Siasa za Tanzania safi sana....yaani mgombea anatangaza nia yake kwa kuahidi kwamba...."Kila Mtanzania anasomeshwa kwa Hela ya Serikali, Kila sehemu alipo Mwanadamu panapatikana Maji safi na Salama, Kila Mtanzania anajikomboa kwenye Wimbi la Umasikini na Ukosefu wa Ajira,"
Nilidhani haya ni mahitaji ya msingi ya kila mwanadamu (yaani ni wajibu wa kila kiongozi kuyatekeleza)!!!!!
2014/1/2 Emma Kaaya <emmakaaya@gmail.com>
Kila Mtanzania anasomeshwa kwa Hela ya Serikali, Kila sehemu alipo Mwanadamu panapatikana Maji safi na Salama, Kila Mtanzania anajikomboa kwenye Wimbi la Umasikini na Ukosefu wa Ajira,
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
0 comments:
Post a Comment