Thursday 27 February 2014

Re: [wanabidii] HAKI ZA BINADAMU KWA JAMII NDOGO KAMA MASHOGA

Tatizo la shoga pamoja kuwa ni binadamu na ni malaya anatumia njia ambayo Mungu na mila za kiafrika zimelaani. Mwanaume malaya (mzinifu) ni tofauti na shoga. Shoga anatumika kinyumbe na maumbile yake ya kuwa mwanaume. Na shoga wapo wa category nyingi. Hawa mashoga jamii inawatengeneza jamii inakuwa na mila na desturi na imani za dini lakini inafanya uasi kuonea wengine kuwabaka kisha kuwaona najisi na kuwaua. Machimboni tulipata taarifa kuwa  malaya wa kike anapata hela zaidi akikubali TIGO na tenda bila condom, pesa kidogo na kondon na kidogo kwa kujamiiana kawaida. Hivyo tabia za uchafu zinakua. Kukiwa na ujenzi wa barabara, mitambo ya umeme vijijini (mfano Kihansi) au sasa Gas Mtwara na ujenzi wa mitambo utakuta changudoa kutoka hata nchi jirani wanawafuata wale wanaoendesha mashine waliokuwa nao nchi nyingine. Ukipanda ndege say kutoka TZ-kwenda Urusi na inapita nchi mbali mbali duniani-unakutana na prostitutes wa angani. Hao wanawadaka wafanya biashara humo wanaosafiri nchi hadi nchi kibiashara. Melini nao wapo hata ain nyingine za usafiri na wanasafirisha hata vitoto kuviuza (Child prostitution and trafficking for sex). India na nchi za malaysia (Thailand) zinaongoza kwa kuuza vitoto. Sasa nasi Africa tunaingia. Tanzania kuna danguro zinauza vitoto/visichana na mashoga.
Tukiangalia ushoga pekee tutakosa kuangalia matatizo mengi yaliyozuka na kukua katika jamii.

Danguro machimboni ni vibanda vya nyasi vina vitanda chaga za miti, godoro nyazi na mkeka kiroba cha unga kimekatwa na kutandazwa juu wanalalia. Vijiji vinakusanya kodi kutoka mabanda hayo, vibanda vya nyasi vya kuonyesha video za matusi na mpira. Video ndio kipato cha kujikimu. Ukiangalia matatizo ya kijiji-video za matusi utaambiwa ni tatizo watoto kuangalia na wakubwa, changudoa vijijini kuharibu ndoa za watu. Ukiwauliza wazee wa mila wapo? Ndio!! Kwa nini baba aangalie video chafu na watoto-hakuna burudani zaidi ya video na watu wamejitahidi kununua solar za mchina. Umeme unawaka porini video na TV vinaingiza pesa. Ni tatizo mijini pia angalau watoto kuingia internet kuangalia matusi kumepungua siku hizi. Tukitazama mashoga tu, tutakosa kuona vibanzi vyetu vingine mpaka vile vya akina mama wa khanga moja na wasaidii wachezao dansi kukata mauno na dansi nyingine za matusi ya nguoni-Kipato, ajira na mwenye band anaona hii ni kawaida na Baraza la utamaduni inaachia yaendelee. Baba anatazama TV, mume, ndugu wanamuona ndugu yao anavyocheza na vimini, vichupi nusu uchi. Ila shoga tu ndio issue. Bar za vileo zipo mtaani na viti hupangwa watu kunywa mpaka katika right of way ya barabara. Next to viti vya walevi ni nyumba ya wakazi kuna watoto wanaona wapenzi wanavyopapasana na wanaume hasa kwenda haja ndogo akiwa ameelekea kule madirisha ya nyumba yalipo watoto wanamuona. Watoto wanapiga chabo kutwa na kila siku. Jee haya tumeiga kwa Obama au wazungu? Mbona ni tabia zetu duni na utovu wa adabu? Tujirekebishe. Umefika wakati muafaka wa cultural revolution tuache kuiga na kuvumbua mabaya turejeshe nidhamu nzuri,adabu na tabia kubalika za mila zetu za kiafrika.
 
On Thursday, 27 February 2014, 18:23, john mushi <mushijohn@yahoo.com> wrote:
Hivi Mbona mashoga wanaamsha mjadala?Hawa ni sawa tu na Makahaba ambao wana maisha yao tofauti na alivyoumba muumbaji wa binadamu.tofauti yao ni namna wanavyoifanya miili yao tofauti na inavyostahili na kuwafanya wakose hadhi ya hizo haki za binadamu.Tujiulize Binadamu ni nani?Ni mtu mwenye kichwa, kiwiliwili miguu na mikono bila kuwa na sifa za ubinadamu? Nadhani binadamu ana zaidi ya hivyo nilivyotaja hapo juu na ili astahili hizo haki ni lazima ayaishi maisha ya binadamu.Kama tunataka kulinda haki za mashoga tujue kuwa hata sisi hatutakuwa binadamu bali sawa na hao viumbe ambao ni nje ya binadamu. Tusome jinsi gani Mungu alivyomuumba binadamu, tuangalie "attributes"za binadamu ni zipi halafu tuangalie Mungu alisema watu wajamiane ili nini kitokee ndipo tuwatafutie haki za binadamu mashoga kama wana quailfy, vinginevyo Hawastahili kulindiwa haki zao.

On Wednesday, February 26, 2014 11:17 AM, Kilasara Fratern <kilasara.fratern@gmail.com> wrote:
Kiafrika na kwa utamaduni wetu wa Afrika, sikumbuki na wala sidhani kama tatizo la ushoga lilikuwepo; ila ni tatizo lililoletwa kwetu na utandawazi, mathalani, mikanda ya picha  za ngono. Na kwa vile Waafrika tu wepesi sana kuiga bila kufanya tathmini ya kutosha, watu wemejikuta wameshatumbukia kwenye janga hili. Kama alivyo chain-smoker, au teja ndivyo walivyo mashoga. Hakuna hata mmoja kati ya hawa alizaliwa kuwa mvuta sigara wa kupindukia (chain smoker), teja, au shoga.

Hawa wote walianza kwa kuonja... na kama msemo usemao, bandu bandu humaliza gogo au chovya chovyo humaliza buyu la asali. Ndivyo na hawa ndugu walivyo. Kama alivyo taahira, au mtu mwingine yeyote mwenye mtindio wa ubungo, ndivyo na hawa walivyo (i.e. psychic sick). Sasa, kwa nini tuunge mkono ugonjwa badala ya kuangalia namna ya kuwabadilisha? Na kimsingi, there is no soft way to rectify/re-mold misguided psychic without pain.

Kwa utamaduni wa Mwafrika, tatizo kama ushoga ni kikwazo, au kwa maneno mengine, 'a taboo' na kwa nchi kama Uganda ambayo kwa sehemu kubwa bado wamekumbati mila na desturi zao, si shangai sana kwa alichokifanya Museven.

Dawa ni nini? Wazazi tuwe karibu na watoto wetu, na tuachane na tabia ya kuwapele watoto wetu wenye umri mdogo, kuanzia Chekechea hadi Darasa la Saba, Shule za Bweni. Wengi najua mtakataa lakini ukweli ndio huu.

2014-02-25 19:09 GMT+03:00 Deodatus Balile <deobalile@yahoo.com>:
Hakunaaaaaaaaaaaaa
Sent from my BlackBerry® smartphone on the Tigo Tanzania Network

From: Joseph Ludovick <josephludovick@gmail.com>
Date: Tue, 25 Feb 2014 05:46:40 -0800
Subject: Re: [wanabidii] HAKI ZA BINADAMU KWA JAMII NDOGO KAMA MASHOGA

Heeee! Hakuna anyezaliwa akiwa shoga kiasili.
On Feb 25, 2014 4:34 PM, "Hildegarda Kiwasila" <khildegarda@yahoo.co.uk> wrote:
Tafadhali katika jamii ndogo ndogo usiingize wahadzabe ukawaweka na mashoga. Hawa mashoga ni makundi maalum. Kuna makabila 120+ Tanzania. Mengine yana wato laki moja mengine laki nne hayataji lakini wahadzabe wanatajwa. Kuna makabila 90% waliuawa na wajerumani kutokana na kiburi chao sio hao wahadzabe tu. Mashoga, wasagaji, basha ni vikundi vidogo vyenye shida au mahitaji maalum. Tafuteni chanzo chao muwasaidie wajirekebisha na kuacha. Wenye matatizo na homoni zao, matatizo ya maumbile-kilema; mapepo ya kupenda ubasha na usenge, usagaji, na wale walioathirika kwa kufanyiwa hivyo mpaka wakazoea au kutokana na shida ya maisha wakawa hivyo. Kama tunavyosaidia vilema na omba omba, wenye matatizo ya ngozi-albino, nao wasenge na wasagaji ni kundi maalum. Ikitokea siku wapate umoja na uhuru na nguvu wawataje waliowafanyia nini wakawa hivyo na waonyeshe picha za mabasha au wateja wao-nchi haitakalika-kitanuka!! Kuna wale wenye tamaa na fikra za kujitamanisha kiasi wamba anaweza kufumwa anamtenda mbuzi, ng'ombe, mbwa; katoto kachanga ka miezi kadhaa. wale wagonjwa. Huko ulaya mpaka mtu anaoa mbwa. hapa TZ ipo watu wameshafumwa na mbuzi, mbwa, kuku akimtenda uchafu. Kisaikolojia wana matatizo. Lakini unapomuonea mtoto na kumfanya hivyo akazoea na baadae uje umuue kwa kua hivyo ni laana kubwa. Wanawake ndani ya ndoa wanateseka kwa ulawiti pia mahusiano ya urafiki yanawakuta wengi na anatishiwa kuachwa. Kuna wanaume wanabakwa/kulawitiwa kwa kisasi cha kufumaniwa na mke/mpenzi; kukomoana kibiashara na kumuaibisha ahame hapo kukomesha ushindani. Umri wa mpaka miaka 26 tulikuta mwanaume anatoa taarifa ya kubakwa, naye akaanza kulipiza kisasi kwa kubaka/kulawiti wanaume mpaka vijana/vitoto kama kujitibu kiakili kulipiza kisasi. ukienda dansi za mduara waendako mashoka, utakuwa vitito vivulana vidogo vimejaa. Hivi hutongoza mashoga ili wawatendee wapate hela. na hivi vinasoma shule, huko shule vinaingiza wenzao ktk majumba mabovu na kuwalawiti kama wababe fulani hivi amasivyo wababe hao watakupiga ukikubali watakulinda. Vitoto vyetu vinawaburudisha mashoga vipate hela ya ice creame. Kuna shoga shoga hafanyi yeye sex hawezi; yupo shoga-double anafanya na shoga mwenzake na kufanyiwa na anaweza kuwa na girl friend mke; kuna basha basha na basha ana mke na familia. sasa hawa wote ni watanzania-mtawaua? Ni mibaba na koo na familia zao icha ya hao vijana. Wengine ni wasomi wenye madigrii na vyeo vyao wamewapangia mashoga vyumba. Shame on women ambao wakifumania waume zao wanampiga msichana au shoga waliomfumania nao-pumbavu!! kwa nini mume humpigi na unarudi naye home kuchukua uchafu pamoja na ukimwi? Tunaunda taifa la uchafu wenyewe. Tutafute mbinu za kuwafanya watenda na watendewa waache laana hii sio kuonea upande mmoja tu!!

On Tuesday, 25 February 2014, 16:08, Yona Maro <oldmoshi@gmail.com> wrote:
HAKI ZA BINADAMU KWA JAMII NDOGO KAMA MASHOGA

Ndugu zangu ,

Nimeona nisikae kimya , nisiwe mnafiki na nisimamie kile ninachosimamia siku zote , suala la haki za binadamu kwa raia wote bila kujali mapungufu au matatizo yoyote aliyokuwa nayo .

Kabla sijaanza kuandika ujumbe huu nimesikitishwa na kiongozi mmoja akiandika kwenye ukurasa wa kijamii kufurahia kitendo cha Rais wa Uganda Kusaini GAY BILL kwa kufuata mkumbo tu bila kujua hawa ni miongoni mwa wapiga kura wake .

Tukirudi kwenye suala la jamii za watu wenye jinsia moja yaani mashoga kwa upande wa wanaume na wasagaji kwa wanawake , kuna mambo kadhaa inabidi jamii ijue nitaweza wazi kwa ufupi .

Katika katiba mpya haki zao zitakuwa kwenye kipengele cha jamii ndogo ndogo .

1 – Ndani ya jamii hizi kumekuwa na magonjwa mbalimbali , kutokana na hawa watu kutokujulikana waziwazi wamekuwa wanajificha ndani hata mahospitali hawaendi hata watoa huduma hawawafikii matokeo yake ni kuathirika zaidi na kupoteza watu wengi zaidi .

2 – kuna wale washauri nasaha na wengine watoaji wa huduma za afya haswa zinazohusiana na ugonjwa wa ukimwi , wamekuwa wanapata tabu kumaliza gonjwa hili na mengine yanayohusiana na hili kutokana na kutokuwa wazi .

3 – Kuna ushahidi wa wazi wa vitendo vya mahusiano ya jinsia moja haswa katika nyumba za ibada au kwenye huduma za ibada na taasisi za kidini haswa kwa watu wazima na watoto wadogo wanaopelekwa kujifunza na matokeo yake ni kuificha jamii hii ambayo imelelewa na kufichwa kwenye nyumba za ibada .

4 – Kwenye katiba mpya inayokuja kinachopiganiwa ni haki ya jamii ndogo ndogo kama hizi za Mashoga , wasagaji , Hadzabe na nyingine nyingi zilizopo nchini ambazo rais ameapa kuzilinda na kuzitetea bila ubaguzi wowote .

5 – Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania , Mhe Jakaya Mrisho Kikwete alichaguliwa na watu mbalimbali na aliapa kulinda watu wote na kuongoza nchi hii wakiwemo hawa ambao sasa hivi wanatengwa na kuonekana si mali kitu na si chochote  .

Kwa kumalizia napenda kusema na kusisitiza tena , Kwamba hii ni  nchi yetu wote , basi haki za wote ziheshimiwe bila kuingilia mambo ya faragha ya watu wengine , sasa tuko kwenye mchakato wa katiba mpya hili suala liangaliwe na tunakaribia uchaguzi mkuu wa mwaka 2015 natumai viongozi wetu watatumia hekima katika kuangalia na kusimamia haki za jamii ndogo ndogo .

--

Yona Fares Maro

Institut d'études de sécurité - SA

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

-----------------------
Fratern Kilasara
,

P. O. Box - (Home): 62810; or (Office): 65300
Dar es Salaam - Tanzania.
Telephone (Office): +255 (0)22 2700021/4 Ext No. 239; Fax: +255 (0)22 2775591
Mobile (Personal): +255 (0)715 40 41 53 or +255 (0)754 40 41 53
Emails: kilasara.fratern@gmail.com or kilasara.fratern@yahoo.com
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

0 comments:

Post a Comment