Wednesday, 26 February 2014

Re: [wanabidii] URAIS 2015 - DK HAMISI KIGWANGALLA

Na zaidi ya yote Dr. kigwa ametambulishwa na kazi anazozifanya. hahitaji sana kuanza kuunda mitandao ambayo mwishowe itamuondolea sifa maana waTanzania tunaijua ubaya wake. hatahitaji kufanya kazi kubwa kuwakumbusha waTanzania tufikapo 2024 kuwa 2025 anataka tumtume Ikulu

On Wednesday, February 26, 2014 11:09 AM, Godfrey Ngupula <ngupula@yahoo.co.uk> wrote:
NAFIKIRI DR KINGWALALA ALISHASEMA YEYE ANATARAJIA KUGOMBEA URAISI 2025...SO WHY TUMSUMBUE KWA FIKRA ZA WATU WACHACHE HUKO....AND TO ME, MOVES FOR PRESIDENCE IN 2015 MUST BE THERE HOWEVER,ARE ANY MOVE IMPORTANT FOR OUR TIME HERE?THERE ANSWER IS NOOOO...ngupula

On Wednesday, 26 February 2014, 0:26, Zulqarnayn Alexander <zulqarnayn.alexander@gmail.com> wrote:

hii ni logo ya kitu kipya mtaani hapa kinachojulikana kama 'Citizens For Kigwangalla' ambayo ni movement ya wapenzi na mashabiki wa Mbunge wa Nzega na Mwenyekiti wa Kamati ya TAMISEMI , Dr Hamisi Kigwangala. Kwenye twitte kuna handle inayoonekana kama citizensfork ambayo imeandikwa disclaimer kwamba hii ni movement inayolenga kumshawishi huyu Mheshimiwa achukue fomu ya kuwania Urais mwaka 2015.

Kwa kuwa Kigwangalla ni mwenzetu hapa tunaomba uje tukuhoji maswali kuhusu hili maana limekuwa likijirudia hapa kwa namna mbalimbali, its time utoke kwenye box utuambie tuelewe kweli upo kwenye hiki kinyang;anyiro? hizi movements unazijua ama ni washabiki wako kweli wanakushawishi?

source: http://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/611546-urais-2015-dr-hamisi-kigwangalla-kujitosa-kwa-style-hii.html
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

0 comments:

Post a Comment