Wednesday, 26 February 2014

Re: [wanabidii] Re: Kwa nini Mwalimu Nyerere ali-veto kumkataa Lowasa?

Very true mkuu Mollel...mti wenye matunda ndio hupigwa mawe....good. And,while knowing i threaten them that is why they shout...you just potezea them and much forward
...ngupula

lesian mollel <aramakurias@yahoo.com> wrote:

sera za mwl kipindi kile muganda yes isingemruhusu hata kingunge alivyo sasa kugombea urais....kumbukeni sifa za kiongozi enzi hizo...asiwe na ajira 2, nyumba ya kupaNGA...sijui nini nini.....viongozi wooote wawe ccm au Chadema hakuna anaecomply ktk sifa za kiongozi kipindi kile alichosema Nyerere but for now, tunahitaji kiongozi tajiri aliridhika, na C anayelalamikia laki 3 hazitoshiiiiiii...hawa walioko ni walafiii na wachumia tumbo, uongoz kwao ni project na si si project ni source of income.....lowasa ni mjasirimali, karidhika, ana pesa za kula na uongozi kwakwe ni kusaidia the havenot....wote ni mashahid, hasaidii toka mfukoni kwake ni thru fundraising. hii karama anayo na ndio watu wanashobokea(sijui ni kswh kizuri, sorry) wanamuonea wivu kwanini akienda sehemu kufundraise anapata marafiki kibao wanaomuunga mkono? hii ni karama yake, amekua threat sana kwa wapinzani wake ndani ya chama na hata nje_wapinzani...ndio maana jamaa akasema mti wenye matunda ndio hua unapigwa mawe....najua lowassa analijua hili na hua si mropokaji, anasikiliza ushaur walopewa na chama na vita vinaendelea, atagombea urais tu kwa kua ndio chagua sahihi kwa sasa, anaepinga atoe hoja na atushawishi kwa hoja na si kutoa kashfa bila kuziverify
nawasilisha



On Tuesday, February 25, 2014 9:53 AM, Emmanuel Muganda <emuganda@gmail.com> wrote:
----- Forwarded Message -----

Boxbe This message is eligible for Automatic Cleanup! (emuganda@gmail.com) Add cleanup rule | More info
Kule JF kuna thread aliandika msaidizi wa zamani wa Mwalimu kuhusu sakata hili. Nimesahau jina lake lakini linaanza na K. Huyu alitumiwa na Lowassa kujaribu kupata baraka za Mwalimu. Wenye kujua zaidi watakusaidia.
em

Sent from my iPhone

On Feb 25, 2014, at 12:12 PM, Mathias Byabato <byabato2003@gmail.com> wrote:

Hivi naweza kupata ushaidi hili au maneno tu

0 comments:

Post a Comment