Thursday 30 January 2014

Re: [wanabidii] MRITHI WA JK HUYU HAPA/ MIZANI TOLEO 31/01/2014

Umepata mgawo kiasi gani wa kumnadi huyo jamaa, maana wenzako wote tunaomnadi tumeshaweka kibindoni chetu mapema, kama wewe bado umechelewa, wahi ukachukue unaweza kubahati kilichobaki.

0 comments:

Post a Comment