Wednesday 29 January 2014

Re: [wanabidii] breakingnews.mdunguaji aua watu SABA Tarime

Hata mtu asiyekwenda shule anafahamu kwamba minara ya simu inarekodi 'log' za "location" za mtumiaji wa simu.

Kama huyo jamaa alipora simu (kulingana na maelezo humu), sidhani kama alikuwa anatembea 24 hrs! Lazima tu alifika sehemu akabadili laini ya zile simu alizopora (hata kuzima).

Sina uhakika itaichukua muda wa siku ngapi kwa ku-trace back "activity" za simu za walioporwa siku hiyo.

Hii itawasaidia vyombo vya usalama kupata "nearly, the exact location" aliyokuwepo huyo jamaa na alikuwepo kwa muda gani. Ina maana huyo jamaa siku hiyo hakulala?

Wanaweza kutrace hata activity zinazofanana. Mfano, kama mtu anatumia laini A, akiitoa na kuweka laini B, akiwa hajaenda mbali sana, mnara wa simu utasoma nearly the exact coordinates!

Pia, nasikia kwamba mitandao ya simu, kuna tekinolojia inasoma IMEI number. Ukiweka laini A, na B bado itasoma  IMEI namba ya simu na watajua location "in real time".

Angalizo, maelezo yangu ni ya kufikirika zaidi (matatizo ya kuangalia muvi za wenzetu)....

2014-01-29 Yona Maro <oldmoshi@gmail.com>
Ndugu Felix and Wengine ,

Vyombo vya usalama sio robots , ni wanadamu kama wewe , wana mapungufu kama wewe na wana kila hali kama wewe , hata kwenye utendaji wao ni vile vile kama wewe unavyotegemea wenzako kwa ajili ya taarifa navyo zinakutegemea wewe na wengine kwa ajili ya taarifa ili waweze kutekeleza wajibu wao vizuri na kwa hali ya amani .

2014-01-29 Mwema Felix <mwema.felix@gmail.com>

Jeremiah Kibwengo

Vyombo vya usalama vyetu vipo makini sana kupambana na watu wasio na silaha.

Ukitaka kuhakikisha....jaribu kufanya maandamano uone. Utashangaa jinsi defender zitakavyo tokea kila kona!!

2014-01-29 Jeremiah Kibwengo <jerrykibwe@gmail.com>

Tanzania ni majanga tuu. Kila kukicha bora na jana. Vyombo vya usalama vimeenda likizo?

On Jan 28, 2014 4:42 PM, "Mwema Felix" <mwema.felix@gmail.com> wrote:
Lesian Mollel

Hili siyo tatizo la kuwa na silaha kiholela mitaani. Watu wana silaha na wanatumia ipasavyo, hakuna shida.

Huyu mtu anayeua watu Tarime, lazima atakuwa na tatizo, siyo kawaida.

Hapa wa kufanya hii kazi ni wenye mamlaka ya usalawa wa nchi haswa polisi na majeshi mengine kulingana na utaratibu wa kazi.

Muuaji ana silaha inayodhaniwa ni AK47, au SMS unadhani mwananchi kama mimi mwenye panga nitamsogelea kweli?

Hivi kweli hatuna hata zile ndogo (pilot-less) za kufanya surveillance za angani? Kikikikiki!

Hatuna hata tekinolojia ya kuweza kunasa kutokea mbali sauti za "milipuko" au sauti za risasi ili kuweza kupata location ya tukio "in real time"?

Bado tunasafari ndefu.

2014-01-28 lesian mollel <aramakurias@yahoo.com>
duuuuh, jamaa lengo lake nini sasa kudungua watu jamani.........silaha kua mtaani holela ndio madhara yake haya na pia watu kama hawa wanakua wamefukuzwa kazi za uaskari na walikua walenga  shabaha wazuri na serikali haiwafuatilii na maisha yao yanakua magumu wanaamua kua vichaa na kulipiza visasa to innocent people
poleni sana tarime, police na vyombo vyote za uslama lazima zichukulie tukio kama hili kama fundisho

On Tuesday, January 28, 2014 5:38 AM, Mwema Felix <mwema.felix@gmail.com> wrote:
----- Forwarded Message -----

Boxbe This message is eligible for Automatic Cleanup! (mwema.felix@gmail.com) Add cleanup rule | More info
Kwa mtindo huu, tutaendelea kushabikia majeshi ya Marekani na vikundi vyake kama SEALs n.k

Tanzania bado tunasafari ndefu sana. Mtu mmoja mwenye silaha anashindwa kupatikana? Hii si ni aibu kwa nchi?

Halafu wakuu wa usalama wanajivunia kuitwa "wakuu wa usalama", "RPC", n.k

2014-01-28 mobini sarya <mobinsons@yahoo.com>
wanabidii

Mdunguaji mwenye silaha INADAIWA KUWA NI SMG ameutikisa mji wa tarime na wakazi wake baada ya kuwa watu watano kwa siku tatu mfululizo.

duru za kuaminika kutoka wilayani tarime zimeliambia shirika la habari Tanpress kwamba mtu huyo ambaye hajajaulikakana malengo yake aliingia kwenye kijiji cha mogabiri jumamosi usiku na kuwawa watu wawili akiwemo koplo mmoja ,jamaa wa meja jenero MWITA KIARO.

KESHO YAKE JUMAPILI ALIINGIA KWENYE KIJIJI HICHO KITONGOJI CHA KIBUMAYE NA KUWADUNGUA WADAU WA TBL WALIOKUWA WANABURUDIKA KIJIWENI NA KUWAACHA WAWILI WAKIWA HOI MMOJA AKIFARIKI DUNIA HATA HIVYO ,JUMA MWITA MRONI ALIFARIKI JANA ASUBUHI.

MUUAJI HUYO ALITELEMKA KUUKUBILI MJI WA TARIME IKIWA NI SAA TANO USIKU AKAKUTANA NA KIJANA MMOJA AKIWA KIJIJI CHA REBU AKAMLENGA RISASI NA KUMTOA UHAI WAKE.

KAMA VILE JESHI LA POLIS NA INTEREJENSIA ZAKE WAMEKWENDA LIKIZO JANA AU USIKU WA LEO SAA MOJA ALIFIKA KIJIJI CHA NKENDE NA KUUWA MTU MMOJA KABLA HAJAREJEA KIBUMAYE NA KUKUTA WATU WANNE WAKIWA KWENYE GARI LIMEHARIBIKA AKAANZA KUWALENGA RISASI NA KUONDOKA AKIWA AMEACHA MAITI  WAWILI KWA UCHACHE WATU SABA WAMELALA   
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

Find Jobs in Africa Jobs in Africa
International Job Opportunities International Job Opportunities
Jobs in Kenya Jobs in Kenya

0 comments:

Post a Comment