Wednesday, 26 February 2014

Re: [wanabidii] DK NDALICHAKO ALIKUWA KIKWAZO CHA UFAULU TANZANIA ?

Acheni kumwekea Maneno Dr Ndalichako,, huyo anayekaimu nafasi yake walikuwa pamoja muda mrefu sana hapo NECTA actually amemgroom vizuri ndo maana ameaminika kushikilia nafasi hiyo japo kwa kukaimu,,,hakuna conclusion yoyote kuhusu matokeo ya mwaka huu ikihusisha uongozi wa Dr Ndalichako. By the way formula ya ukokotoaji haitoki kwa Katibu Mtendaji...hili ni jambo la kisera ambalo liko chini ya Wizara ya Elimu. Kama wa kujadiliwa ni Kawambwa, ambaye amekuwepo mara zote kwenye mjadala wa matokeo ya form four mwaka jana na mwaka huu. Kama tunajikita kujadili personalities tuanze na KAWAMBWA. Otherwise hakuna sababu ya kuhusisha personalities na mambo ya kitaasisi.

On Wed, Feb 26, 2014 at 5:49 AM, weston mbuba <matutetz@yahoo.com> wrote:

Juma,
ukiona hivyo basi jua Joyce alikuwa mtendaji hasa, yaani alikuwa makini na kazi yake. Leo mtu wa div 4 anakuwa na div 3. Afu watz tunachekelea kama mazuzu kuwa ufaulu umeongezeka. CCM is killing us softly.------------------------------ On Mon, Feb 24, 2014 22:16 PST Juma Mzuri wrote:  >Tangu baraza la mitihani liwe chini ya katibu mtendaji mpya. matokeo ya  >Mitihani ya F4 na F6 umebadailika. > >Lakini hata makosa ya kufutiwa matokeo watoto wetu yamepungua sana. pia  >kukusea kosea kwa matokeo imepungua kwa kiasi kikubwa. Kwa mfano wakati wa  >Ndalichako mara utasikia matokeo ya huyu yameenda kwa yule au marks la somo  >hili limejumlishwa kwa 3 badala ya 2 na kusababisha malalamiko makubwa kwa  >wananachi. > >--  >Send Emails to wanabidii@googlegroups.com > >Kujiondoa Tuma Email kwenda  >wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma > >Disclaimer: >Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any
 legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines. >---  >You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group. >To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com. >For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

0 comments:

Post a Comment