Thursday 30 January 2014

Re: [wanabidii] Diwani wa CHADEMA Majengo, Kahama avuliwa uanachama

Hello "Laigwanan" Mollel

Hivi hapo katika ofisi yako Sinza Mori, ukagundua kuwa kuna mmoja wa vijana wako anakuzunguka na anapata dili za kuuza majenga, viwanja, nyumba na vinginevyo ambavyo wewe unavifanya kiofisi bila wewe kujua ukamuonya mara kadhaa lakini bado ukagundua kuwa anaendelea kuvifanya kisiri siri na baadaye ukaamua kumwachisha/kumfukuza kazi je utakuwa umeiua ofisi yako? Tafakari hilo.

On Jan 30, 2014, at 6:28 PM, lesian mollel <aramakurias@yahoo.com> wrote:

Hawa kina mbowe, mnyika na wengine hapo juu badala ya kukijenga chama waoa wanakiua hawa jamaa vipi.
Mini niseme hawa siasa zao ni za visasi na ukweli ndio tatizo ktk chadema.....wanaogopa kivuli tu cha zitto, kisa jamaa kusema ana urafiki na zitto jamani, hawa jamaa kwanini kina prof Baregu wasiingilie kuwashauri maana kasi yao ya kuisambaratisha chama ambacho kilikua kiwe mbadala wa ccm 2015 ? sasa mh mnyika huko jimboni kwako matatizo kibao , maji, kila kona hakuna, elimu baado, afya nayo bado, acha ajira sasa wewe unakwenda kuangaika na kuwavua watu uanachama badala ya kudeal na mambo ya kuimarisha jimbo lako mzee , shauri yako? 2015 watu wananyemelea hili jimbo la ubungo , sikiliza ushauri, come back to ubungo, mikutano ya kuwangooa watu uanachama mwachie slaa na mbowe

On Wednesday, January 29, 2014 10:48 PM, Abdalah Hamis <hamisznz@gmail.com> wrote:
----- Forwarded Message -----

Boxbe This message is eligible for Automatic Cleanup! (hamisznz@gmail.com) Add cleanup rule | More info
CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA jana kilitangaza kumvua uanachama Diwani wake wa Kata ya Majengo wilayani Kahama kwa madai ya ukiukaji wa taratibu za uongozi wa chama hicho.

Uamuzi wa kumvua uanachama diwani huyo Bobson Wambura umetangazwa na Katibu Uenezi wa Chama hicho Taifa, John Mnyika kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika mjini Kahama.

Katika mkutano huo Mnyika ameuagiza uongozi wa CHADEMA ngazi ya wilaya na MKoa kuchukua hatua haraka za 
kumfukuza diwani huyo na kutoa taarifa mapema iwezekanavyo.

Hata hivyo Mwenyekiti wa CHADEMA wilaya ya Kahama, Juma Protas amesema taratibu zote za kumfukuza diwani huyo zimekamilika na kuwa tuhuma kubwa inayomkabili ni ya kuunda njama za kuenguliwa kwa mgombea wao wa Udiwani kwenye uchaguzi mdogo wa Kata ya Ubagwe.

Kwa upande wake Bobson amesema uamuzi wa viongozi hao uko sahihi kwa kuwa ni maoni yao na kwamba haki yake itapatikana kisheria kwa kuwa kufukuzwa kwake ndani ya chama hicho kunatokana na sababu za kisiasa.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

0 comments:

Post a Comment