Tuesday, 28 January 2014

Re: [wanabidii] Re: Jengo la Derm Complex Makumbusho lapata mtikisiko

John;
Unaiga ya Kiwasila au hii style ya uandishi ni ya kivyako
 
Reuben

From: John George <georgejn2000@gmail.com>
To: wanabidii@googlegroups.com
Sent: Tuesday, January 28, 2014 10:15 AM
Subject: Re: [wanabidii] Re: Jengo la Derm Complex Makumbusho lapata mtikisiko

Hiihatarisanasasakamanihizoforceszaextractionnanianatakiwakuwajibika
wizarayaardhinatakiwakufanya utafitinakutoamaelekezoyaainaya
majengokwakilaeneo

On 1/28/14, Paschal Leon <paschalleon@yahoo.com> wrote:
> Another reason for the shake could be the on-going construction just very
> close to the existing building due to earth-forces imbalances!
>
>
> From: JPM <jmataragio@yahoo.com>
> To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
> Sent: Monday, January 27, 2014 10:05 PM
> Subject: Re: [wanabidii] Re: Jengo la Derm Complex Makumbusho lapata
> mtikisiko
>
>
>
> Nilivyokuwa najifunza kuandika nilifundishwa kuzingatia kanuni za uandishi
> ikiwa ni pamoja na kuweka vituo, kutumia paragraphs etc. Kufanya hivi
> inamfanya msomaji kusoma bila matatizo.
>
> Dada Kiwasila habari yako nzuri lakini tuhurumie nasi wasomaji,
>
> From: Hildegarda Kiwasila <khildegarda@yahoo.co.uk>
> To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
> Sent: Monday, January 27, 2014 11:20 AM
> Subject: Re: [wanabidii] Re: Jengo la Derm Complex Makumbusho lapata
> mtikisiko
>
>
>
> Inawezekana mtikisiko umetokana na excessive water extraction inayofanyika
> DSm watu kuchimba boreholes na kuvuta maji kwa pump kupandisha juu ya
> maghorofa au majumbani kujaza matanki, kufanya connections kwa nyumba
> nyingine kuwalipisha. Hii huondoa ile balance chini ya ardhi inayobeba mzigo
> mkubwa wa maghorofa mahala huko zamani palipangwa kuwa ni pa high density
> plots. Hata pa low desnsity plots zinajengwa 100% maghorofa au majumba ya
> matofari mazito na mzigo mkubwa beyond the carrying capacity ya aina hiyo ya
> ardhi. Mahala kama makumbusho, msasani bonde la mpunga, mbezi/Africana
> wanapokea mito mingi itokayo bara na within DSM/Coast Region (Msimbazi,
> Tegeta,na wetlands za Africana kuelekea baharini Mto Ubungo-Sinza, huo
> unaopita chuo cha ardhi-kutokea Lugalo darajani -Mto Mlalakua unaoelekea
> Msasani etc) hivyo chini kunapita mito. Mfano hapo darajani makumbusho penye
> jengo hilo kuna daraja ambako gari cesspit emptiers zikimwaga sewage ikipita
> chini ya
>  mabomba kwenda waste stabilization pond mikocheni, kuna mto unakatiza hapo;
> mto unapita chini kwa chini Victoria, kwa kariuki kuna matete na wamejengwa
> petrol station kufukia.\lakini eneo lote hilo la victoria linatokea
> mwananyamala A ni wetland kwenda mikocheni-Tanesco-Msasani na Mh baba
> Nyerere alikataa wetland hizo za tanesco-Msasani-zisijengwe. Alipokufa tu
> zimejengwa maghorofa kuziba undeground capilaries maji yanafanya backing
> Mwananyamala, baadhi ya maeneo Mikocheni na matokeo ni ardhi kulainika,
> kuchoka, cracking na majengo kutumbukia ardhini. ardhi itatitia na jengo
> kutumbukia baadhi ya ghorofa au lote chini ya ardhi tukaja kuamka na kukuta
> watu wamezamia chini. Kuanguka majengo inaweza ikawa sio ujenzi wa ratio
> duni bali ni hii over-extraction/over-pumping ya maji boreholes kibao na
> kujenga majengo mengi mazito katika ardhi isiyostahili na kwa kufukia
> wetlands ambazo pressure ya Nguvu ya maji alioweka mungu na msukumo ardhini
> maji yakitafuta
>  njia/outlet yakasababisha kupasuka na kuanguka majengo. Kujenga mabondeni
> tumeona madhara yake bali tu vipofu na viziwi.
> Mengi yaja kwa sisi kutokuzingatia geology/soil types na land forms za
> eneo,sheria ya mazingira, maji na ujenzi. Wataalamu wa geolojia, ardhi na
> ujenzi wanajua mengi-watumike vema sio vibaya kwa tamaa zao za kipato.
>
>
>
>
> On Monday, 27 January 2014, 18:52, ezekiel kunyaranyara
> <ekunyaranyara@yahoo.co.uk> wrote:
>
> Je ni tetemeko la ardhi au ni nini zaidi?
>
>
> K.E.M.S.
>
>
>
> On Monday, 27 January 2014, 7:20, Dr. Hamisi A. Kigwangalla
> <hkigwangalla@gmail.com> wrote:
>
> Duh!
>
>
>
>
> 2014-01-27 Yona Msuya <yonamsuya@gmail.com>
>
>
>>
>>On Monday, January 27, 2014 5:31:11 PM UTC+3, Yona Msuya wrote:
>>Jengo la Derm Complex ambalo ndio Makao Makuu ya Kampuni ya TIGO (Millicom
>> International) maeneo ya Makumbusho limepata mtikisiko uliosabababisha
>> mpasuko hususan ghorofa ya tatu.
>>>
>>>¤Kutokana na hilo, wafanyakazi wote wa TIGO waliombwa waondoke kwenye
>>> jengo (to evacuate). Wameambiwa waende nyumbani au waende kwenye ofisi
>>> nyinginezo ndogo za TIGO kama ile Tegeta, Sinza, Kariakoo etc.
>>>
>>>¤Haijajulikana chanzo cha mtikisiko na crack iliyotokea. Kuna ma-engineer
>>> majengo wameitwa kuja kuangalia kama jengo bado linafaa kwa matumizi ya
>>> kimakazi au kiofisi.
>>>
>>--
>>Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>>
>>Kujiondoa Tuma Email kwenda
>>mailto:wanabidii%2Bunsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya
>> kudhibitisha ukishatuma
>>
>>Disclaimer:
>>Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
>> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must
>> be presented responsibly. Your continued membership signifies that you
>> agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>>---
>>You received this message because you are subscribed to the Google Groups
>> "Wanabidii" group.
>>To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an
>> email to mailto:wanabidii%2Bunsubscribe@googlegroups.com.
>>For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
>>
>
>
> --
> "Vision is the ability to see the invisible!"
> Hamisi A. Kigwangalla, MD, MPH, MBA
> P.O.Box 22499,
> Dar es salaam.
> Tanzania.
> Phone No: +255 754 636963
>                 +255 782 636963
> website: http://www.peercorpstrust.org/ or
> http://www.hamisikigwangalla.com/
> Email: hamisi.kigwangalla@peercorpstrust.org or info@hamisikigwangalla.com
> Skype ID: hkigwangalla
> Blog: blog.hamisikigwangalla.com
>
>
> --
> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
> ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be
> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to
> this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
> ---
> You received this message because you are subscribed to the Google Groups
> "Wanabidii" group.
> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an
> email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
> For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

0 comments:

Post a Comment