Thursday, 2 January 2014

Re: [wanabidii] Re: Zitto Kabwe kuweka pingamizi mahakamani kuzuia kikao cha kamati kuu CHADEMA

BEGIN:VCARD
VERSION:2.1
N:lugaziya;mutabaazi;;;;
FN:mutabaazi lugaziya
ADR;HOME:;;;;;;Tanzania, United Republic of
LABEL;HOME;ENCODING=QUOTED-PRINTABLE:Tanzania, United Republic of
BDAY:19620210
END:VCARD

This is quite interesting,

 

Sioni kama kuna "cause of action".

 

Kwanza kuzuia watu kujadilii/ kujihusisha na mchakato wa Katiba kwa mujibu wa sheria ya Mapitio ya Katiba ni kosa. Mtanzania yeyote wa kawaida huwezi ukaenda kuomba kuzuia kujadiliwa kwa mchakato wa Katiba. Mh. ZZK mwenyewe amekuwa mhimili wa mchakato huu, ikiwemo kwenda Ikulu kuwasilisha yale ambayo wapinzani waliona hayakuzingatiwa Bungeni.

 

Pili, kuzuia Chama kisijadili mpango kazi wake, jambo ambalo ni jukumu la chama chochote, cha siasa au hata asasi, ni saa sawa na kusema kuwa sasa wewe umejiondoa kwenye hicho chama. Angeweza tu kwenda kuiomba Mahakama iizuie CDM kumfukuza uanachama, km. Mh. David Kafulila na Mh. Hamad Rashid.

 

Tatu, ajabu kubwa zaidi, ni kwamba kwa mujibu wa taarifa, hiki ni kikao ambacho angepata fursa, juu ya ile ya barua, kupewa haki ya kikatiba kujitetea. Unapoomba kikao kisifanyike, na hivyo kujinyima fursa ya kujitetea, maana yake nini?

 

Hayo ni mawazo yangu tu.Kutauta haki mahakamani ni haki ya kila raia. Ila kwenda kuzuia kupewa haki ya kikatiba, hilo nalo n'neno!!

 

Ni matumaini yangu kwamba "kesi"hiyo haitakuwa na mizengwe ya kukaa mahakamani mpaka 2015 au zaidi.

 

MJL

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

0 comments:

Post a Comment