Thursday, 2 January 2014

[wanabidii] MH EDWARD LOWASSA ATANGAZA NIA YA URAIS 2015

MH LOWASSA AMEKUA MTANZANIA WA PILI KUTANGAZA HILO BAADA YA MH BERNAD K MEMBE.....

Ahsanteni kwa Kujumuika Nami, kwani Mnajua ndoto zangu na Matarajio yangu ya Kuhakikisha, Kila Mtanzania anasomeshwa kwa Hela ya Serikali, Kila sehemu alipo Mwanadamu panapatikana Maji safi na Salama, Kila Mtanzania anajikomboa kwenye Wimbi la Umasikini na Ukosefu wa Ajira,

Ahsanteni Marafiki zangu kwa kuja kujumuika nami, Japo wanasema Mmekuja Monduli kula Nyama, Waambieni mmekuja kuniunga Mkono,

Tupo katika Safari iliojaa Vikwazo vingi Venye Mawe, Milima na Mabonde, lakini kwa kuwa Tunaye Mungu, tutaweza kushinda.

Jamani Hatujaanza Kampeni ili tuna Msukumo ndani ya Mioyo yetu kwamba, 2015 tunaenda kutekeleza Maagizo ya Mungu ya kuwatumikia Watanzania.

2015 tutaingia Madarakani hata kwenye Chama kinachoitwa Jiwe kwa Sabb hakuna mwanadamu anayeweza kuzuia Mpango wa Mungu.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

0 comments:

Post a Comment