Monday, 27 January 2014

Re: [wanabidii] Re: Jengo la Derm Complex Makumbusho lapata mtikisiko

Hildegard, 
Umetoa darasa tosha. But no one is listening.
em

Sent from my iPhone

On Jan 27, 2014, at 12:20 PM, Hildegarda Kiwasila <khildegarda@yahoo.co.uk> wrote:

Inawezekana mtikisiko umetokana na excessive water extraction inayofanyika DSm watu kuchimba boreholes na kuvuta maji kwa pump kupandisha juu ya maghorofa au majumbani kujaza matanki, kufanya connections kwa nyumba nyingine kuwalipisha. Hii huondoa ile balance chini ya ardhi inayobeba mzigo mkubwa wa maghorofa mahala huko zamani palipangwa kuwa ni pa high density plots. Hata pa low desnsity plots zinajengwa 100% maghorofa au majumba ya matofari mazito na mzigo mkubwa beyond the carrying capacity ya aina hiyo ya ardhi. Mahala kama makumbusho, msasani bonde la mpunga, mbezi/Africana wanapokea mito mingi itokayo bara na within DSM/Coast Region (Msimbazi, Tegeta,na wetlands za Africana kuelekea baharini Mto Ubungo-Sinza, huo unaopita chuo cha ardhi-kutokea Lugalo darajani -Mto Mlalakua unaoelekea Msasani etc) hivyo chini kunapita mito. Mfano hapo darajani makumbusho penye jengo hilo kuna daraja ambako gari cesspit emptiers zikimwaga sewage ikipita chini ya mabomba kwenda waste stabilization pond mikocheni, kuna mto unakatiza hapo; mto unapita chini kwa chini Victoria, kwa kariuki kuna matete na wamejengwa petrol station kufukia.\lakini eneo lote hilo la victoria linatokea mwananyamala A ni wetland kwenda mikocheni-Tanesco-Msasani na Mh baba Nyerere alikataa wetland hizo za tanesco-Msasani-zisijengwe. Alipokufa tu zimejengwa maghorofa kuziba undeground capilaries maji yanafanya backing Mwananyamala, baadhi ya maeneo Mikocheni na matokeo ni ardhi kulainika, kuchoka, cracking na majengo kutumbukia ardhini. ardhi itatitia na jengo kutumbukia baadhi ya ghorofa au lote chini ya ardhi tukaja kuamka na kukuta watu wamezamia chini. Kuanguka majengo inaweza ikawa sio ujenzi wa ratio duni bali ni hii over-extraction/over-pumping ya maji boreholes kibao na kujenga majengo mengi mazito katika ardhi isiyostahili na kwa kufukia wetlands ambazo pressure ya Nguvu ya maji alioweka mungu na msukumo ardhini maji yakitafuta njia/outlet yakasababisha kupasuka na kuanguka majengo. Kujenga mabondeni tumeona madhara yake bali tu vipofu na viziwi.
Mengi yaja kwa sisi kutokuzingatia geology/soil types na land forms za eneo,sheria ya mazingira, maji na ujenzi. Wataalamu wa geolojia, ardhi na ujenzi wanajua mengi-watumike vema sio vibaya kwa tamaa zao za kipato.

On Monday, 27 January 2014, 18:52, ezekiel kunyaranyara <ekunyaranyara@yahoo.co.uk> wrote:
Je ni tetemeko la ardhi au ni nini zaidi?

K.E.M.S.

On Monday, 27 January 2014, 7:20, Dr. Hamisi A. Kigwangalla <hkigwangalla@gmail.com> wrote:
Duh!

2014-01-27 Yona Msuya <yonamsuya@gmail.com>

On Monday, January 27, 2014 5:31:11 PM UTC+3, Yona Msuya wrote:
Jengo la Derm Complex ambalo ndio Makao Makuu ya Kampuni ya TIGO (Millicom International) maeneo ya Makumbusho limepata mtikisiko uliosabababisha mpasuko hususan ghorofa ya tatu.

¤Kutokana na hilo, wafanyakazi wote wa TIGO waliombwa waondoke kwenye jengo (to evacuate). Wameambiwa waende nyumbani au waende kwenye ofisi nyinginezo ndogo za TIGO kama ile Tegeta, Sinza, Kariakoo etc.

¤Haijajulikana chanzo cha mtikisiko na crack iliyotokea. Kuna ma-engineer majengo wameitwa kuja kuangalia kama jengo bado linafaa kwa matumizi ya kimakazi au kiofisi.
 
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
mailto:wanabidii%2Bunsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to mailto:wanabidii%2Bunsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

--
"Vision is the ability to see the invisible!"
Hamisi A. Kigwangalla, MD, MPH, MBA
P.O.Box 22499,
Dar es salaam.
Tanzania.
Phone No: +255 754 636963
                +255 782 636963
website: http://www.peercorpstrust.org/ or http://www.hamisikigwangalla.com/
Email: hamisi.kigwangalla@peercorpstrust.org or info@hamisikigwangalla.com
Skype ID: hkigwangalla
Blog: blog.hamisikigwangalla.com 

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

0 comments:

Post a Comment