Thursday, 27 February 2014

Re: [wanabidii] Airtel Tanzania - HUDUMA MBAYA SANA

Tanzania ni Dar es Salaam tu! Maana kama nilivyokwisha kuandika hapo nyuma kuwa mitandao yote ya simu, bado huduma zao mikoani ni mbovu, mathalani kuhusu utumaji wa miamala ya fedha. Mwishoni mwa mwaka jana, nilibahatika kuwepo Kilimanjaro, huko nilipata tatizo la moderm yangu ya internet (ambayo niya Airtel), na ili kupata ufumbuzi, ilinibidi niende offisi kwao, kubadilisha line ya simu kwani iliyokuwepo ilikuwa ya zamani, na bahati mbaya walisema inaonekana imeharibika, kunipa line nyingine na uiunganisha kwenye mtandao nipata huduma ya internet ilichukua zaidi ya lisaa. Kilichonisikitisha zaidi, nilikuta mlundikano wa watu, wenye matatizo na utumaji wa fedha, ama wametuma fedha hazijafika kama huyu mwenzetu na wengine wamesahau 'password.' Wachagga walivyo, wengine walikuwa wanalalamika, matatizo yao yamekaa mengine wiki, wiki mbili, hadi tatu. Wahusika walikuwa wanawaambia matatizo haya yana shughulikiwa makao makuu (Dar). Je, kama Moshi ni hivi, kwenye mikoa mingine ya mbali kama vile Mara na kwingineko hali inakuwaje?

Kweli, Kampuni ya Airtel inabidi inatafute njia ya kuboresha huduma zake na izingatie kuwa uchumi wa wananchi walioko mikoani na vijijini unategemea kuendeshwa na watu walioko mijini na njia pekee inayotumika kutuma fedha kwenda huko ni kwa mitandao. Kwa huduma mbovu, kimsingi, wanajikosesha mapato. "Thus, a clever investor will strive strengthen his/her business linkages (i.e. strong and reliable network coverage) to sustain good relationships between urban and rural communities because that is where the business is! Capitalizing only in urban centers, is not sustainable for so long!"

On Thu, Feb 27, 2014 at 10:51 AM, Joseph Ludovick <josephludovick@gmail.com> wrote:

Nilisema.wakichafuliwa wanachukua hatua.tunampongeza huyu kigogo

On Feb 27, 2014 10:44 AM, "De kleinson kim" <dekleinson@gmail.com> wrote:

Tusiwe wachoyo wa kutoa pongezi kwa kigogo huyo.
Ameonyesha utendaji!! Japo ni jukumu lake ila kuchukua tu maamuzi ya kulisgughulikia ni swala lingine.
Thumbs up kigogo AIRTEL (ID with held)

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

-----------------------
Fratern Kilasara
,

P. O. Box - (Home): 62810; or (Office): 65300
Dar es Salaam - Tanzania.
Telephone (Office): +255 (0)22 2700021/4 Ext No. 239; Fax: +255 (0)22 2775591
Mobile (Personal): +255 (0)715 40 41 53 or +255 (0)754 40 41 53
Emails: kilasara.fratern@gmail.com or kilasara.fratern@yahoo.com

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

0 comments:

Post a Comment