Friday, 28 February 2014

Re: [wanabidii] HAKI ZA BINADAMU KWA JAMII NDOGO KAMA MASHOGA

I say no no to ushoga na usagaji, tusitoe mwanya kwa watu waovu kama hawa. Kama ndivyo ilivyo basi na sheria za kuzuia ubakaji ziondolewe maana wengine wanafurahia tendo hilo kwa kubaka, nao tuwasikilize na kuwapa haki hiyo

2014-02-28 8:57 GMT+03:00 Reuben Mwandumbya <ipyana75@yahoo.com>:
Comrades;
Tunaitafuta Sodoma na Gomola ya awamu ya pili,sipati picha hasira ya Mwenyezi itakuwaje this time,kwa kuwa haya ni mambo tofauti kabisa na kusudio la Mwenyezi kwetu binadamu.

R.

From: john mushi <mushijohn@yahoo.com>
To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
Sent: Thursday, February 27, 2014 6:24 PM

Subject: Re: [wanabidii] HAKI ZA BINADAMU KWA JAMII NDOGO KAMA MASHOGA

----- Forwarded Message -----

Boxbe This message is eligible for Automatic Cleanup! (mushijohn@yahoo.com) Add cleanup rule | More info
Hivi Mbona mashoga wanaamsha mjadala?Hawa ni sawa tu na Makahaba ambao wana maisha yao tofauti na alivyoumba muumbaji wa binadamu.tofauti yao ni namna wanavyoifanya miili yao tofauti na inavyostahili na kuwafanya wakose hadhi ya hizo haki za binadamu.Tujiulize Binadamu ni nani?Ni mtu mwenye kichwa, kiwiliwili miguu na mikono bila kuwa na sifa za ubinadamu? Nadhani binadamu ana zaidi ya hivyo nilivyotaja hapo juu na ili astahili hizo haki ni lazima ayaishi maisha ya binadamu.Kama tunataka kulinda haki za mashoga tujue kuwa hata sisi hatutakuwa binadamu bali sawa na hao viumbe ambao ni nje ya binadamu. Tusome jinsi gani Mungu alivyomuumba binadamu, tuangalie "attributes"za binadamu ni zipi halafu tuangalie Mungu alisema watu wajamiane ili nini kitokee ndipo tuwatafutie haki za binadamu mashoga kama wana quailfy, vinginevyo Hawastahili kulindiwa haki zao.

On Wednesday, February 26, 2014 11:17 AM, Kilasara Fratern <kilasara.fratern@gmail.com> wrote:
Kiafrika na kwa utamaduni wetu wa Afrika, sikumbuki na wala sidhani kama tatizo la ushoga lilikuwepo; ila ni tatizo lililoletwa kwetu na utandawazi, mathalani, mikanda ya picha  za ngono. Na kwa vile Waafrika tu wepesi sana kuiga bila kufanya tathmini ya kutosha, watu wemejikuta wameshatumbukia kwenye janga hili. Kama alivyo chain-smoker, au teja ndivyo walivyo mashoga. Hakuna hata mmoja kati ya hawa alizaliwa kuwa mvuta sigara wa kupindukia (chain smoker), teja, au shoga.

Hawa wote walianza kwa kuonja... na kama msemo usemao, bandu bandu humaliza gogo au chovya chovyo humaliza buyu la asali. Ndivyo na hawa ndugu walivyo. Kama alivyo taahira, au mtu mwingine yeyote mwenye mtindio wa ubungo, ndivyo na hawa walivyo (i.e. psychic sick). Sasa, kwa nini tuunge mkono ugonjwa badala ya kuangalia namna ya kuwabadilisha? Na kimsingi, there is no soft way to rectify/re-mold misguided psychic without pain.

Kwa utamaduni wa Mwafrika, tatizo kama ushoga ni kikwazo, au kwa maneno mengine, 'a taboo' na kwa nchi kama Uganda ambayo kwa sehemu kubwa bado wamekumbati mila na desturi zao, si shangai sana kwa alichokifanya Museven.

Dawa ni nini? Wazazi tuwe karibu na watoto wetu, na tuachane na tabia ya kuwapele watoto wetu wenye umri mdogo, kuanzia Chekechea hadi Darasa la Saba, Shule za Bweni. Wengi najua mtakataa lakini ukweli ndio huu.

2014-02-25 19:09 GMT+03:00 Deodatus Balile <deobalile@yahoo.com>:
Hakunaaaaaaaaaaaaa
Sent from my BlackBerry® smartphone on the Tigo Tanzania Network

From: Joseph Ludovick <josephludovick@gmail.com>
Date: Tue, 25 Feb 2014 05:46:40 -0800
Subject: Re: [wanabidii] HAKI ZA BINADAMU KWA JAMII NDOGO KAMA MASHOGA

Heeee! Hakuna anyezaliwa akiwa shoga kiasili.
On Feb 25, 2014 4:34 PM, "Hildegarda Kiwasila" <khildegarda@yahoo.co.uk> wrote:
Tafadhali katika jamii ndogo ndogo usiingize wahadzabe ukawaweka na mashoga. Hawa mashoga ni makundi maalum. Kuna makabila 120+ Tanzania. Mengine yana wato laki moja mengine laki nne hayataji lakini wahadzabe wanatajwa. Kuna makabila 90% waliuawa na wajerumani kutokana na kiburi chao sio hao wahadzabe tu. Mashoga, wasagaji, basha ni vikundi vidogo vyenye shida au mahitaji maalum. Tafuteni chanzo chao muwasaidie wajirekebisha na kuacha. Wenye matatizo na homoni zao, matatizo ya maumbile-kilema; mapepo ya kupenda ubasha na usenge, usagaji, na wale walioathirika kwa kufanyiwa hivyo mpaka wakazoea au kutokana na shida ya maisha wakawa hivyo. Kama tunavyosaidia vilema na omba omba, wenye matatizo ya ngozi-albino, nao wasenge na wasagaji ni kundi maalum. Ikitokea siku wapate umoja na uhuru na nguvu wawataje waliowafanyia nini wakawa hivyo na waonyeshe picha za mabasha au wateja wao-nchi haitakalika-kitanuka!! Kuna wale wenye tamaa na fikra za kujitamanisha kiasi wamba anaweza kufumwa anamtenda mbuzi, ng'ombe, mbwa; katoto kachanga ka miezi kadhaa. wale wagonjwa. Huko ulaya mpaka mtu anaoa mbwa. hapa TZ ipo watu wameshafumwa na mbuzi, mbwa, kuku akimtenda uchafu. Kisaikolojia wana matatizo. Lakini unapomuonea mtoto na kumfanya hivyo akazoea na baadae uje umuue kwa kua hivyo ni laana kubwa. Wanawake ndani ya ndoa wanateseka kwa ulawiti pia mahusiano ya urafiki yanawakuta wengi na anatishiwa kuachwa. Kuna wanaume wanabakwa/kulawitiwa kwa kisasi cha kufumaniwa na mke/mpenzi; kukomoana kibiashara na kumuaibisha ahame hapo kukomesha ushindani. Umri wa mpaka miaka 26 tulikuta mwanaume anatoa taarifa ya kubakwa, naye akaanza kulipiza kisasi kwa kubaka/kulawiti wanaume mpaka vijana/vitoto kama kujitibu kiakili kulipiza kisasi. ukienda dansi za mduara waendako mashoka, utakuwa vitito vivulana vidogo vimejaa. Hivi hutongoza mashoga ili wawatendee wapate hela. na hivi vinasoma shule, huko shule vinaingiza wenzao ktk majumba mabovu na kuwalawiti kama wababe fulani hivi amasivyo wababe hao watakupiga ukikubali watakulinda. Vitoto vyetu vinawaburudisha mashoga vipate hela ya ice creame. Kuna shoga shoga hafanyi yeye sex hawezi; yupo shoga-double anafanya na shoga mwenzake na kufanyiwa na anaweza kuwa na girl friend mke; kuna basha basha na basha ana mke na familia. sasa hawa wote ni watanzania-mtawaua? Ni mibaba na koo na familia zao icha ya hao vijana. Wengine ni wasomi wenye madigrii na vyeo vyao wamewapangia mashoga vyumba. Shame on women ambao wakifumania waume zao wanampiga msichana au shoga waliomfumania nao-pumbavu!! kwa nini mume humpigi na unarudi naye home kuchukua uchafu pamoja na ukimwi? Tunaunda taifa la uchafu wenyewe. Tutafute mbinu za kuwafanya watenda na watendewa waache laana hii sio kuonea upande mmoja tu!!

On Tuesday, 25 February 2014, 16:08, Yona Maro <oldmoshi@gmail.com> wrote:
HAKI ZA BINADAMU KWA JAMII NDOGO KAMA MASHOGA

Ndugu zangu ,

Nimeona nisikae kimya , nisiwe mnafiki na nisimamie kile ninachosimamia siku zote , suala la haki za binadamu kwa raia wote bila kujali mapungufu au matatizo yoyote aliyokuwa nayo .

Kabla sijaanza kuandika ujumbe huu nimesikitishwa na kiongozi mmoja akiandika kwenye ukurasa wa kijamii kufurahia kitendo cha Rais wa Uganda Kusaini GAY BILL kwa kufuata mkumbo tu bila kujua hawa ni miongoni mwa wapiga kura wake .

Tukirudi kwenye suala la jamii za watu wenye jinsia moja yaani mashoga kwa upande wa wanaume na wasagaji kwa wanawake , kuna mambo kadhaa inabidi jamii ijue nitaweza wazi kwa ufupi .

Katika katiba mpya haki zao zitakuwa kwenye kipengele cha jamii ndogo ndogo .

1 – Ndani ya jamii hizi kumekuwa na magonjwa mbalimbali , kutokana na hawa watu kutokujulikana waziwazi wamekuwa wanajificha ndani hata mahospitali hawaendi hata watoa huduma hawawafikii matokeo yake ni kuathirika zaidi na kupoteza watu wengi zaidi .

2 – kuna wale washauri nasaha na wengine watoaji wa huduma za afya haswa zinazohusiana na ugonjwa wa ukimwi , wamekuwa wanapata tabu kumaliza gonjwa hili na mengine yanayohusiana na hili kutokana na kutokuwa wazi .

3 – Kuna ushahidi wa wazi wa vitendo vya mahusiano ya jinsia moja haswa katika nyumba za ibada au kwenye huduma za ibada na taasisi za kidini haswa kwa watu wazima na watoto wadogo wanaopelekwa kujifunza na matokeo yake ni kuificha jamii hii ambayo imelelewa na kufichwa kwenye nyumba za ibada .

4 – Kwenye katiba mpya inayokuja kinachopiganiwa ni haki ya jamii ndogo ndogo kama hizi za Mashoga , wasagaji , Hadzabe na nyingine nyingi zilizopo nchini ambazo rais ameapa kuzilinda na kuzitetea bila ubaguzi wowote .

5 – Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania , Mhe Jakaya Mrisho Kikwete alichaguliwa na watu mbalimbali na aliapa kulinda watu wote na kuongoza nchi hii wakiwemo hawa ambao sasa hivi wanatengwa na kuonekana si mali kitu na si chochote  .

Kwa kumalizia napenda kusema na kusisitiza tena , Kwamba hii ni  nchi yetu wote , basi haki za wote ziheshimiwe bila kuingilia mambo ya faragha ya watu wengine , sasa tuko kwenye mchakato wa katiba mpya hili suala liangaliwe na tunakaribia uchaguzi mkuu wa mwaka 2015 natumai viongozi wetu watatumia hekima katika kuangalia na kusimamia haki za jamii ndogo ndogo .

--

Yona Fares Maro

Institut d'études de sécurité - SA

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

-----------------------
Fratern Kilasara
,

P. O. Box - (Home): 62810; or (Office): 65300
Dar es Salaam - Tanzania.
Telephone (Office): +255 (0)22 2700021/4 Ext No. 239; Fax: +255 (0)22 2775591
Mobile (Personal): +255 (0)715 40 41 53 or +255 (0)754 40 41 53
Emails: kilasara.fratern@gmail.com or kilasara.fratern@yahoo.com
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

0 comments:

Post a Comment