Serikali haina dini ni kweli lakini watu wake wana dini.Hao Wachungaji na Maaskofu ni kundi la watanzania kama walivyo wanahabari, watumishi wa serikali,wanasiasa nk.Pale hawapo kuhubiri dini bali kujadili katiba na kuona kuwa kundi lao linajumuishwa kwenye katiba kwa kuwa hata wao walitoa maoni yao wakati yakikusanywa.hata wasio na madhehebu wamo kwenye hilo bunge.Sio kwamba wao ndio watu sahihi sana kuwepo huko.Hata wale wabunge wa makundi mengine ni waamini wa dini zao sio kama hawana dini.Tuelewe kuwa hao watu wa dini wanaweza pia kuchangia mambo mazuri tu kwenye katiba kwa kuwa Tunahitaji katiba itakayoongoza taifa lenye Amani na si Mafarakano na hawa ndio wahubiri wa mambo hayo.Kwa hili MTU ASILALAMIKE.Tulalamike pale wanapotaka posho kubwa tu.
--
Yona Fares Maro
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
On Wednesday, February 26, 2014 6:06 PM, Yona Maro <oldmoshi@gmail.com> wrote:
Ndugu zangu ,
Viongozi kadhaa wamekuwa wakijitapa kwamba serikali yetu haina dini na kwamba wananchi wake ndio wenye dini .
Lakini kwenye suala la kuandaaji wa katiba mpya haswa kipindi hiki cha bunge la katiba tunaona baadhi ya wajumbe ni viongozi wa dini mbalimbali kama wachungaji tena na nguo zao rasmi ndani ya bunge na wawakilishi wa dini nyingine .
Kama serikali haina dini na kama serikali haitaki kujiingiza kwenye masuala ya dini kwanini imeruhusu viongozi wa dini kuwa wajumbe wa bunge la katiba linaloendelea ? hili suala mimi sielewi .
Tujue tu baadhi ya mazehebu ya kipentekoste yameshalalamika kuhusu kutokuwakilishwa kwenye bunge hili , hatujui huko mbeleni hali itakuwaje kama malalamiko yameshaanza kuwa hivi .
--
Institut d'études de sécurité - SA
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
0 comments:
Post a Comment