Hizi taarifa zinavyoandikwa mmm !inaninyima raha.Jamani eh!"safari ya
machungani Katambuga sio Mokasini."
On 12/31/13, Abdalah Hamis <hamisznz@gmail.com> wrote:
>
>
> *MEDIA ADVISORY KWA WAHARIRI WOTE*
>
> Wakubwa Wahariri
>
> Naungana nayi katika kuumaliza vizuri Mwaka 2013. Aidha, nachukua nafasi
> hii kuwatakia Heri nyingi za Mwaka 2014. Uwe ni mwaka wa Baraka na
> Mafanikio kwetu sote.
>
> Napenda pia kuwapongezeni nyote kwa *detailed reporting* ya shughuli ya
> jana ya Kukabidhiwa kwa Ripoti (*which includes* Rasimu ya Katiba) ya Tume
>
> ya Mabadiliko ya Katiba kwa Mheshimiwa Rais Kikwete na Mheshimiwa Rais Ali
> M. Shein. Ni kazi nzuri – *well done!*
>
> Jambo moja tu la msingi ambalo Mheshimiwa Rais Kikwete alilisisitiza jana
> ni kwamba *there already appears some sections*
> *of the Press* ambazo tayari zimeanza kupotosha shughuli nzima ya jana kwa
> kuielezea Ripoti ya jana kuwa ni Katiba Mpya.
>
> Naamini kuwa kila mmoja wetu anajua kuwa Ripoti ya Tume ambayo
> inashirikisha Rasimu ya Katiba, siyo Katiba Mpya. Mchakato wa kupata
> Katiba Mpya ndio kwanza umeingia katika hatua nyingine, hatua muhimu sana.
> Ripoti ya Tume, ikiwa ni pamoja na Rasimu ya Katiba, lazima viende sasa
> kujadiliwa katika Bunge la Katiba.
>
> Na hata baada ya kujadiliwa na Bunge la Katiba na Wabunge wa Bunge hilo
> kufikia maamuzi, ni kwamba maamuzi hayo lazima yaende kwa wananchi kwa
> ajili ya Kura ya Maoni – *Referendum.* Ni sisi wananchi ambao tutaamua, Kwa
>
> sasa tunaendelea kutumia Katiba ya sasa na hakuna Katiba Mpya.
>
> Natumai kuwa tuzingatie ukweli huu wakati tunaendelea kuandika na kutangaza
>
> habari za jambo hilo kubwa na la kihistoria katika nchi yetu.
>
> *Once again – A Happy and Prosperous New Year to us all.*
>
> SALVA RWEYEMAMU
> MKURUGENZI WA MAWASILIANO
> IKULU,
>
> *DAR ES SALAAM.*
>
> --
> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
> ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be
> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to
> this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
> ---
> You received this message because you are subscribed to the Google Groups
> "Wanabidii" group.
> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an
> email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
> For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
>
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
0 comments:
Post a Comment