARIRI KARIRIRI KAMA ROBOTI AU "PHOTOCOPIER") NA NINAYAPOKEA KWA
> UNYEYENYEKEVU MATOKEO YA KUWA NA TABIA HII ( KAMA KULE KUDHALILISHWA NA
> MHUDUMU HUYU MARIAM JUMANNE NA WASHIRIKA WAKE) !!! NAWASHUKURU WOTE HUMU
> MTANDAONI WANANINANGA KWA KUMSUBUA MHUDUMU YULE PAMOJA NA WALE MNAONIPA POLE
> KWA KUDHALILISHWA KATIKA UTETEZI WANGU AMBAO HATA HIVYO HAUKUPANGWA KWA
> MAKSUDI, WA MATUMIZI YA KISWAHILI KATIKA TASNIA YA MAMBO YA ANGA!!! WOTE
> MMENIELEIMISHA!!
> Mwl. Lwaitama
>
> ________________________________
>> Date: Fri, 31 Jan 2014 22:30:43 +0300
>> Subject: Re: [wanabidii] MAELEZO YA Mwl Lwaitama baada ya Kushushwa
>> kwenye Ndege ya PrecisionAir
>> From: bmwasaga@gmail.com
>> To: wanabidii@googlegroups.com
>>
>>
>> Mara ya kwanza ulihoji na mhudumu akasema hayo ndiyo maelekezo ya
>> uongozi. Binafsi nilitegemea hatua itakayofuata ni kuufuata uongozi
>> kuujulisha badala ya kumbana mhudumu am aye naye kaelekezwa
>>
>> On Jan 31, 2014 8:30 PM, "Felix Mwakyembe"
>> <fkyembe@gmail.com<mailto:fkyembe@gmail.com>> wrote:
>> Mwl Lwaitama,
>>
>> Mimi naona wewe una nafasi nzuri zaidi ya kuongea na wamiliki ukawapa
>> huo ushauri na wakakusikiliza kuliko hao watumishi unaolazimisha
>> kuwapatia ujumbe waupeleke kwa tajiri yao!!!!
>>
>>
>> 2014-01-31 Hermengild Mayunga
>> <drmayunga@gmail.com<mailto:drmayunga@gmail.com>>:
>>
>> Ludovic that sound logical
>>
>> On Jan 28, 2014 11:29 PM, "Ludovick Simon Mwijage"
>> <bugabo18@hotmail.com<mailto:bugabo18@hotmail.com>> wrote:
>> PrecisionAir ilimkubali Dk Lwaitama kama mteja wao ilipomuuzia tiketi
>> na kukubali kumsafirisha hadi mwisho wa safari yake.
>>
>> Lakini wakati huo huo, kwa kununua tiketi ya PrecisionAir, Dk Lwaitama
>> naye aliingia makubaliano nao kwamba angefuata utaratibu wanaoutumia
>> wao kuwasafirisha abiria kwa njia ya anga.
>>
>> Inaweza kudaiwa kwamba Dk Lwaitama alivunja makubaliano hayo alipokataa
>> kufuata utaratibu wao, baada ya kupanda ndege yao.
>>
>> Kama Dk Lwaitama hakuridhika na utaratibu wanaoutumia PrecisionAir,
>> basi angetuma malalamiko yake, na mapendekezo, kwenye mamlaka
>> yanayohusika na pengine akafuatilia malalamiko yake kwa kuvihusisha
>> vyombo vya habari. Kufanya hivi, huenda kungeepusha rabsha kwa abiria
>> wenzake na kadhia yote hii.
>>
>> Suala la lugha aliloliibua ni muhimu sana. Ndio maana wengi tuko upande
>> wake. Lakini inaelekea aliibua suala hili kwenye jukwaa lisilo sahihi
>> na bila kuelewa chanzo cha PrecisionAir kutumia Kingereza kwa abiria
>> wenye kiti karibu na mlango wa dharura.
>>
>> Ingekuwa vizuri zaidi kama tatizo hili lingemalizikia nje ya vyombo vya
>> kukazia sheria na mahakama. Kwamba, Dk Lwaitama anafahamu Kingereza,
>> inaweza kutumiwa na mawakili wa PrecisionAir kutaka kujua nia
>> yake ilikuwa nini alipokataa kupokea maelekezo kwa lugha anayoifahamu.
>> Ingekuwa jambo jingine kama Dk Lwaitama angekuwa hafahamu Kingereza.
>>
>> Kwa upande mwingine, huenda PrecisionAir wasimuombe radhi kama baadhi
>> yetu tunavyofikiri. Kwani, wakifanya hivi, watakuwa wanamkaribisha Dk
>> Lwaitama kuwafungulia kesi ya madai. Haya labda ndio mambo tunayopashwa
>> kuyatafakari kwa faida ya Dk Lwaitama badala ya kulaani tu mwenendo na
>> utaratibu unaotumiwa na PrecisionAir.
>>
>>
>>
>>
>>
>>> Date: Tue, 28 Jan 2014 20:04:58 +0000
>>> Subject: Re: [wanabidii] MAELEZO YA Mwl Lwaitama baada ya Kushushwa
>> kwenye Ndege ya PrecisionAir
>>> From: hosea.ndaki@gmail.com<mailto:hosea.ndaki@gmail.com>
>>> To: wanabidii@googlegroups.com<mailto:wanabidii@googlegroups.com>
>>>
>>> Yeye ndo kachelewesha ndege kusafiri na kusumbua abiria wengine,
>> kwanza alikuwa amekaa mlango wa dharura sasa kuambiwa uhame kiti ndo
>> azue timbwili lote hilo kweli?
>>>
>>> ----------
>>> Sent from my Nokia phone
>>>
>>> ------Original message------
>>> From: <bonnyluv84@hotmail.com<mailto:bonnyluv84@hotmail.com>>
>>> To: "wanabidii@googlegroups.com<mailto:wanabidii@googlegroups.com>"
>> <wanabidii@googlegroups.com<mailto:wanabidii@googlegroups.com>>
>>> Date: Tuesday, January 28, 2014 9:02:11 PM GMT+0400
>>> Subject: Re: [wanabidii] MAELEZO YA Mwl Lwaitama baada ya Kushushwa
>> kwenye Ndege ya PrecisionAir
>>>
>>>
>>> Pole sana, itakuwa imekusumbua hii hali.Muda wako, pesa uliyolipa na
>> hukusafiri, usumbufu uliupata, hukufika Bukoba, mambo ulipanga kuyanya
>> huko Bukoba yamekwama, umedhalilika, umesingiziwa kuwa umefanya fujo,
>> umelazimishwa kutojua kiingereza while wa ni mwalimu wa lugha na
>> unakifahamu zaidi yao na zaidi wamesababisha uwasababishiye wengine
>> usumbufu.
>>> Zaidi ya kukuomba radhi hawa precision inatakiwa wakulipe pesa
>> kufidia vyote hivyo ili hiwe fundisho tosha.
>>> Pole tena.
>>> --
>>> Sent from myMail app for Android
>>> Tuesday, 28 January 2014, 03:17PM +0300 from Tracy John Kimambo
>> <tracykwetu@gmail.com<mailto:tracykwetu@gmail.com>>:
>>> Ndugu wanazuoni maelezo niliyotoa mtandao wa wanamabadiliko juzi
>> Jumapili haya hapa chini. Kesho Jumatano kwenye The Citizen , kama
>> wataichapisha makala ya column yangu, ninajadili hoja kuu ya kisanga
>> hiki ambayo ni swala la kutumia Kiswahili kutoa maelezo kwa abiria
>> anayekaa karibu na mlango wa dharura. Yule mhudumu alikuwa jeuri na
>> mwenye kutoelewa maana ya kuwa mhudumu wa ndege lakini nadhani hoja kuu
>> ni kwanini wahudumu wanaelekezwa eti lazima kutoa maelezo ya kufungua
>> mlango wa dharura lazima kutolewa kwa Kiingereza wakati maelezo
>> mengine kwa abiria wote ni kwa Kingereza na Kiswahili?
>>> Tena MIMI NIMEWAHI KUTOA USHAURI kama HUU HUU KWA MHUDUMU MWINGINE
>> safari nyingine na yule mhudumu
>>> alinijibu kwa ukarimu kuwa yeye alikuwa anafuata maelekezo tu na mimi
>> nikampa pole yakaisha. Huyu wa juzi alikuwa apendi kupewa maoni na mtu
>> aliyedhani mtu wa hadhi ya chini sana kwake ...maana nilikuwa kama
>> kawaida yangu naonekana kibabu tu kisichozoea mambo ya usafiri wa
>> ndege.
>>> Kama wahudumu wasingekuwa wamefundishwa kikasuku eti lazima kutoa
>> maelekezo ya kufungua mlango wa dharura kwa Kiingereza hakuna tatitizo
>> sakata llote lisingetokea. Pia rubani naye angetumiabusara na kumtuma
>> afisa wa juu ndani ya ndege kuhoji majirani wa nilikokaa angegundua
>> yule mhudumu alikuwa mwongo tu maana hakukuwepo hata majibizano ya
>> kupaza sauti kabisa... mimi nilibaki mdomo wazi aliponiambia yule
>> mhudumu wa kwanza ninaweza kusimamisha ndege ukatolewa nje kama tishio
>> na mimi nikamjibu kwa upole ya nini yote hayo ndugu yangu maana mimi
>> najua Kiingereza na wewe endelea na maelezo yako kwa Kiingereza...
>> lakini nadhani siku hiyo labda aliamuka vibaya ..Bado sijaamini
>> angeweza kutunga uongo wa eti kuna mtu anafanya fujo vile tu nilitoa
>> maoni yangu tu tena kwa tabasamu langu la kwaida ninapokuwa na huzuni
>> juu ya mambo yasiyo na mantiki yanayotendeka duniani. MAELEZO YANGU YA
>> JUMAPILI HAYA HAPA CHINI.
>>> "Yaliyonikuta Mwanza
>>> Nawashukuru wote kwa kunipa pole. Wanasheria wa rafiki yangu binafsi
>> Dr Antony Diallo, mmiliki wa Star Tv na Radio Free Africa, na
>> wanasheria waliotumwa na Nd. Sungusia wa Kituo cha Sheria na Haki za
>> Binadamu ( Legal and Human Rights Centre, LHRC) chenye makao makuu Dar
>> es Salaam walifika kituo cha polisi cha kiwanja cha ndege Mwanza na
>> wakafanikiwa kuniwekea dhamana na hivyo niko nje kwa dhamana
>> vinginevyo ningelala selo ndugu zangu _Kesho nitaripoti polisi
>> kufuatilia juu ya kesi iliyofunguliwa dhidi yangu na Precision kama
>> itaenda mahakamani au vipi.
>>> Kilichotokea kifupi ni hivi. Nilipanda ndege Flight PW 0492
>> iliyotarajiwa kuondoka Mwanza saa 3 dakika 50 asubuhi kuelekea
>> Bukoba. Nilikuwa nimekaa kiti namba 2B na mtafiti mmoja anayefanya kazi
>> Maruku Tea Estate huko Bukoba alikaa kiti na. 2A kwenye dirisha
>> kushoto kwangu. Wakati ndege inaanza kukuelekea inakoruka alikuja
>> mhudumu wa kike akatuuliza na yule mwenzangu kama tunajua Kiingereza na
>> mimi nikasema kwa utani huku nikicheka kuwa tunajua kidogo. Yule
>> muhudumu gafla akatahamaki akasema kama sijui kiingereza aniamishe
>> kiti.
>>> Mimi nikamjibu kuwa hakukuwa na haja maana mimi najua kiingereza
>> maana ni mwalimu wa siku nyingi wa Kiingereza lakini nilichokuwa
>> nashangaa ni kwa nini nyie wahudumu mnapenda kutoa maelezo kwa
>> Kiingereza wakati mgeyatoa maelezo hayahayo kwa Kiswahili mara baada ya
>> kujua kuwa sisi ni Watanzania na tunajua Kiswahili vizuri zaidi kuliko
>> Kiingereza. Binti huyo nikaona ametaamaki na kuanza kusema lazima
>> niteremshwe.
>>> Mimi nilidhani masihala maana niliwahi kutoa ushauri huu hapo nyuma
>> kwa mhudumu mwingine wa Precision Air na yeye alinijibu kwa heshima
>> kabisa kuwa wao maelezo wameambaiwa lazima wayatoe kwa Kiingereza.
>> Mara yule mhudumu wa kwanza akaondoka akaja mhudumu mwingine wa kike
>> akasema kama sijui Kiingereza niamishwe nikamjibu wa taratibu na
>> tabasamu langu la kawaida ninalolitoa katika mazingira kama haya ya
>> dalili za kukosekana busara na mtoa huduma kukimbilia kwenye mambo
>> ya kugombana bila sababu kuwa hakukuwa na tatizo jamani kwani
>> Kiingereza nakijua na nilichokuwa nimempa mwenzake ni ushauri tu.
>>> Yeye wala hata hakuzungumza na mimi tena aliondoka ndipo nikasikia
>> rubani akitangaza eti kuna tatizo la kiusalama na ndege itachelewa
>> kuruka ili litatuliwe. Mara polisi wane hivi na muhudumu wa Precision
>> wa kiume mmoja wakaingia ndani ya ndege na kusimama mbele yangu
>> nilipokuwa nimekaa na kufunga mkanda. Mhudumu akaniambia inabidi au
>> nikuamishwe kiti au ni ushushwe. Wakati huo huo wale polisi
>> wakang'angania eti lazima nishuke. Nikauliza nitii amri ya nanai
>> sasa? Polisi mmoja aliyeonekana kama mwenye kuwaongoza wale polisi
>> wenziwe akainama akanifungua mkanda wa kwenye ndge akaninyanyua mkuku
>> mkuku na kunitoa nje ya ndege.Hata begi zangu mbili za mkononi ilibidi
>> niombe nikiwa chini nipewe.
>>> Abiria waliokuwa karibi na nilipokuwa walishangaa na kusema kwani
>> amefanya nini huyu baba . Lakini waliokuwa nyumba mabali hawakujua
>> kilichotokea zaidi ya manaeno waliokuwa wamelishwa na rubani na wlae
>> wahudu kuwa kuna baba kule mbele amnaleta fujo inabidi ateremshwe.
>> Nikapelekwa kituo cha polisi hapo uwajani huku nikisikia
>> wakinongonezana kuwa lazima kuniweka selo (lockup ).
>>> Nikafanikiwa kumpigia Dr Antony Dialo simu akazungumza nao wale
>> askari na wakaanza kuchukua maelezo yangu nikiwa nimeketi ofisini kwao
>> kwenye kochi walau badala ya kuwekwa lockup... Baadaye nilipigia Ndugu
>> Sungusia wa LHRC na Dr Antony Diallo wote wakanitumia wanasheria
>> walionisaidia kuandika na kutia saini maelezo yangu. Wale wanasheria
>> wakaniombea dhamana nikapata nikaruhusiwa kutoka pale kituoni lakini
>> nikaamriwa kuripoti kituoni pale asubuhi kesho Jumatatu kwa maelekezo
>> zaidi.
>>> Wakati huo ndege ile ya Precision iliondoka ikaenda Bukoba na ikarudi
>> tena baadaye kutoka Bukoba na ndipo nikamuona yule muhudumu wa kike wa
>> pili eti ndiye anatoa maelezo juu ya eti mimi kufanya fujo. Yule
>> muhudumu aliyewadanganya wenzake wote pamoja na rubani kuwa eti mimi
>> nimefanya fujo wala hakutoka nje ya ndege iliporudi kutoka Bukoba kutoa
>> maelezo.
>>> Katika sakata lote ili yule abiria aliyeketi kushoto kwangu siti
>> namba 2A wala hakuhojiwa na rubani wa ndege ile kujiahakikishia kama
>> madai ya eti mimi kufanya fujo yalikuwa ya kweli na wala hata polisi
>> waliotekereza maelekezo ya rubani yakuniondoa ndani ya ndege mkuku
>> mkuku hawakujiangaisha kuuliza yule abiria jirani yangu aliye kuwa siti
>> 2A kama ni kweli mimi nilifanya fujo yoyote au nilitoa maoni tu juu ya
>> matumizi ya Kiswahili katika kutoa maelezo ya juu ya kipi cha
>> kufanywa wakati wa dharura.
>>> Hadi sasa bado sijaelewa kisa kilichomfanya yule mhudumu atahamaki na
>> kunibambikizia tuhuma ya kufanya fujo yarabi... maana hakukuwepo hata
>> na kubadirishana maneno kwa ukali kwa upande wake au wangu. Nimebaki
>> nimeduwaha hadi sasa kuwa hivi ni kweli miaka zaidi ya 50 baada ya
>> uhuru nimekatishiwa safari yangu kwa kutoa maoni tu ambayo mhudumu yule
>> wa shirika la ndege binafsi angeweza kupuuza. Bado sipati maelezo kwa
>> nini haya yalinitokea zaidi ya kuhisi kuwa haya ni matokeo ya mfumo wa
>> kuandaa wahudumu wa ndege wa Precision unaowavimbisha kichwa kuwa kwa
>> kutamka kwa rubani kuwa kuna abiria anafanya fujo hiyo inatosha abiria
>> yule kunyanyaswa kama nilivyonyanyaswa na kudhalilishwa kwa kutuhumiwa
>> kufanya fujo ndani ya ndege. Lazima nikiri hata hivyo kuwa maafisa
>> Kadhaa wa kituo cha polisi cha uwanja wa ndege pale Mwanza walinionesha
>> uungwana sana na walikuwa wakarimu kwangu kuliko hata wahudumu wale
>> wawili wa Precsion Air.
>>> Mwl. Lwaitama"
>>> JANA POLISI Mwanza WALIKUWA WAKARIMU MARADUFU NA WAMENIPA SIKU KADHHA
>> ZA ZIADA ZA DHAMANA WAKATI WAKIENDELEA NA UPELEZI WA KAMA TUHUMA
>> ZILIZOELEKEZWA KWANGU ZILIKUWA ZA KWELI. WATAWAHOJI WALIOKAA KARIBU NA
>> MIMI NA SIMU ZAO WAMEPATA na sina shaka ukweli ukijulikana labda hata
>> Precision watataka kuniomba radhi maana mimi ni mteja wao mkuu.
>>> Mwl. Lwaitama
>>> --
>>> Send Emails to
>> wanabidii@googlegroups.com<mailto:wanabidii@googlegroups.com>
>>>
>>> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>>>
>> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com<mailto:wanabidii%2Bunsubscribe@googlegroups.com>
>>
>> Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>>>
>>> Disclaimer:
>>> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any
>> legal consequences of his or her postings, and hence statements and
>> facts must be presented responsibly. Your continued membership
>> signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our
>> Rules and Guidelines.
>>> ---
>>> You received this message because you are subscribed to the Google
>> Groups "Wanabidii" group.
>>> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it,
>> send an email to
>> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com<mailto:wanabidii%2Bunsubscribe@googlegroups.com>.
>>
>>> For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out .
>>>
>>> --
>>> Send Emails to
>> wanabidii@googlegroups.com<mailto:wanabidii@googlegroups.com>
>>>
>>> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>>>
>> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com<mailto:wanabidii%2Bunsubscribe@googlegroups.com>
>>
>> Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>>>
>>> Disclaimer:
>>> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any
>> legal consequences of his or her postings, and hence statements and
>> facts must be presented responsibly. Your continued membership
>> signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our
>> Rules and Guidelines.
>>> ---
>>> You received this message because you are subscribed to the Google
>> Groups "Wanabidii" group.
>>> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it,
>> send an email to
>> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com<mailto:wanabidii%2Bunsubscribe@googlegroups.com>.
>>
>>> For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
>>>
>>> --
>>> Send Emails to
>> wanabidii@googlegroups.com<mailto:wanabidii@googlegroups.com>
>>>
>>> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>>>
>> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com<mailto:wanabidii%2Bunsubscribe@googlegroups.com>
>>
>> Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>>>
>>> Disclaimer:
>>> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any
>> legal consequences of his or her postings, and hence statements and
>> facts must be presented responsibly. Your continued membership
>> signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our
>> Rules and Guidelines.
>>> ---
>>> You received this message because you are subscribed to the Google
>> Groups "Wanabidii" group.
>>> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it,
>> send an email to
>> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com<mailto:wanabidii%2Bunsubscribe@googlegroups.com>.
>>
>>> For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
>>
>> --
>> Send Emails to
>> wanabidii@googlegroups.com<mailto:wanabidii@googlegroups.com>
>>
>> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com<mailto:wanabidii%2Bunsubscribe@googlegroups.com>
>>
>> Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>>
>> Disclaimer:
>> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any
>> legal consequences of his or her postings, and hence statements and
>> facts must be presented responsibly. Your continued membership
>> signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our
>> Rules and Guidelines.
>> ---
>> You received this message because you are subscribed to the Google
>> Groups "Wanabidii" group.
>> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send
>> an email to
>> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com<mailto:wanabidii%2Bunsubscribe@googlegroups.com>.
>>
>> For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
>>
>> --
>> Send Emails to
>> wanabidii@googlegroups.com<mailto:wanabidii@googlegroups.com>
>>
>> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com<mailto:wanabidii%2Bunsubscribe@googlegroups.com>
>>
>> Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>>
>> Disclaimer:
>> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any
>> legal consequences of his or her postings, and hence statements and
>> facts must be presented responsibly. Your continued membership
>> signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our
>> Rules and Guidelines.
>> ---
>> You received this message because you are subscribed to the Google
>> Groups "Wanabidii" group.
>> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send
>> an email to
>> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com<mailto:wanabidii%2Bunsubscribe@googlegroups.com>.
>>
>> For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
>>
>>
>> --
>> Send Emails to
>> wanabidii@googlegroups.com<mailto:wanabidii@googlegroups.com>
>>
>> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com<mailto:wanabidii%2Bunsubscribe@googlegroups.com>
>>
>> Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>>
>> Disclaimer:
>> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any
>> legal consequences of his or her postings, and hence statements and
>> facts must be presented responsibly. Your continued membership
>> signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our
>> Rules and Guidelines.
>> ---
>> You received this message because you are subscribed to the Google
>> Groups "Wanabidii" group.
>> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send
>> an email to
>> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com<mailto:wanabidii%2Bunsubscribe@googlegroups.com>.
>>
>> For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
>>
>> --
>> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>>
>> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
>> ukishatuma
>>
>> Disclaimer:
>> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any
>> legal consequences of his or her postings, and hence statements and
>> facts must be presented responsibly. Your continued membership
>> signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our
>> Rules and Guidelines.
>> ---
>> You received this message because you are subscribed to the Google
>> Groups "Wanabidii" group.
>> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send
>> an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>> For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
>>
>
> --
> Unapokea Email hizi kwa sababu umejiunga na Jukwaa la 'Mabadiliko'.
> Kuchangia mada tuma kwenye Email hii: mabadilikotanzania@googlegroups.com
>
> MUHIMU KWA WANACHAMA WOTE: Jukwaa hili litafungwa hivi karibuni hivyo hii ni
> taarifa ya Mwisho kwako kuhakikisha unajisajili www.mabadiliko.com
>
> For more options, visit this group at:
> http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania?hl=en?hl=en
> ---
> You received this message because you are subscribed to the Google Groups
> "Mabadiliko Forum" group.
> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an
> email to mabadilikotanzania+unsubscribe@googlegroups.com.
> To post to this group, send email to mabadilikotanzania@googlegroups.com.
> Visit this group at http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania.
> For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
>
> --
> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
> ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be
> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to
> this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
> ---
> You received this message because you are subscribed to the Google Groups
> "Wanabidii" group.
> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an
> email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
> For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
>
--
kamala J Lutatinisibwa
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
0 comments:
Post a Comment