----- Forwarded Message -----
From: Sospeter <s.muhongo@bol.co.tz>
To: [...]
Sent: Friday, February 1, 2013 5:20 PM
Subject: [TPN] SCHOLARSHIP OPPORTUNITIES
--Vijana Wapendwa:Mjitokeze kupata elimu ya uhakika na nafasi hizi 20 lazima tuzitumie na endeni mkasome China (MSc & PhD).Kwenye tovuti ya Wizara mtapata nafasi nyingine 10 za kwenda kusoma (MSc & PhD) nchini Brazil.Tafadahali sambaza ujumbe huu kwa Watanzania wengi zaidi. Lazima tujipende kwanza ili tuweze kushindanana mataifa mengine.Naomba kuwakumbusha:1. Aristotle (384-322 BC): "The roots of education are bitter, but the fruit is sweet."2. Benjamin Disrael (1804-1881): "A University should be a place of light, of liberty, and of learning."Vijana wa Tanzania: njia pekee ya kufuta umaskini ni kupata elimu bora inayochangia ukuaji wa uchumi imara wenye kutoamatumaini kwa wote na hasa kwa wanyonge na maskini. Uchumi usiobagua watu na mikoa yao. Tutavuka salama.Full Professor of Geology, University of Dar Es SalaamEditor-in-Chief, Journal of African Earth Sciences, ElsevierVice President, Commission for the Geological Map of the WorldHonorary Fellow, Geological Society of AmericaHonorary Fellow, Geological Society of LondonHonorary Research Fellow, Chinese Academy of Geological SciencesProf Dr Sospeter M. MuhongoFGSAf, FAAS, FASSAf, FGIGE, FASI, FTWAS, HonFCAGS, HonFGSA, HonFGS, CGeol, EurGeol.(Officier,Ordre des Palmes Académiques)Mobile: +255 754 400 800
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanataaluma Wazalendo" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanataaluma+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
Friday, 1 February 2013
[wanabidii] Waziri Anawasihi Vijana Mkasome China & Brazil
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment