Wednesday 29 January 2014

Re: [wanabidii] OPERESHENI PAMOJA DAIMA , ITV DAIMA , TANZANIA DAIMA

Felix,

1. Maslahi yangu katika hili yanafahamika. Siyakwepi. Msimamo wangu upo wazi. Na katika masuala yote ambayo nimewahi kuyajadili, nakuwa upande. Sababu ni moja. Sipendi upopo. Sikubaliani na msimamo wa kutokuwa na msimamo. Nakwenda na msingi wa kile ninachojua, ninachoamini, ninachosimamia. Basi. Kwa hiyo, ndugu yangu, katika suala hili la Chadema, msimamo wangu unaeleweka wazi.

2. Sitetei makosa ya Chadema. Sijashambulia anayesema makosa ya Chadema. Mimi nimesambulia hii kitu niliyoita cynicism. Nimeshambulia pia ushabiki wa kijinga katika dhana ya ukabila ambao baadhi yenu mnauhusisha na chama, si Chadema tu bali chama chochote. Upo pia udini. Nasisitiza huu ni ugonjwa wa akili tu. Wagonjwa wa akili ndio pekee wanaweza kuwekeza hoja zao katika udini na ukabila, halafu wakajiona wako sahihi; na ni wazima wa afya.

3. Kwa nafasi yangu, na kwa uhusiano nilionao na watu na taasisi kadhaa, najua kinachoendelea. Najua media spinning mnayofanya kusaidia watawala au wapambe wao ili wapate fursa ya kupumua. Hata katika mtandao huu hapa, ni watu wale wale, majina yale yale, hoja zile zile. Dhihaa zile zile, na mashangilio yale yale. Wapo wengi wanasoma na kupita, hawachangii kwa sababu wanazojua. Lakini tusipuuze uelewa wao. Hadi hapa, napenda nisisitize jambo moja kuu. Tutawazuia watawala mafisadi na wapembe wao kupumua, maana hawastahili fursa hiyo.

4. Kila mmoja wetu akibaki na maoni, mtazamo na msimamo wake, akautetea kwa hoja, hatutahitaji kutumia maneno makali kushambulia wanaotukosoa. Soma, tafakari, elewa, vumilia. Naamini katika tofauti ya mawazo, lakini haina maana kwa sijui kuna watu wamewekeza sana kifedha katika kutumia tofauti hizo kuua mambo mema kwa ajili ya kulinda uovu wa miaka 52.Ninachojua ni kwamba watashindwa.

5. Kuhusu suala la Zitto tulishakubaliana kutokubaliana. Msimamo wako nilishauweka wazi. Nimekataa ushabiki unaofanywa kubezwa vikao vya chama kwa ajili ya kutetea mtu mmoja. Hata kama ana haki, kama ameshindwa kujitetea na kuridhisha wajumbe wa kikao, uamuzi ukishafanyika, watu wenye akili timamu na wanaojua dhana ya uongozi hushikamana katika uamuzi wa kikao. Hata wale waliomtetea ndani ya kikao, kikishatoa uamuzi nao humezwa, na hutetea msimamo wa kikao. Popote duniani huo ndiyo uongozi, na ndiyo demokrasia.

Ninachokataa mimi ni ile tabia ya baadhi ya watu kuanza kusema Zitto ameondolewa nyadhifa zake kwa vile yeye si Mchagga! Ujinga. Kamati Kuu ina wajumbe takribani 30. Zitto ndiye hakuwa Mchagga pekee? Dhana hii inaletwa na wasiotaka kujenga hoja inayojadiliwa, bali kujaribi kutazama watu kwa makabila yao. Ujinga huu una kasoro moja. Kila mmoja wetu ana kabila. Na sidhani kama kunakabila lililo bora kuliko mengine. Halipo!

Ansbert Ngurumo
Managing Editor
Free Media

P.O. Box 15261
Dar es Salaam
Tanzania

Mobile    +255 767 172 665
www.freemedia.co.tz
www.voxmediatz.com
www.ngurumo.wordpress.com
www.ngurumo.blogspot.com

On Wednesday, January 29, 2014 11:33 AM, Felix Mwakyembe <fkyembe@gmail.com> wrote:
Ngurumo,

Naona wewe ndiye mwenye matatizo na huo msamiati unaowatwisha wenzio angalia kidole gumba chako, haiezekani kila anayetofautiana na wewe au CDM na viongozi wake kwako akawa na huo upuuzi wa ukabila.

Tafadhali tusilishane maneno na kupeana majina yasiyofaa, naelewa nafasi ulipo sasa, unashindwa kuangalia upande wa pili wa CDM kwa sababu una maslahi, na wengine tunapozungumzia upande wa pili tunalenga udhaifu, we endelea na msimamo wako, kwa kuwa unakufaa zaidi.

Tuliponyesha udhaifu wa CDM katika shauri la Zitto ulituona wajinga vile vile, ukatuhesabu kuwa wafuasi wake, kisa hoja zeti ziliegemea upande wake, ni udhaifu mkubwa ndg yangu, hoja ziliegemea hali halisi ya lile shauri, kwani hata asiye mjuzi wa sheria aliona udhaifu ulipokuwepo, udhaifu uliompa nguvu ya ushindi Zitto, kumbuka kauli yako dhidi ya mchango wangu, nilisubiri hukutokea tena!!!!!!!!

2014-01-29 lesian mollel <aramakurias@yahoo.com>
ngurumo wewe una interest ndani ya cdm ndio maana unawaita wanaotofautiana na wewe ni wajinga, huenda hujijui ndio maana unawaita hivyo wenzako, si ujinga hata dg kuna kaukweli flani kamanda ,watch out.......unasikilizaga kauli za mzee mtei kweli au unajitia kiziwi mzee ah ah haaa........hapa cdm lazima ichange namna ya kuweka viongoz hapojuu wabalance kakaa, lete

On Saturday, January 25, 2014 3:52 AM, Ansbert Ngurumo <ansbertn@yahoo.com> wrote:
Felx,
Ukabila ni ugonjwa hatari sana. Ni ugonjwa wa akili. Bahati mbaya sana naona umewashika Watanzania wengi. Na hii imeasisiwa na CCM wakidhani kwamba wananchi wakichukia makabila makubwa wao watadumu katika utawala. Ilikuwa zamu ya Wahaya huko nyuma. Sasa ni zamu ya Wachagga. Inaingizwa katika kila kitu. Hata hapa kwenye mtandao naiona baadhi yenu - nadhani na wewe umetumbukia humo - mkidhani kuwa mtaonyesha ubaya wa Chadema kuwa kushambulia wachaga, na kukifanya kionekane ni chama cha wachaga.

Wajinga tu ndio wanaweza kushabikia hoja za kikabila. Hata sakata la Zitto, baadhi yenu mnalifanya la kikabila, kana kwamba Zitto pekee ndiye hakuwa Mchagga kwenye Kamati Kuu iliyomchukulia hatua. Ujinga mtupu! Sipendi wewe uwe mmoja wa wajinga hao.
 
Ansbert Ngurumo
Managing Editor
Free Media

P.O. Box 15261
Dar es Salaam
Tanzania

Mobile    +255 767 172 665

On Friday, January 24, 2014 8:10 PM, Felix Mwakyembe <fkyembe@gmail.com> wrote:
Ansbert,

Kuwaza katika misingi ya ukabila, sjui ukanda, udini, ni udhaifu mkubwa, ndio maana wengi likichomekwa hilo jambo, ama huacha kuchangia au hulipuuza, mimi ni mmoja wa wapuuziaji wa hoja hiyo kwa sababu siioni mantiki yake, na wala siamini kuwepo kwa huo upuuzi.

Katika rafiki zangu wa karibu sana, infwact, nami niongee Kikiziba kidogo, hakuna Mnyaki hata mmoja, kwangu wote ni binadamu walio sawa.

Utamchukiaje mtu ambaye ndani ya familia yenu mnaye, ni ndugu yenu, ni rafiki yako wa kufa na kuzikana, mnaishi pamoja, mnakula pamoja, mnakunywa pamoja na wakati wa matatizo ndiye wa kwanza kukupa msaada, very strange!!!!

Moja ya sifa yetu kubwa Watanzania, na wenzetu wana admire kwa hiyo, ni kutotazamana katika misingi hiyo.

Nipo Chennai hivi sasa, ni Watanzania tu wenye kuishi kama familia, hadi leo hatujaulizana makabila, wala dini wala kanda, hadi Mataifa mengine, kama Nigeria, Kenya, Rwanda wamejiunga kwenye jumuiya ya Watanzania.

Kwa hiyo katika post hii huwezi kupata mtiririko wa mjadala wa ukabila uliochomekwa hapa, watu hatuko interested nao, viongozi wenye kutumia hiyo dhana siku zote huitumia kupata huruma ya wapigakura au huruma ya kuyafikia malengo yake na sio zaidi ya hapo, ila ni dhana ya hatari sana kuendekezwa, kwani hutumika kimaslahi zaidi, kwa hiyo ukiitazama kijuu juu utaamini kuwa ni ukabila.

Pengine wengi wenye kuamini katika dhana hiyo, swali moja la kiuliza, jee majirani zangu, marafiki wote ni wa kabila lagu, jee maisha yangu hayategemei mtu wa kabila jingine au dini nyingine, na jee nje ya dini, kabila, au ukanda, nabaki kuwa nani na huyu jirani yangu anabaki kuwa nani!!

2014/1/25 Ansbert Ngurumo <ansbertn@yahoo.com>
Felix,
Bahati mbaya hadi hapa sijaona yeyote aliyefikiri. Bado. Watu wanakariri na kurejesha kauli za wengine. Kwa mfano, hivi kuna tija gani kitaifa kuchukia baadhi ya makabila? inakusaidia nini wewe na mwanao kumchukia mchaga au mhaya au mnyakkyusa eti kwa kuwa labda amesoma, amefanikiwa, amewekeza,ni mjuzi wa mambo, ana msimamo mkali au ni mpinzani wa serikali unayopenda? Unadhani ukishamaliza chuki dhidi ya wachaga utawapenda akina nani? Kwa sifa au kigezo gani?

Hivi kama tungekuwa tunaweka vigezo vya kuenziwa, unyonge, umaskini, ujinga, ilimbukeni ni sifa ambazo zingepigiwa sifa? Na kama tungeamua kufuatilia makundi katika jamii yetu ambayo yamefanikiwa kwa kiasi fulani, unadhani tungesema hayo makabila makubwa si ya kuiga bali ya kubeza?

Katika mjadala huu kuna jambo moja kubwa ambalo na wewe unalijua. Wote wanaoweza kufikiri kidogo wanajua kwanini makundi kadhaa ya Watanzania, wakiongozwa na makada wa CCM wanachukia wachaga. Tunajua. Lakini tunatambua pia kuwa huu ni ujinga tu. Muda utatusaidia, haya nayo yatapita.

Ansbert Ngurumo
Managing Editor
Free Media

P.O. Box 15261
Dar es Salaam
Tanzania

Mobile    +255 767 172 665

On Thursday, January 23, 2014 7:59 AM, Felix Mwakyembe <fkyembe@gmail.com> wrote:
Abdul,

Mtu anapotofautiana nawe ndio hiyo brainwash, au mimi sielewi vizuri!

Watu wamefikishwa katika mkanganyiko ambao wanashindwa kupembua kati ya mchele na pumba, hivyo jambo la msingi ni kwa wahusika kuwaondolea huo mkanganyiko na sio kuwalazimisha wakubaliane na kitu kisichoelezeka.

Hapo walipofikia Watanzania, kuhoji hata wale waliowaamini kuwa ni watu wenye malengo mazuri na maisha yao, ni hatua kubwa sana ya kujitambua badala ya kupelekwapelekwa tu nao wakishangilia lakini wasijue wanachokishangilia.

On 23 January 2014 21:06, ezekiel kunyaranyara <ekunyaranyara@yahoo.co.uk> wrote:
Chaga empire baada ya kuiteka sekta ya fedha na biashara nchini mwetu na elimu sasa wantaka kutawaala na siasa. Kazi kwenu watanzania kuamua wapi tuelekee

From: Paul Lawala <pasamila292000@gmail.com>;
To: <wanabidii@googlegroups.com>;
Subject: Re: [wanabidii] OPERESHENI PAMOJA DAIMA , ITV DAIMA , TANZANIA DAIMA
Sent: Thu, Jan 23, 2014 2:42:38 PM

Karim

Siyo kwamba wengine hawaelewi ukweli ni vijembe tu vya kuwakatisha tamaa CHADEMA

On Thu, Jan 23, 2014 at 1:04 PM, Abdul Karim <abdul_m_karim@yahoo.com> wrote:
Ndugu zangu wanabidii, hakuna kazi ngumu duniani kama ya kuwatetea Watanzania kwa kuwa wengi wao wamekuwa "brainwashed".

Ili kuwakatisha tamaa Chadema na ili kuhakikisha kuwa Watanzania wanakuwa misukule iliyokatwa ulimi milele, kuna kundi la watu wamekaririshwa kuimba "Chaga Empire, Chaga Empire, Chaga Empire" kama kasuku!!!

From: Dollar Kussenge <dkusssenge@gmail.com>
To: wanabidii@googlegroups.com
Sent: Thursday, January 23, 2014 9:50 AM
Subject: Re: [wanabidii] OPERESHENI PAMOJA DAIMA , ITV DAIMA , TANZANIA DAIMA

Na ukifuatilia kwa undani utagundua uwepo wa  Chaga empire.

On 22 January 2014 21:08, Ephata Nanyaro <nanyaro04@gmail.com> wrote:
Idd Makame
kufikiri ndio kazi ngumu kuliko zote ndio maana ni wachache hupenda kufikiri,bahati mbaya wewe sio mmoja wao

On Wed, Jan 22, 2014 at 2:49 PM, Reginald Miruko <rsmiruko@gmail.com> wrote:
Usisahau Habari Leo na Zanzibar Leo

RSM

On 22 January 2014 15:03, Ansbert Ngurumo <ansbertn@yahoo.com> wrote:
Idd,
Kumbe una kipato cha kuandika mashairi na tenzi zenye vina vinavyoeleweka.

Tazama na hii hapa: Tanzania Leo, Jambo Leo, Raha Leo etc. Hii ni miradi tofauti, yenye ufanano wa majina. Au na hapa tufanye spinning?

Ansbert Ngurumo
Existential Philosopher, Musician, Journalist & Media Manager
Vox Media Centre & Free Media
Tanzania

On 22 Jan 2014, at 2:48 alasiri, Idd Makame <iddmakame@gmail.com> wrote:

Bandugu Kunani Hapa ?
CHADEMA WAMEANZISHA OPERESHENI PAMOJA DAIMA , GAZETI LAO NI TANZANIA DAIMA , KITUO WAKIPENDACHO  ITV DAIMA 
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

Ephata Nanyaro
P.o.box 15359
Arusha
+255 754 834152
Skype.nanyaro.ephata

"truth shall set you free"

0 comments:

Post a Comment