Ndugu zangu ,
Viongozi kadhaa wamekuwa wakijitapa kwamba serikali yetu haina dini na kwamba wananchi wake ndio wenye dini .
Lakini kwenye suala la kuandaaji wa katiba mpya haswa kipindi hiki cha bunge la katiba tunaona baadhi ya wajumbe ni viongozi wa dini mbalimbali kama wachungaji tena na nguo zao rasmi ndani ya bunge na wawakilishi wa dini nyingine .
Kama serikali haina dini na kama serikali haitaki kujiingiza kwenye masuala ya dini kwanini imeruhusu viongozi wa dini kuwa wajumbe wa bunge la katiba linaloendelea ? hili suala mimi sielewi .
Tujue tu baadhi ya mazehebu ya kipentekoste yameshalalamika kuhusu kutokuwakilishwa kwenye bunge hili , hatujui huko mbeleni hali itakuwaje kama malalamiko yameshaanza kuwa hivi .
--
Institut d'études de sécurité - SA
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
0 comments:
Post a Comment