Monday, 27 January 2014

Re: [wanabidii] MAUAJI YANAYOENDELEA HUKO TARIME , MARA

Kwa kweli haya mambo yanaenda kubaya. 

Sent from my iPad

On 27 Jan 2014, at 2:13 alasiri, Yona Maro <oldmoshi@gmail.com> wrote:

Ndugu zangu 

Nimepata taarifa kwamba kuna muuwaji huko tarime ambaye anauwa watu hovyo mpaka sasa hivi ameuwa watu 5 kuanzia jana usiku akiwemo askari mmoja .

Mtu aliyenipa taarifa hizi nimepoteza mawasiliano naye , nikimpata nitawapa taarifa zaidi .

Muwe makini huko haswa watoto wadogo na wakina mama wasioweza kujilinda wenyewe .


--
Find Jobs in Africa Jobs in Africa
International Job Opportunities International Job Opportunities
Jobs in Kenya Jobs in Kenya

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

0 comments:

Post a Comment