Thursday, 2 January 2014

[wanabidii] Re: Zitto Kabwe kuweka pingamizi mahakamani kuzuia kikao cha kamati kuu CHADEMA

Zitto aweka pingamizi Mahakamani kuzuia Kikao cha Kamati Kuu kesho

Kikao Maalum cha Kamati Kuu kesho, 3 Januari 2014, Jijini Dar Es Salaam kitakuwa na ajenda kuu tatu:

Mosi; Mchakato wa Katiba Mpya

Pili; Mpango Kazi wa Chama kwa mwaka 2014

Mpango Kazi wa chama ni sehemu ya hatua za utekelezaji wa Mpango Mkakati wa Chama wenye dhima ya kuleta uongozi bora, sera sahihi, mikakati makini na oganizesheni thabiti kwa maendeleo endelevu ya chama na taifa.

Tatu; Kupokea utetezi wa wanachama watatu kuhusu tuhuma mbalimbali zilizoelekezwa kwao na

Kuhusu Wanachama watatu walishajulishwa makosa yao kwa maandishi na wamewasilisha utetezi wao wa maandishi. Wataitwa kwenye kikao kwa kuzingatia matakwa ya kanuni 6.5.2 (b) na 6.5.2 (d), kupewa nafasi ya kujitetea mbele ya kikao kinachohusika.

On Thursday, January 2, 2014 1:20:58 PM UTC+3, Emma Kaaya wrote:
Zitto Kabwe kuweka pingamizi mahakamani kuzuia kikao cha kamati kuu CHADEMA kinachoanza kesho nikuonyesha ni jinsi gani anavyokurupuka katika matendo yake ndani ya chama.Ni matumaini yangu kwa wanasheria wetu wa chama kuhakikisha kikao kinafanyika kesho.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

0 comments:

Post a Comment