Monday, 27 January 2014

RE: [wanabidii] Kirilo Japhet mtanzania wa kwanza kuhutubia Umoja wa Mataifa

Heading inasema Mtanzania wa kwanza... hitimisho linasema Mtanganyika. Halafu huyo mwanasheria wake hatajwi...?

Date: Mon, 27 Jan 2014 23:11:39 +0530
Subject: Re: [wanabidii] Kirilo Japhet mtanzania wa kwanza kuhutubia Umoja wa Mataifa
From: fkyembe@gmail.com
To: wanabidii@googlegroups.com

Hata hivyo ni wapi palipoandikwa kwamba Mwalimu Nyerere alikuwa Mtanganyika wa kwanza kuhutubia UN, maana tusiwe tunaunda mambo!!!

2014-01-27 mngonge <mngonge@gmail.com>
Historia ya nchi hii inaelekea ilichakachuliwa lakini pia ni vigumu kuamini kama huyo uliyemtaja ndiye wa kwanza kuhutubia UN unless ni records ulizopata toka UN huko huko. Twambie chanzo cha taarifa hiyo tafadhari, na kama inawezekana tuwekee nakala ya hotuba hiyo hapa.

2014-01-27 Emma Kaaya <emmakaaya@gmail.com>

alikuwa mwakilishi wa wakulima wa Meru katika The Meru Land Case. Kipindi hicho Tanganyika ilikuwa Protectorate chini ya waingereza (waliopewa na UN baada ya Ujerumani kushindwa vita). Kwa hiyo wananchi wakiwa na malalamiko yoyote walikuwa wakiweza kutuma mwakilishi na kwenda kulalamika UN. Kirilo Japhet aliambatana na mwanasheria wake. Hii nit tofauti na watu wanafikiri kwamba Nyerere ndio alikuwa mtanganyika wa kwanza kuhutubia UN.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

0 comments:

Post a Comment