Monday, 25 February 2013

Re: [wanabidii] WATOTO WADOGO NA SHULE ZA BOARDING

Naomba nikuunge mkono, hata mimi hiki kitendo cha kupeleka watoto boarding nimeshuhudia jinsi gani mtoto anakosa ukaribu na ndugu zake wa damu (wadogo au wakubwa zake) na hata wazazi wake!! tunajenga taifa ambalo kwa namna moja linakuwa "COLD" (hope ninaeleweka) na lenye kupenda "Upeke yake" tu maan ndicho nilichoshuhudia mimi! Wazazi tujitahidi kulea watoto wetu wapate kuelewa thamani ya familia, wazazi, ndugu na jamii inayiwazunguka!! hivi vitu hatuwezi kuvipandikiza wakishakuwa wakubwa..............
 
Yangu ni hayo tu
 
Ms Marialauda J.J
Tel: +255 754 271 685
Box: 78897 DSM
mail:
marygoyayi@yahoo.com
 
There is pleasure in madness, which only a mad man knows

From: Jovias Mwesiga <ngonzy@gmail.com>
To: wanabidii@googlegroups.com
Sent: Monday, February 25, 2013 2:54 AM
Subject: Re: [wanabidii] WATOTO WADOGO NA SHULE ZA BOARDING

Ulimbukeni kitu kibaya sana. Wengi wamepeleka watoto boardin schools
hasa nje ya nchi miaka 10 au 15 iliyopita wanaweza kutupa expirience
yao. SHULE si kujua kingereza watoto wa kike wanaanza ujasiriamali wa
miili wakiwa wadogo na ushoga ndo usisikie. Nimesema ulimbukeni kwani
imekuwa kawaida hasa akina mama kutaka kujionyesha kuwa mume anazo
watoto wanasoma boardin school. MTAWAJUA lini watoto wenu? Mnatafuta
hela kwanguvu wakati mnatengeneza bomu la kusambaratisha mali

On 2/24/13, Emma Kaaya <emmakaaya@gmail.com> wrote:
> Shalom
>
> Siku hizi imekuwa ni kama fasheni kwa wazazi kuwapeleka watoto wadogo
> shule za kulala. Watoto wengine wanapelekwa huko wakiwa wadogo sana,
> miaka minne au mitano. Huwa najiuliza sana, ni nini hasa
> kinachopelekea wazazi kufanya uamuzi kama huo? Ni ubize au kwenda na
> wakati? Wengine wanajitetea kuwa wanafanya kazi mchana kutwa na
> wanarudi nyumbani usiku hivyo mtoto hashindi nao hivyo ni sawa tu
> kumpeleka boarding, mimi sikubaliani na hili. Hata kama unarudi
> nyumbani usiku angalau unaweza kupata muda wa kuongea na mtoto wako
> na kuangalia afya yake na kujua anaendeleaje na sio kumpeleka shule ya
> kulala na mnaonana mara moja kwa wiki au mwezi kabisa.
>
> Mtoto anatakiwa ajifunze maadili ya familia yake na za kiMungu akiwa
> na wazazi wake na afahamu jinsi ya kuishi na wazazi, ndugu, jamaa na
> marafiki kwanza kabla ya kumpeleka kufundishwa na watu wengine? Je,
> unadhani unamjengea nini mtoto wako kwa kumuacha kuishi na kulelewa na
> watu tofauti wa wazazi wake katika umri mdogo kiasi hicho? Je,
> unajuaje kama watoto wenzie hawamfundishi mambo yasiyofaa maana
> haonani nawewe kila siku? Ni rahisi kugundua kama mtoto ana tatizo au
> hofu fulani kama unakaa naye nyumbani kuliko kumuona mara moja kwa
> mwezi.
>
> Unafanya kazi kwa bidii kwa sababu ya maisha bora ya mtoto wako, sasa
> kwa nini umjengee msingi mbovu kwa sasa kwa kisingizio cha kujenga
> maisha bora ya baadaye? Mtoto umleaavyo ndivyo akuavyo, hata kama
> umeenda kusoma mbali, ni vyema akikaa na mzazi mmoja kuliko kukaa
> kwenye jumuia ya watu tofauti wenye maadili tofauti. Ni wakati sasa
> wazazi tukabili na kutekeleza majukumu yetu hata kama ni magumu kiasi
> gani na sio kuwasukumia watu wengine.
>
> Kumbuka mtoto ana haki ya kudeka kwa mzazi wake japo isizidi sana,
> sasa huko boarding atamdekea nani jamani???
>
> --
> Jobs in Africa - http://www.wejobs.blogspot.com/
> International Jobs - http://www.jobsunited.blogspot.com/
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha
> ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be
> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to
> this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
> ---
> You received this message because you are subscribed to the Google Groups
> "Wanabidii" group.
> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an
> email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
> For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
>
>
>

--
Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.




0 comments:

Post a Comment