Wapo, mimi niliomba kukutana nae mmoja na wapo wengi. Aliletwa na mashoga niliowahoji. Nikaandaa alale kwangu nimuhoji kisha nimuombe anionyeshe nione. Utafiti with evidence (evidencing). Nilimpa khanga avae alikataa nikampa mgolole wa kimasai-alichukua na kuvaa na kujifunika. Alilala chumba pekee, nikajiandaa kumuhoji mpaka kufikia kuomba nione anionyeshe. Mashoga ndio walionipampu niombe anionyeshe. Kilichotokea-nililala macho mimi kwa hofu. aliniuliza nitataka kuona kama nami pia ninataka (hiyo kitu). Nikajifanya nami sisikii vizuri. Akaniuliza tena, nikasema-pardon sijaelewa. Akasema basi ataniuliza kesho-Good night. hapo hapakulalika mimi ndio nikawa mlinzi wa nyumba nikihofia dharuba. Ni mtambo wenye misuli hata nikiongozana naye mtaani watu wanaona tofauti ya miondoko ingawaje anasura ya kike na matiti ambayo huyabana sana kuyasicha. Usiombe kujihusisha na hizi tafiti-yatakukuta makubwa. Uhakikishe umeongozana na shoga ambaye amevaa kiume na hatembei akinengua negua na kurembusha macho! lakini njia nzima watamgundua na kwani wateja wake ndio wataanza kumuonyesha na kujifanya hawamjui bali wanamzomea. naye atakuambia anamjua na kama alimpiga picha atakuonyesha. daima uwatafutie usafiri wa kificho kwani watu wanaanza kukuzonga wakimzomea kuwa shoga kumbe ndio mtu wao. Wabongo kwa kujifanya ndio wenyewe staki nataka!!
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
On Wednesday, 26 February 2014, 12:34, flano mambo <flein47@yahoo.com> wrote:
Dah Kiwasila umeshusha nondo kali sijapata kusoma kama baadhi ya hizo ishu zipo Tanzania, yaani mimi mara ya kwanza kusikia ati mtu ana jinsia mbili ilikua mwaka juzi kama sijakosea ambapo yule mwanadada SEMENYA wa South Africa athletic aliyegundulika anazo jinsia mbili, unajua nilishangaa sana maana nikawa najiuliza hivi ni kweli anaweza kuwanazo mbili??
Wewe ndo umenishangaza kuwa na Tanzania wapo
On Wednesday, February 26, 2014 12:06 PM, Hildegarda Kiwasila <khildegarda@yahoo.co.uk> wrote:
Si kweli ndugu yangu. Ulawiti-chanzo cha ushoga ulikuwepo toka ulimwengu uumbwe-Sodoma na Gomora. Na Mungu akaweka katika biblia inatajwa kabisa-wafiraji hawatouona uwingu (samahani-ashakum). sina biblia hapa ningeweka ni sehemu gani. Kuna kipindi mitandaoni mtu alitoa picha za Mitume Shoga. Hii ilinichanganya sana. lakini hata hivyo Rutu alipoambiwa ahame Sodoma miji itachomwa na asiangalie nyuma, malaika waliotumwa kumpa ujumbe walipendeza sana. wale wajamaa wamji huo wakamuomba wawatendee kamchezo hako kuwa wanapendeza wanawatamani. Laana ikachoma mji moto. Zamani Mungu akitoa adhabu kali baadae akaona bora atoe mwokozi atoe mafunzo (Mtume/Nabii Issa-Yesu Kristo).
Afrika sidhani iliponya ulawiti source ya ushoga kwani katika mila zetu funzo moja jandoni na unyagoni ni kukataza laana ya ulawiti katika ndoa. Pia mila nyingine zinakataza mapezi ya kizungu ya kupiga mbizi chini ya chupi (vijana wanasema kula koni-ashakum) kwani walielezwa utang'oka pua kama mzee yule fulani. Kumbe kula koni kulionekana kunaleta utata kutokana na magonjwa sexually transmitted diseases kama kaswende, na gono; pia fungal diseases zinamfanya mtu apate ugonjwa wa koo, fizi, lips, ulimi kuwa na utando mweupe ambao kutibika ilikuwa tabu. Kaswende ina historia kubwa USA-New York ambapo black waliachwa wafe kama control group wakipewa placebo (dawa mfano si dawa ni sugar tu ndani) ili wazungu waone usipo mtibu mtu wa kaswende ataishia vipi- ukurutu, madonda,kichaa na death vikaonekana kuwa effect.
Huku Africa ukionekana na red lips za ajabuajabu, ukoko mweupe na vidonda vya pua mpaka ikang'oka-wazee wakisema-anhafu wa kula koni au kupiga mbizi. Kumuomba mkeo anal sex ilikuwa sheria tosha ya kimila ya talaka kuruhusiwa-hivyo yalitokea yalikuwepo. Solution kwa impotent males-ni ndugu kulala na mke ili azae watoto wanaofanana na ndugu yao. wengine wanasema hata baba alimsaidia mwanae. Hii hatuna uhakika nayo tunasikia tu eti makabila fulani baba akifanya hivyo. Kabila nyingine mke asipozaa mume anaruhusiwa kuoa mdogo wake kwa kabila nyingine ni-Mwiko wa kuua mtu kuoa kutoka damu moja mtu na dadake/mdogo wake au binamu kuoana. Makabila mengine-binamu ni chakula cha hamu na wanaoana kiasi kwamba kabila zima ni ndugu. hawataki kuchanganya kuoa kabila nyingine wanaona kabila litakufa.
Ushoga-tutafute lugha zilizotumika-mwanamke mwanaume (jike-dume) au mwanaume -mwanamke (dume jike). Tukubaliane mila ililiona na kupiga vita kabisa. Kama kuna 'Mwiko kufanya jambo fulani'-ujue kuwa lilitokea amasivyo mwiko (taboo) hiyo isingekuwepo. Mwiko wanawake kupanda mti kuvuna asali kutoka mizinga-kuna sababu zake pia mwiko kufanya mapenzi wakati wa hedhi-ni sayansi ya hali ya juu waliona madhara kwa mama na akinyonyesha akae miaka 2 baba aoe mwingine awe na mke zaidi ya mmoja ili mtoto aleleke vizuri, mama apumzike asipate ujauzito wakati huo. Wake wengi ni labour power kupunguza workload. lakini maradhi ya fungus ya kuathiri baba njia ya mkojo yalikuwa mengi na wazee wengi wa wake wengi wakifika umri fulani kuziba njia ya mkojo na kufa mapema. Gono, kaswende lilimaliza watu pia. Mapenzi na mifugo-laana ilikatazwa na mifugo huzaliwa na STDs-kisonono ambacho mtu anaweza kukipata. Kama mfugo haukosei njia kwa instnct, wewe una akili utakoseaje njia ya mapenzi na uzazi?-Laana.
wapo wenye matatizo ya homoni nyingi ni males lakini wanaota maziwa-mababu wakijua jinsi ya kuvunja maziwa kwa males; waliozaliwa na mbili (vagina, testis) wakivunja kimoja; wanawake wenye homoni za kiume walioota madevu wengine hadi kifuani, shavuni, kidevuni walikuwepo na wapo. Wengine wa hao ni machizi wanaacha ndevu zikue kwa sasa sio kama zamani zikitolewa. matatizo ya homoni ni ugonjwa tosha mtu anajisikia kupenda kufanya au kufanyiwa hivyo inabidi tuwatibie. Wapo watu ni males lakini ndani anaviungo vya kike na matiti yake yamebanda kwa ndani, sura kikekike na njia ya kike hana sehemu stahili. Wapo waliozaliwa wasichana au wanawake ana ehemu ya kike lakini njia ya uke (vagina) hana hata akitobolewa muhimbili haikai. Wapo wanawake ni females kila kitu kwa nje lakini kwa ndani hana umbile lolote lakike na daima hawezi kuzaa. Mwingine hana uterus kabisa labda awekewe ya mwingine. Kasoro hizi zinaweza kuzalisha ulawiti na ushoga, usagaji kutokana na maumbile na tatizo la homoni. Nasi waafrika kuficha vilema ndio asili yetu. Mwanamke anahomoni za kiume licha ya maumbile yake anasisimkwa akiona msichana sio mvulana-huyu asaidiwe.
Yupo mwanamke ana mbili alijulikana ana penis alipompa binamu yake mimba. Akatajwa mimba ni yake-watu walipigwa butwaa, wakamkagua akakutwa anazo mbili. Ni wazi kuwa, mama na babake walificha vilema vyake. Sasa amemuoa binabu yake lakini anavaa magauni sababu ana matiti na sura ya kike. Huyu anaweza kuwa alikuwa awe pacha lakini kikaenda vibaya. naye akipata mshikaji asiyejali-anakwenda naye kama bwanawake. Ni tajiri sana na ameoa mitala. alipokataliwa na wazazi wa mke wa pili-alimtia mimba. wazazi waliona mkosi kumuoza binti yao kwa mwanamke jike dume pamoja na kuwa alimtafutia kazi msichana wao. alipompa mimba-hawakuwa na la kusema. katika utafiti wangu wa mashoga nimekutana na msichana DSM kama huyo ambaye-amezaa watoto 3 na mume wa mtu, akitaka kuzaa hulala na bwana huyo tu. Lakini naye ana wanawake na wake za watu humgombania. Ana vagina na penis ambazo zote zinafanya kazi. Hawa wana mateso makubwa, ushindani na wanaume, ni baunsa hasa huyo dada na huongozana na mashoga kwa vile anapiga hasa magumi sio mchezo. Tuwasaidie hawa wenye vilema sio tu tutake kuwaua. Medically-wanahitaji msaada pia psychologically. Kutazama sinema mitandaoni isiwe kigezo cha kusema ushoga tunajifunzia huko, homoni, instinct na feeling za mtu kutokana na homoni, maumbile yenye kasoro mnayatazamaje. Licha ya tatizo la mibaba kulawiti watoto wa kiume na kike na wasichana na wake zao na kuunda makundi ya mashoga. Hawa mijibaba ikikamatwa ndugu msiiwekee dhamana na kuitetea.
Dawa ni nini? Wazazi tuwe karibu na watoto wetu, na tuachane na tabia ya kuwapele watoto wetu wenye umri mdogo, kuanzia Chekechea hadi Darasa la Saba, Shule za Bweni. Wengi najua mtakataa lakini ukweli ndio huu.
--
-----------------------
Fratern Kilasara,
P. O. Box - (Home): 62810; or (Office): 65300
Dar es Salaam - Tanzania.
Telephone (Office): +255 (0)22 2700021/4 Ext No. 239; Fax: +255 (0)22 2775591
Mobile (Personal): +255 (0)715 40 41 53 or +255 (0)754 40 41 53
Emails: kilasara.fratern@gmail.com or kilasara.fratern@yahoo.com
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
Afrika sidhani iliponya ulawiti source ya ushoga kwani katika mila zetu funzo moja jandoni na unyagoni ni kukataza laana ya ulawiti katika ndoa. Pia mila nyingine zinakataza mapezi ya kizungu ya kupiga mbizi chini ya chupi (vijana wanasema kula koni-ashakum) kwani walielezwa utang'oka pua kama mzee yule fulani. Kumbe kula koni kulionekana kunaleta utata kutokana na magonjwa sexually transmitted diseases kama kaswende, na gono; pia fungal diseases zinamfanya mtu apate ugonjwa wa koo, fizi, lips, ulimi kuwa na utando mweupe ambao kutibika ilikuwa tabu. Kaswende ina historia kubwa USA-New York ambapo black waliachwa wafe kama control group wakipewa placebo (dawa mfano si dawa ni sugar tu ndani) ili wazungu waone usipo mtibu mtu wa kaswende ataishia vipi- ukurutu, madonda,kichaa na death vikaonekana kuwa effect.
Huku Africa ukionekana na red lips za ajabuajabu, ukoko mweupe na vidonda vya pua mpaka ikang'oka-wazee wakisema-anhafu wa kula koni au kupiga mbizi. Kumuomba mkeo anal sex ilikuwa sheria tosha ya kimila ya talaka kuruhusiwa-hivyo yalitokea yalikuwepo. Solution kwa impotent males-ni ndugu kulala na mke ili azae watoto wanaofanana na ndugu yao. wengine wanasema hata baba alimsaidia mwanae. Hii hatuna uhakika nayo tunasikia tu eti makabila fulani baba akifanya hivyo. Kabila nyingine mke asipozaa mume anaruhusiwa kuoa mdogo wake kwa kabila nyingine ni-Mwiko wa kuua mtu kuoa kutoka damu moja mtu na dadake/mdogo wake au binamu kuoana. Makabila mengine-binamu ni chakula cha hamu na wanaoana kiasi kwamba kabila zima ni ndugu. hawataki kuchanganya kuoa kabila nyingine wanaona kabila litakufa.
Ushoga-tutafute lugha zilizotumika-mwanamke mwanaume (jike-dume) au mwanaume -mwanamke (dume jike). Tukubaliane mila ililiona na kupiga vita kabisa. Kama kuna 'Mwiko kufanya jambo fulani'-ujue kuwa lilitokea amasivyo mwiko (taboo) hiyo isingekuwepo. Mwiko wanawake kupanda mti kuvuna asali kutoka mizinga-kuna sababu zake pia mwiko kufanya mapenzi wakati wa hedhi-ni sayansi ya hali ya juu waliona madhara kwa mama na akinyonyesha akae miaka 2 baba aoe mwingine awe na mke zaidi ya mmoja ili mtoto aleleke vizuri, mama apumzike asipate ujauzito wakati huo. Wake wengi ni labour power kupunguza workload. lakini maradhi ya fungus ya kuathiri baba njia ya mkojo yalikuwa mengi na wazee wengi wa wake wengi wakifika umri fulani kuziba njia ya mkojo na kufa mapema. Gono, kaswende lilimaliza watu pia. Mapenzi na mifugo-laana ilikatazwa na mifugo huzaliwa na STDs-kisonono ambacho mtu anaweza kukipata. Kama mfugo haukosei njia kwa instnct, wewe una akili utakoseaje njia ya mapenzi na uzazi?-Laana.
wapo wenye matatizo ya homoni nyingi ni males lakini wanaota maziwa-mababu wakijua jinsi ya kuvunja maziwa kwa males; waliozaliwa na mbili (vagina, testis) wakivunja kimoja; wanawake wenye homoni za kiume walioota madevu wengine hadi kifuani, shavuni, kidevuni walikuwepo na wapo. Wengine wa hao ni machizi wanaacha ndevu zikue kwa sasa sio kama zamani zikitolewa. matatizo ya homoni ni ugonjwa tosha mtu anajisikia kupenda kufanya au kufanyiwa hivyo inabidi tuwatibie. Wapo watu ni males lakini ndani anaviungo vya kike na matiti yake yamebanda kwa ndani, sura kikekike na njia ya kike hana sehemu stahili. Wapo waliozaliwa wasichana au wanawake ana ehemu ya kike lakini njia ya uke (vagina) hana hata akitobolewa muhimbili haikai. Wapo wanawake ni females kila kitu kwa nje lakini kwa ndani hana umbile lolote lakike na daima hawezi kuzaa. Mwingine hana uterus kabisa labda awekewe ya mwingine. Kasoro hizi zinaweza kuzalisha ulawiti na ushoga, usagaji kutokana na maumbile na tatizo la homoni. Nasi waafrika kuficha vilema ndio asili yetu. Mwanamke anahomoni za kiume licha ya maumbile yake anasisimkwa akiona msichana sio mvulana-huyu asaidiwe.
Yupo mwanamke ana mbili alijulikana ana penis alipompa binamu yake mimba. Akatajwa mimba ni yake-watu walipigwa butwaa, wakamkagua akakutwa anazo mbili. Ni wazi kuwa, mama na babake walificha vilema vyake. Sasa amemuoa binabu yake lakini anavaa magauni sababu ana matiti na sura ya kike. Huyu anaweza kuwa alikuwa awe pacha lakini kikaenda vibaya. naye akipata mshikaji asiyejali-anakwenda naye kama bwanawake. Ni tajiri sana na ameoa mitala. alipokataliwa na wazazi wa mke wa pili-alimtia mimba. wazazi waliona mkosi kumuoza binti yao kwa mwanamke jike dume pamoja na kuwa alimtafutia kazi msichana wao. alipompa mimba-hawakuwa na la kusema. katika utafiti wangu wa mashoga nimekutana na msichana DSM kama huyo ambaye-amezaa watoto 3 na mume wa mtu, akitaka kuzaa hulala na bwana huyo tu. Lakini naye ana wanawake na wake za watu humgombania. Ana vagina na penis ambazo zote zinafanya kazi. Hawa wana mateso makubwa, ushindani na wanaume, ni baunsa hasa huyo dada na huongozana na mashoga kwa vile anapiga hasa magumi sio mchezo. Tuwasaidie hawa wenye vilema sio tu tutake kuwaua. Medically-wanahitaji msaada pia psychologically. Kutazama sinema mitandaoni isiwe kigezo cha kusema ushoga tunajifunzia huko, homoni, instinct na feeling za mtu kutokana na homoni, maumbile yenye kasoro mnayatazamaje. Licha ya tatizo la mibaba kulawiti watoto wa kiume na kike na wasichana na wake zao na kuunda makundi ya mashoga. Hawa mijibaba ikikamatwa ndugu msiiwekee dhamana na kuitetea.
Ms Hildegarda Lucian Kiwasila,
Institute of Resource Assessment,
P.O BOx 35097 Dar Es Salaam,
Tanzania.
Email: khildegarda@yahoo.co.uk
lphildegarda2009@googlemail.com
+255-22-2410144 Ext2422
+255762544553/754763803
Institute of Resource Assessment,
P.O BOx 35097 Dar Es Salaam,
Tanzania.
Email: khildegarda@yahoo.co.uk
lphildegarda2009@googlemail.com
+255-22-2410144 Ext2422
+255762544553/754763803
On Wednesday, 26 February 2014, 11:17, Kilasara Fratern <kilasara.fratern@gmail.com> wrote:
Kiafrika na kwa utamaduni wetu wa Afrika, sikumbuki na wala sidhani kama tatizo la ushoga lilikuwepo; ila ni tatizo lililoletwa kwetu na utandawazi, mathalani, mikanda ya picha za ngono. Na kwa vile Waafrika tu wepesi sana kuiga bila kufanya tathmini ya kutosha, watu wemejikuta wameshatumbukia kwenye janga hili. Kama alivyo chain-smoker, au teja ndivyo walivyo mashoga. Hakuna hata mmoja kati ya hawa alizaliwa kuwa mvuta sigara wa kupindukia (chain smoker), teja, au shoga.
Hawa wote walianza kwa kuonja... na kama msemo usemao, bandu bandu humaliza gogo au chovya chovyo humaliza buyu la asali. Ndivyo na hawa ndugu walivyo. Kama alivyo taahira, au mtu mwingine yeyote mwenye mtindio wa ubungo, ndivyo na hawa walivyo (i.e. psychic sick). Sasa, kwa nini tuunge mkono ugonjwa badala ya kuangalia namna ya kuwabadilisha? Na kimsingi, there is no soft way to rectify/re-mold misguided psychic without pain.
Kwa utamaduni wa Mwafrika, tatizo kama ushoga ni kikwazo, au kwa maneno mengine, 'a taboo' na kwa nchi kama Uganda ambayo kwa sehemu kubwa bado wamekumbati mila na desturi zao, si shangai sana kwa alichokifanya Museven.Hawa wote walianza kwa kuonja... na kama msemo usemao, bandu bandu humaliza gogo au chovya chovyo humaliza buyu la asali. Ndivyo na hawa ndugu walivyo. Kama alivyo taahira, au mtu mwingine yeyote mwenye mtindio wa ubungo, ndivyo na hawa walivyo (i.e. psychic sick). Sasa, kwa nini tuunge mkono ugonjwa badala ya kuangalia namna ya kuwabadilisha? Na kimsingi, there is no soft way to rectify/re-mold misguided psychic without pain.
2014-02-25 19:09 GMT+03:00 Deodatus Balile <deobalile@yahoo.com>:
HakunaaaaaaaaaaaaaSent from my BlackBerry® smartphone on the Tigo Tanzania NetworkFrom: Joseph Ludovick <josephludovick@gmail.com>Sender: wanabidii@googlegroups.comDate: Tue, 25 Feb 2014 05:46:40 -0800To: wanabidii<wanabidii@googlegroups.com>ReplyTo: wanabidii@googlegroups.comSubject: Re: [wanabidii] HAKI ZA BINADAMU KWA JAMII NDOGO KAMA MASHOGAHeeee! Hakuna anyezaliwa akiwa shoga kiasili.On Feb 25, 2014 4:34 PM, "Hildegarda Kiwasila" <khildegarda@yahoo.co.uk> wrote:Tafadhali katika jamii ndogo ndogo usiingize wahadzabe ukawaweka na mashoga. Hawa mashoga ni makundi maalum. Kuna makabila 120+ Tanzania. Mengine yana wato laki moja mengine laki nne hayataji lakini wahadzabe wanatajwa. Kuna makabila 90% waliuawa na wajerumani kutokana na kiburi chao sio hao wahadzabe tu. Mashoga, wasagaji, basha ni vikundi vidogo vyenye shida au mahitaji maalum. Tafuteni chanzo chao muwasaidie wajirekebisha na kuacha. Wenye matatizo na homoni zao, matatizo ya maumbile-kilema; mapepo ya kupenda ubasha na usenge, usagaji, na wale walioathirika kwa kufanyiwa hivyo mpaka wakazoea au kutokana na shida ya maisha wakawa hivyo. Kama tunavyosaidia vilema na omba omba, wenye matatizo ya ngozi-albino, nao wasenge na wasagaji ni kundi maalum. Ikitokea siku wapate umoja na uhuru na nguvu wawataje waliowafanyia nini wakawa hivyo na waonyeshe picha za mabasha au wateja wao-nchi haitakalika-kitanuka!! Kuna wale wenye tamaa na fikra za kujitamanisha kiasi wamba anaweza kufumwa anamtenda mbuzi, ng'ombe, mbwa; katoto kachanga ka miezi kadhaa. wale wagonjwa. Huko ulaya mpaka mtu anaoa mbwa. hapa TZ ipo watu wameshafumwa na mbuzi, mbwa, kuku akimtenda uchafu. Kisaikolojia wana matatizo. Lakini unapomuonea mtoto na kumfanya hivyo akazoea na baadae uje umuue kwa kua hivyo ni laana kubwa. Wanawake ndani ya ndoa wanateseka kwa ulawiti pia mahusiano ya urafiki yanawakuta wengi na anatishiwa kuachwa. Kuna wanaume wanabakwa/kulawitiwa kwa kisasi cha kufumaniwa na mke/mpenzi; kukomoana kibiashara na kumuaibisha ahame hapo kukomesha ushindani. Umri wa mpaka miaka 26 tulikuta mwanaume anatoa taarifa ya kubakwa, naye akaanza kulipiza kisasi kwa kubaka/kulawiti wanaume mpaka vijana/vitoto kama kujitibu kiakili kulipiza kisasi. ukienda dansi za mduara waendako mashoka, utakuwa vitito vivulana vidogo vimejaa. Hivi hutongoza mashoga ili wawatendee wapate hela. na hivi vinasoma shule, huko shule vinaingiza wenzao ktk majumba mabovu na kuwalawiti kama wababe fulani hivi amasivyo wababe hao watakupiga ukikubali watakulinda. Vitoto vyetu vinawaburudisha mashoga vipate hela ya ice creame. Kuna shoga shoga hafanyi yeye sex hawezi; yupo shoga-double anafanya na shoga mwenzake na kufanyiwa na anaweza kuwa na girl friend mke; kuna basha basha na basha ana mke na familia. sasa hawa wote ni watanzania-mtawaua? Ni mibaba na koo na familia zao icha ya hao vijana. Wengine ni wasomi wenye madigrii na vyeo vyao wamewapangia mashoga vyumba. Shame on women ambao wakifumania waume zao wanampiga msichana au shoga waliomfumania nao-pumbavu!! kwa nini mume humpigi na unarudi naye home kuchukua uchafu pamoja na ukimwi? Tunaunda taifa la uchafu wenyewe. Tutafute mbinu za kuwafanya watenda na watendewa waache laana hii sio kuonea upande mmoja tu!!
On Tuesday, 25 February 2014, 16:08, Yona Maro <oldmoshi@gmail.com> wrote:
--HAKI ZA BINADAMU KWA JAMII NDOGO KAMA MASHOGANdugu zangu ,Nimeona nisikae kimya , nisiwe mnafiki na nisimamie kile ninachosimamia siku zote , suala la haki za binadamu kwa raia wote bila kujali mapungufu au matatizo yoyote aliyokuwa nayo .Kabla sijaanza kuandika ujumbe huu nimesikitishwa na kiongozi mmoja akiandika kwenye ukurasa wa kijamii kufurahia kitendo cha Rais wa Uganda Kusaini GAY BILL kwa kufuata mkumbo tu bila kujua hawa ni miongoni mwa wapiga kura wake .Tukirudi kwenye suala la jamii za watu wenye jinsia moja yaani mashoga kwa upande wa wanaume na wasagaji kwa wanawake , kuna mambo kadhaa inabidi jamii ijue nitaweza wazi kwa ufupi .Katika katiba mpya haki zao zitakuwa kwenye kipengele cha jamii ndogo ndogo .1 – Ndani ya jamii hizi kumekuwa na magonjwa mbalimbali , kutokana na hawa watu kutokujulikana waziwazi wamekuwa wanajificha ndani hata mahospitali hawaendi hata watoa huduma hawawafikii matokeo yake ni kuathirika zaidi na kupoteza watu wengi zaidi .2 – kuna wale washauri nasaha na wengine watoaji wa huduma za afya haswa zinazohusiana na ugonjwa wa ukimwi , wamekuwa wanapata tabu kumaliza gonjwa hili na mengine yanayohusiana na hili kutokana na kutokuwa wazi .3 – Kuna ushahidi wa wazi wa vitendo vya mahusiano ya jinsia moja haswa katika nyumba za ibada au kwenye huduma za ibada na taasisi za kidini haswa kwa watu wazima na watoto wadogo wanaopelekwa kujifunza na matokeo yake ni kuificha jamii hii ambayo imelelewa na kufichwa kwenye nyumba za ibada .4 – Kwenye katiba mpya inayokuja kinachopiganiwa ni haki ya jamii ndogo ndogo kama hizi za Mashoga , wasagaji , Hadzabe na nyingine nyingi zilizopo nchini ambazo rais ameapa kuzilinda na kuzitetea bila ubaguzi wowote .5 – Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania , Mhe Jakaya Mrisho Kikwete alichaguliwa na watu mbalimbali na aliapa kulinda watu wote na kuongoza nchi hii wakiwemo hawa ambao sasa hivi wanatengwa na kuonekana si mali kitu na si chochote .Kwa kumalizia napenda kusema na kusisitiza tena , Kwamba hii ni nchi yetu wote , basi haki za wote ziheshimiwe bila kuingilia mambo ya faragha ya watu wengine , sasa tuko kwenye mchakato wa katiba mpya hili suala liangaliwe na tunakaribia uchaguzi mkuu wa mwaka 2015 natumai viongozi wetu watatumia hekima katika kuangalia na kusimamia haki za jamii ndogo ndogo .--Yona Fares MaroInstitut d'études de sécurité - SA
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.--

0 comments:
Post a Comment