Thursday 30 January 2014

Re: [wanabidii] Re: [Wanazuoni] Jamii Za Siri - Secret Societies

Ndugu Flano na Wengine .

Suala la Secret Societies Hata afrika lilikuwepo na linaendelea kuwepo kwenye baadhi ya maeneo haswa kwenye ngazi ya familia , makabila na  koo fulani fulani kwa mfano wengi wamekuwa wanajiuliza na kuona wachaga wanavyorudi makwao msimu wa xmass na sikukuu nyingine na wengine ndugu zao wakifa kwa gharama zozote lazima warudishe mwili nyumbani kwao tena wametenga eneo la makaburi ya wanafamilia na hapo utakuta baadhi ya watoto hawazikwi hapo au wengine wa jinsia fulani hawazikwi hapo , Sasa huu ni mfano wa taasisi za siri zinazokuwa maintained kwa miaka na vizazi wewe unaweza usijue lakini kule nyumbani kwenu wale mliowaacha wanajua .

Sasa hawa wachaga wanapoanzisha miradi na shuguli zao nyingine haswa za biashara wanategemea sana yale maagano ya nyumbani kwao kule makaburini na maeneo mengine mbalimbali kwa ajili ya kulinda biashara zao , himaya zao , familia zao na falme zao nyingine popote pale walipo .

Kwa sasa hivi mambo yamebadilika na yanaendelea kubadilika sana kutokana na baadhi ya wachaga kuishi mijini wanakutana na mambo mapya kama ukristo , uislamu , upagani na imani nyingine mbalimbali ingawa wengi hawaachi kabisa hizo tamaduni zao .

Wengine kutokana na kuoana au kuolewa na watu wa Porini ( Makabila mengine ) huko wanapoteza hii hali ya kuendeleza himaya na ndio maana wazazi wa kichaga wako serious sana pale mtoto wao haswa wa kiume anapotaka kuleta mwanamke nyumbani wakiangalia vitu kama hivi muda mwingi wanakataa sio kwa sababu ya tabia au la shida ni hiyo himaya .

Kwa kumalizia , hizi jamii za kiafrika haziweki mambo yao mengi kwenye kumbukumbu haswa za maandishi na njia nyingine matokeo yake ni kuharibika na nyingi haziendelezwi vile inavyotakiwa , lakini tumeona wengine wameandika biblia , koran na vitabu vingine vingi tu na ndivyo tunavyoona mali kwetu .


On Thu, Jan 30, 2014 at 10:11 AM, flano mambo <flein47@yahoo.com> wrote:
Ndugu wanazuoni naomba mchangiaji Soraya Azizi atuambie maana ya martinism society na ile Rosicucians. Maana mimi nimejaribu kugoggle ile martinism nimeshangaa kuona wanafanana sana na freemasonry! hata baadhi ya nembo zao ni exactly kama zile wanazotumia freemasonry. Hebu fungueni hiyo link hapo chini muone, utaona alama kama ya bikari na square ambayo ipo kwenye jengo la free masonry lillopo opposite na kilimanjaro kempinsik kama unaelekea BOT, pia kuna ile alama ya pembetatu zilizoingiliana.

Lakini maadam Soraya Azizi Suleymane yupo ataweza kutusaidia bila shaka, kama link itagoma kufunguka hebu jaribu tu kugoogle ujue hiyo martinism ni watu gani 

Flano




On Wednesday, January 29, 2014 7:01 PM, Yona Maro <oldmoshi@gmail.com> wrote:
Sawa Aikande Tufunge Mjadala .

Nilisema tukiingiza Hisia zetu za kidini kwenye mjadala huu mambo yataharibika na naona ndugu baruani ameshaanza wengine watamfuata .

Ila nakumbusha tu , nimesoma huko maisha yangu karibu yote ya shule tena sio Tanzania tu mpaka nchi nyingine , kwahiyo nawajua , nawaelewa na tunajuana .

Pia Tuheshimu michango ya wenzetu .


On Wed, Jan 29, 2014 at 6:41 PM, Salim Khatri <skhatri@orcis.com> wrote:
 
Duh! Mbavu zangu!
On Jan 29, 2014 6:24 PM, "Yona Maro" <oldmoshi@gmail.com> wrote:
 
Ndugu yangu Aikande ,

Umeshawahi kujiuliza kwanini hamna Rotary Kilosa au baadhi ya mikoa mikubwa lakini kuna tawi hapo kijijini kwenu ? wenyewe wanaita districs .

Kuhusu Feza , umeshawauliza au kuona hawa wanafunzi likizo zao huwa wanapelekwa wapi na unajua hiyo Gulen Community inapigania nini haswa hapa duniani ?  Hapo feza wamesoma wadogo zangu karibu 4 na sisi nyumbani ndio tunajua likizo zao wanaenda wapi , vyuo wanavyopangiwa huko uturuki na maeneo mengine duniani .

Kwa kuongezea , moja ya kitu au vitu vinavyounganisha sana mitandao hii ni biashara za mitandao kama forever living , telexfree , text2job ,GNLD ETC , Tunajua kuna vijana na watu wengi sana wako kwenye mitandao hii kwa kujua au bila kujua kwa nia ya kujiongezea kipato lakini kadri unavyozidi kukua na kutengeneza network yako ndio unakuwa sehemu haswa ya jamii hizi .


On Wed, Jan 29, 2014 at 5:57 PM, Soraya Aziz Souleymane <soraziz@gmail.com> wrote:
 
Hi all
The Rotary club has a junior branch called the Rotaract club. I was a member of tge rotaract up to 22.
The day I will settle and have enough to pay my membership fees I will join the rotary club because I like the club and their philanthropic mindset appeals to me.
Most of the members of the Rotary club of where I was wore Masonic rings or pins, but I never heard any Masonic discussions. It is like having a football club In a neighborhood. Sio kila mtu anajiunga ingawa mnajuana wote.
In the rotaract club some of us were from the martinist order, some were Rosicucians, and some weren't. We never discussed those in the agendas, but members were free to share their personal experiences among themselves. I was NEVER approached for recruitment, I was never considered superior or inferior because of my gender, race or religion which was a good change.
I am still very involved with the rotaract and Leo club (juniors of the Lions Club).
S
On Jan 29, 2014 9:41 AM, "LAURENT RUGE" <lazanex@yahoo.com> wrote:
 
Nafikiri kuna miwani tofauti tofauti ya kuangalia suala la ROTARY.
 
Aikande ameangalia kwa kupitia saccos ya kijijini kwake.
 
Je kuna wengine ambao wana sura nyingine? Tumesikia mfano hiyo ya mikutano Serena .
 
Kama wanazuoni tuangalie sura kadhaa wa kadhaa wa hii ROTARY club, kama yupo ambaye anaweza kukusanya na kuleta hizi sura  hii zote kama mjumuisho, basi baada ya hapo ndipo twaweza sema maoni yetu, hadi sasa tunasubiri.
 
Mimi nilichojua miaka yote , ROTARY ni club ya watu wenye mapenzi mema na wamekuwa wakifadhili huduma za tiba hasa kwenda India.
 
Kama kuna mengine , wajuzi mtujuze,
 
Laurent

From: Aikande C. Kwayu <aikande.kwayu@gmail.com>
To: Wanazuoni@yahoogroups.com
Cc: wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
Sent: Wednesday, January 29, 2014 4:13 PM
Subject: Re: [Wanazuoni] Jamii Za Siri - Secret Societies

 
Ndugu zangu Wanazuoni,

Naombeni sana tuwe na utaratibu wa kujadili mambo kwa umakini zaidi na
haswa kwa utafiti. Bila kufanya tafiti tusiongee tu kwa kusikia au
kuhisi au kusoma vyombo visivyo na uhakika. Tena utafiti uwe wa
kisayansi maana kama tunajiita wanazuoni inabidi tusijiongeleshe tu.

Kuhusu swala la Rotary mimi sina la kusema maana sijui sana. Lakini
rotary club iko kijijini kwetu Nshara Machame na wanachama ni watu wa
kawaida kabisa ata walimu wa shule za msingi pale kijijini na
wafanyakazi wa zahanati na watu wengine. Ofisi zake ziko kwenye jengo
la ofisi ya kijiji na SACCOS ya kijiji. Wanachama wanakutana kila wiki
na mambo yanayojadiliwa ni maendeleo na haswa mambo ya mazingira. Mimi
sio mjumbe ingawa nimeshawahi kuombwa mara nyingi, lakini nilikataa
kwa sababu moja kubwa siwezi kuhudhuria vikao maana ya safari nyingi
zinazonikabili. Kama ningekuwa niko kijijini siku zote ningelifikiria
lakini ninge jaribu sana kuelewa nia na madhumuni ya rotary kabla
sijajiingiza. Lakini kwa ufupi wale wajumbe pale kijijini ni watu wa
vipato vya kawaida na nia ni maendeleo. Wameshatembelewa ata na Rais
wa Rotary na wanapata ugeni mwingi kutoka nje mara kwa mara.

Yona, shule za Feza ni shule za organization ya kituruki iitwayo
Gullen Community. Nina marafiki wa kituruki, kiitaliano na wakicanada
ambao wamefanyia research hii Gullen Community na shule zake.

Yona pia nakubaliana na wewe hili swala tusiliweke kidini kama
ulivyoanza hapo mwanzo.

Mimi huyo ndo mchango wangu.

Nashukuru sana,

Aikande

On 1/29/14, Yona Maro <oldmoshi@gmail.com> wrote:
> Ndugu zangu ,
>
> Ni vizuri tujadili suala hili kwa kuondoa vibanzi vya ukristo wetu ,
> uislamu wetu , upagani wetu au ubuda wetu .
>
> Naomba nitoe mchango wangu kidogo kuhusu suala hilii .
>
> Hivi kuna watu wanaojua Bank M ? Hii benki ina uhusiano mkubwa sana na
> RoTARY , pale inapotoa msaada au misaada basi wanaowakilisha ni wanachama
> wa rotary tena wenye vyeo kadhaa vinavyotambulika kama Degree , sasa
> fuatilia kwanza wafanyakazi wa Bank M .
>
> Kwa wale waliowahi kusoma shule za FM Academia kama Mimi tumekuwa tunawajua
> Rotary Clubs , Aga Khan , Hellenic , Feza na nyingine nyingi karibu maisha
> yetu yote kwa sababu ndio wamiliki wa hizi shule na wengi wanaosoma shule
> hizi wanauhusiano na rotary au clubu nyingine za aina hii kifamilia ,
> kwahiyo wanaanzia huku chini wale wa ukubwani inakuwa ni bahati mbaya tu
> kama huyo mchangiaji aliyesema alialikwa kwenye baadhi ya mikutoano pale
> selena zamani moven .
>
> Ni kweli kwamba taasisi hizi zina misingi yake na siri zake nyingine kama
> ulivyo ukatoliki kule vatikan na uislamu kule mecca au kama zilivyo familia
> kubwa kubwa na biashara zao mbalimbali lazima wana siri na mambo yao
> mengine kwa ajili ya kuendesha biashara zao na himaya zao nyingine .
>
> Tusiogope Scholarships na fursa nyingine za kibiashara au kimaendeleo
> kutoka kwa jamii kama hizi ila tuogope tu pale ambapo tunataka kuingizwa
> kwenye viapo kwa kujua pale tunapohitaji fursa hizo haswa za kiuchumi .
>
> Tuwe makini sana sana haswa vijana wenzangu .
>
> Kama nilivyosema nimesoma shule hizo zinazomilikuwa na hizo taasisi ,
> nimeishi na watu hao kuanzia udogo mpaka ukubwani lakini kuna ambavyo
> sijafanya na sifikirii kufanya wala kula viapo .
>
>
> On Wed, Jan 29, 2014 at 12:26 PM, Chambi Chachage
> <chambi78@yahoo.com>wrote:
>
>>
>>
>> Dondoo kutoka kwenye mjadala wa Wanazuoni Wakristo kuhusu hizo taasisi
>> mbili:
>>
>> MCHANGIAJI WA PILI:
>>
>> Dear friends,
>>
>> After [MCHANGIAJI WA KWANZA] gave a precaution about the scholarship
>> program being administered by The Rotary Club of Dar I tried to find out
>> the link between Rotary Clubs and Freemasonry.
>>
>>
>> We may have lots of arguments and good reasons to justify our inner
>> intents, the truth remains intact. Those of you have studied in detail
>> the
>> way secret societies including Freemasonry, Knight Templars, Opus Dei,
>> Skulls and Bones, Illuminate etc work will agree that undoubtedly Rotary
>> is
>> a branch of Freemasonry. Find more about their lodges, recruitment,
>> philosophy etc.
>>
>> I extracted the passages below from few websites linking Rotary with
>> Freemasonry. I ask you to do more research to uncover more. I too have a
>> strong conviction that behind closed doors Rotary and Freemasonry are
>> one. The fact that we can not justify our claims or thoughts that they
>> are
>> closely related qualifies them to be real secret societies.
>>
>> ********
>>
>> *Rotary International* is an organization of business and professional
>> leaders united worldwide with a stated purpose of providing humanitarian
>> service, encouraging high ethical standards in all vocations, and helping
>> to build goodwill and peace in the world. In more than 160 countries
>> worldwide, approximately 1.2 million Rotarians belong to more than 30,000
>> Rotary clubs. The world's Rotary clubs meet weekly and are nonpolitical,
>> nonreligious, and open to all cultures, races, and creeds.
>>
>> Masonry, a secretive brotherhood, uses social clubs such as the Kiwanis
>> International, *Rotary International*, and others as feeder organizations
>> or recruitment centers to enlist new members in addition to referrals by
>> their own members. At the top end of the secretive spectrum are three
>> interrelated organizations that capitalize on their low key relationship
>> with worldwide masonry. The founding group in Germany (Illuminati -
>> University of Ingolstadt), the American group (Skull and Bones Society -
>> Yale University), and the English Group (Cecil Rhodes Scholars - Oxford
>> University.
>>
>> That is what I gathered.
>>
>> Let's be watchful and prayeful.
>>
>> Thanks
>> ********
>>
>> MCHANGIAJI WA TATU:
>>
>> Mhh this is exciting,
>>
>> I have personally attended several Rotary club secretive meetings in Dar,
>> there are many types of rotary clubs even in Dar ! The one i had been
>> invited was Dar Rotary Club, it's very interesting the way they conduct
>> their meetings.
>>
>> One day I may give details on the whole drama but in short they have very
>> strange means of coordinating their stuffs !
>>
>> They make prayers to unknown GOD and fun way of saluting and principles
>> once the service (i call it bcoz thats hw it looks) or meeting begin.
>>
>> In DSM this group meet in Movenpick and the people are rich guys in Dar !
>>
>> However am not really sure whether based on this circumstances we should
>> stop using this opportunity to school,
>> *I would quote Paul ! whenever we go to the market or households we
>> should
>> not ask where does this meat come from!*
>> since this doesnt defile us, let us use the opportunnity since it last
>>
>> Ni mawazo na maoni yangu tu !
>>
>> MCHANGIAJI WA PILI:
>>
>> Thanks brother [MCHANGIAJI WA TATU] kwa kutushirikisha uzoefu wako.
>>
>> Juu ya kutotumia rasilimali zao labda niseme hiki. Secret societies
>> zinaongozwa na watu influential katika siasa, biashara and taaluma.
>> Wanachama pia wana sifa hizo hizo. You can not become a member to such
>> societies if you are a low-life person. Societies hizi pia ziko very
>> selective and objective in getting recruits. How do they get talented
>> young
>> men and women? -- [MCHANGIAJI WA TATU], it is through scholarships and
>> other forms of assistance. They will give you their money today so that
>> you
>> can pursue your higher degree. After you finish they will ask you
>> tommorow
>> to attend their meeting using the name 'alumni' to keep you in their
>> circle. When they discover that you are resourceful for perpetration of
>> their kingdom they will invite you honourably to their world by unveiling
>> more opportunities that may look appealing and ok to you. In most cases
>> they give tied assistance (i.e. assistance with conditionalities) to trap
>> those who are after prestige, fame, money, respect etc.
>>
>> In short, they will do all that is possible to bring you in and once you
>> are there you are there forever and you will never be able get yourself
>> off
>> the hook. They have this golden rule: 'once you are a freemason,
>> jesuit..... rotarian etc you are a freemason, jesuit or rotarian forever.
>> That is how they get new members.
>>
>> Friends, do not be deceived by what they do to the public -- like
>> providing assistance to the needy -- since under the cover they are
>> roaring
>> lions seaching for prey.
>>
>> MCHANGIAJI WA TATU:
>>
>> Nimeongoka kuhusu ili, nadhani ni vizuri kuwa makini, niliwahi kuwa
>> almost
>> member wa hii rotary lakini mambo yao yanatisha sana, was taken by
>> friends
>> lakini inashawishi if you only look and greed for network za watu
>> influential and you need to climb your ladder up fast but it deadly
>> friends.
>>
>> Kuwa makini sana unapoalikwa, ni kweli wanafanya mambo mengi sana kwenye
>> jamii na kusaidia watu lakini hata jinsi misaada inavyopatikana ni very
>> interesting e.g rotary ya Dar ikiamua kusaidia ni lazima kila clud
>> duniani
>> kenye chain yake wachangie na hivyo inakuwa pesa nyingi sana, so hata
>> kama
>> ni mkumsaidia member inakuwa ni mchango mzito manake ni chain yote
>> inakuchangia kwenye system yao
>>
>> So ni vizuri kuwa makini kuzichukua au kutozichukuwa hizi scholarship.
>>
>> MCHANGIAJI WA PILI:
>> Brother [Mchangiaji wa Tatu],
>>
>> Nimefurahi kusikia kuwa sasa umepata nuru. Tena mshukuru Bwana Alikupa
>> hekima ya kutojiunga. Yawezekana ungekuwa mbali sana. Most brotherhood
>> societies are linked with Freemasonry. Mungu atuepushe na mitego ya
>> Ibilisi
>> iliyozagaa kila mahali.
>>
>> Thanks
>>
>> ------------------------------
>> *From:* Soraya Aziz Souleymane <soraziz@gmail.com>
>> *To:* Wanazuoni@yahoogroups.com
>> *Sent:* Sunday, January 26, 2014 1:24 PM
>> *Subject:* Re: [Wanazuoni] Msaada wa haraka unaombwa.
>>
>>
>> Hi
>> If he is already a member of the rotary club why doesn't he find out from
>> inside? The Rotary club is not as discrete as the Free Masons Order.
>> There might not be an official link but One thing I have noted (no
>> research) is that many members belong to both organisations. The two
>> organisations are actively involved into charities and donations and
>> their
>> members are often wealthy and influential members of their communities.
>> Where in the world is this new member located? Realities vary with places
>> too.
>> So
>> On Jan 26, 2014 1:17 PM, "KENEDY GREYSON" <kenedyaliila@yahoo.com> wrote:
>>
>>
>> There are rumors going on about the related issues of big organizations.
>> A new member of rotary want to know one thing.
>> Is there any connection between Rotary int. Club and Freemasonry?
>> if you know let me know even offline.
>>
>>
>>
>>
>>
>
>
>
> --
> Find Jobs in Africa <http://www.wejobsafrica.blogspot.com> Jobs in Africa
> International Job Opportunities <http://www.naombakazi.blogspot.com/>
> International
> Job Opportunities
> Jobs in Kenya <http://www.findjobinkenya.blogspot.com> Jobs in Kenya
>

--
*Aikande Kwayu, PhD*
*P.O. Box 1747, *
*Moshi, *
*Tanzania*
*www.bumacoltd.com
www.aikandekwayu.com
twitter: aikande*
*skype: aikande.kwayu
*





--
Find Jobs in Africa Jobs in Africa
International Job Opportunities International Job Opportunities
Jobs in Kenya Jobs in Kenya

__._,_.___
Reply via web post Reply to sender Reply to group Start a New Topic Messages in this topic (8)
.

__,_._,___



--
Find Jobs in Africa Jobs in Africa
International Job Opportunities International Job Opportunities
Jobs in Kenya Jobs in Kenya

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.


--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.



--
Find Jobs in Africa Jobs in Africa
International Job Opportunities International Job Opportunities
Jobs in Kenya Jobs in Kenya

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

0 comments:

Post a Comment