Thursday, 2 January 2014

Re: [wanabidii] MAONI YA RASIMU YA KATIBA , MLIZINGATIA MAONI YA NANI, WARIOBA?

BEGIN:VCARD
VERSION:2.1
N:lugaziya;mutabaazi;;;;
FN:mutabaazi lugaziya
ADR;HOME:;;;;;;Tanzania, United Republic of
LABEL;HOME;ENCODING=QUOTED-PRINTABLE:Tanzania, United Republic of
BDAY:19620210
END:VCARD

 

Wasomi wa kiswahili wako hivyo!
 
Wahadhiri wanajipendekeza ili ama wawe maprofesa bila kufanya tafiti za maana au kuitwa kuwa washauri wa serikali.
 
Siku hizi wanafanya "projects"ambazo zina maslahi kuliko utafiti wa kisomi, japo kitaaluma, haziwaongezei "alama"kitaaluma. Alama nini bwana?!!. Tunaosoma sasa tunatumia zaidi mitandao kuliko machapisho ya wahadhiri wa kitanzania!
 
Wasiofanya "projects"au zikiisha, wanaenda kuomba kuwa wabunge. Huko akipigwa chini anaomba angalau u-DC-tunajua wapo!!!
 
Inawezekana serikali inayoongozwa na chama kinachotaka serikali mbili ilikuwa imemsahau, anataka "imkumbuke". Watanzania wajanja huwa wanafanya hivyo. Ukisikia mtu alikuwa na nafasi, halafu akawa hasikiki, anafanya kitu kuikumbusha serikali kwamba yupo na bila kusema wazi, anamaanisha kwamba bado anaweza kutumika.Nchi hii mambo yote yanawezekana. Anaweza kuwa "mshauri"wa Rais wa mambo ya Katiba.!!!
 
Goodmorning!
 
MJLi

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

0 comments:

Post a Comment