Thursday, 27 February 2014

Re: [wanabidii] Madiwani wawili wa CHADEMA Shinyanga wajiuzulu

Nimewaona na kuwasikia kwenye runinga hawana sababu yenye mashiko bali wababaishaji tu, ni kweli kabisa kuna dalili za kununuliwa hapa. Lakini ni utoto unaofanywa na hao wanaowanunua. Hivi njaa, huduma hafifu za afya, elimu mbovu ukosefu wa ajira, ufisadi, umangimeza, wizi wa viongozi na umaskini kwa watanzania vitamalizwa kwa kuwanunua madiwani? Ebu fanya kazi na acha wizi wa mali ya umma. Chadema itazidi kuimarishwa na ubovu uliomo ndani ya kundi la  mafisadi na mbinu kama hizi zitazidi kuwaimarisha wapinzani. Uroho wa madiwani wawili hautamaliza matatizo ya umma

2014-02-27 11:31 GMT+03:00 ezekiel kunyaranyara <ekunyaranyara@yahoo.co.uk>:
EM

Nafikiri hili silo swala la waende tu, kwa watu wanaojinadi kuwa makini kiasi hiki. Inavyoonekana watu wamepoteza radha kwa "Chaga kwanza wengine baadaye". Kama kaka huamini hili ninalosema subiri uone Jimbo la Kalenga watakavyogalagazwa.
 
K.E.M.S.

On Tuesday, 25 February 2014, 7:35, Emmanuel Muganda <emuganda@gmail.com> wrote:
Waende tu na waende salama. Hamna sababu za kutokwa povu.
em

Sent from my iPhone

On Feb 25, 2014, at 9:59 AM, MABADILIKO CHADEMA <mabadilikochadema@gmail.com> wrote:

Katika hali ya kuonyesha Uhai wa Chadema kuelekea 2015 ni kukatisha tamaa na kumpa hofu ya anaekiuguza chama hicho japo sio busara kumkataza mgonjwa anaekalibia kufa kunywa dawa na kumpa moyo atapona tuu japo moyoni unajua lazima afe Madiwani wawili wa chadema wameamua kujiuzulu Madiwani hao wanaojulikana kwa jina la 

1.) ZACHARIA MFUKO Wa kata ya MASEKELO na 

2.) SEBASTIANI PETER Wa kata ya NGOKORO

Sababu walizozitoa madiwani hao ni kushoshwa na uongozi kandamizi wa Freeman Mbowe na jopo lake huku wakiumizwa na siasa za chama zao za kutaka umaarufu kuliko kuwatumikia watanzania akiongea kwa jaziba SEBASTIANI PETER Wa kata ya NGOKORO "alisema Chadema inapoteza mvuto kwa watanzania hasa baada ya kutumia chopa tatu na milion mia tisa za chama hicho huku kikiambulia kata tatu tuu " lakini mpaka sasa hakuna kikao kilichoeleza na kufanya tathimini kwa nini chama kimepoteza kiasi hicho.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

0 comments:

Post a Comment