Monday, 25 February 2013

Re: [wanabidii] Wamasai waziba barabara maeneo ya Vigwaza

tatizo watanzania wenngi hawajui ramani ya tanzania wala historia yake, juzi nimeenda sekondari moja Bagamoyo inaitwa moreto,kuomba nafasi ya uhamisho wa mwanafunzi, Mwalimu kuu wake akaniuliza mtoto wako anatokea wapi nikamwambia Tarime, akauliza tarime ni sehemu gani? nikamjibu ni mara, kusikia mara akasema kwa joki haa aha watu mara  bwana wakarofiiii  ...yaani headmaster mzima haujui wilaya kongwe kama tarime wala hajui makabila ya huko anachukua kabila moja linaitwa wakorofi?!!!!   hivyo ndivyo walivyo hata humu wanabidiii wengi hawajui tafauti kati ya Mara, Musoma , Serengeti wala Butiama, , . halafu tunasema kawambwa ajiuzulu kwa matokeo mabaya  

From: Victor Mwita <victormwita@gmail.com>
To: wanabidii@googlegroups.com
Sent: Saturday, February 23, 2013 10:25 PM
Subject: Re: [wanabidii] Wamasai waziba barabara maeneo ya Vigwaza

Mm sijasoma vitabu alivyonukuu Hilde but najua Wasonjo ni koo moja kati ya nyingi zinazounda kabila kubwa la wakurya. Wanaweza kuwa wamechanganyika na makabila mengine na hivyo kubadili baadhi ya mila. By the way inafaa ikumbukwe kwamba wamasai walikua wanakaa sehemu yote ya tarafa ya Ingwe iliyo wilaya ya Tarime n a ni maadui wa jadi wa wakurya kiasi kwamba wanawaita umubhisa
On Feb 23, 2013 7:49 PM, "JPM" <jmataragio@yahoo.com> wrote:
Matinyi,

Napenda kusoma postings za Hilde, tatizo ni kuwa wakati mwingine anaandika vitu ambavyo siyo kweli. Mfano anaelezea historia ya mkoa mara na serengeti tofauti kabisa na ilivyo na hana source ya kutosha, anapotosha. Dada Hilde naomba ukasome hiki kitabu hapa

Sent from my iphone

On Feb 22, 2013, at 10:54 PM, Mobhare Matinyi <matinyi@hotmail.com> wrote:

Hilde,
 
Wakurya ni kabila lenye makabila na koo kibao ndani yake na hao wote wamo humo. Ukiwa huku Mara Kusini kwenye wilaya za Bunda na Serengeti kuna makabila kama Waikoma, Wanata, Waisenye, Wasinzaki, Waikizu, Wazanaki, Wangoreme, na unaweza kuja mpaka huku kunakoingiliana na mkoa wa Manyara na hara Arusha, ukiwa ndani mbugani Serengeti, unakumbana na hao akina Wasonjo na wengine. Ukipandisha kwa mashariki unaingia hadi Kenya unakutana na Walenchoka, na kisha Wairege na Wanyabasi ambao wamo zaidi Tanzania. Ukipinda kule ukaenda mpaka baharini (Ziwa Viktoria siye huliita bahari), unawaacha Wajaluo lakini utakumbana na watu waitwao Wabantu Waluo ambao ni makabila yanayozungumza Kijaluo na Kikurya na yana tamaduni zote mbili, mfano wake ni Wakine na Wasuba na kama sikosei hata Wakakirao. Unakwenda mpaka Musoma kwa Wakirobha na Wasimbiti, unakuja kwa Wakenye na kujaza hapo katikati kwenye makabila ya Wakurya zaiid ya 20.
 
Naona huwa unapenda sana kuuzungumzia mkoa huu lakini tatizo unaweka nusu sahihi na nusu siyo sahihi lakini unaongea kwa kujiamini kana kwamba ni sahihi na kisha unadonyoa kwa kuponda kishikaji. Sijui unalijua hilo au unatania au ni kupitiwa?
 
Matinyi.
 
Date: Sat, 23 Feb 2013 07:20:49 +0300
Subject: Re: [wanabidii] Wamasai waziba barabara maeneo ya Vigwaza
From: victormwita@gmail.com
To: wanabidii@googlegroups.com

Shukrani Hilde, pengine ni vyema pia kuangalia uhusiano wa waikoma na wakurya. Nadhani wana asili moja na hivyo wasonjo ni sehemu ya kabila kubwa la wakurya
On Feb 23, 2013 6:12 AM, "Hildegarda Kiwasila" <khildegarda@yahoo.co.uk> wrote:

Someni historia ya ujio wa makabila Tanzania. Makabila ya wafugaji wote ni wapiganaji maana bila ya hii mifugo yako itaibiwa daima. Wote watakuwa wanaogopana.

Comments zangu ni: Kama Wasonjo ni Wakurya basi Waikoma ni Wakurya kwani Waikoma ni Wasonjo kwa asilia. Je, Waikoma ni Wakurya? Mkurya si Mkikuyu? Jee, Msonjo ni Kikuyu? Labda ninakosea. Wamaasai wanawaogopa waikoma hasa. Mshale wa Muikoma unaruka juu kisha unarudi chini unamsaka adui alipo. hapigi mshale horizontal kupiga adui. Mara nyingi hutupa juu na ni mshale wa sumu.

Historia inatuambia, Waikoma waliofika pale walipo sasa-Ikoma Robanda kwa kumfuata 'nyumbu' wakitokea 'sonjo' wakiwa bado wawindaji na vimifugo vichache wakihamahama. Bado ni wafugaji na wakulima ktk eneo ambalo ni semi-arid and rocky na ni walaji wa nyama pori vibaya sana hasa nyumbu apitae hapo Grumeti.  Kihistoria, Wasonjo walifika walipo Loliondo kabla ya Wamaasai na walipofika Wamaasai ilibidi kujilinda kwa kujenga ukuta kuzunguka himaya kama ulinzi kuepuka mapigano. Ikabidi kuanzisha kilimo cha umwagiliaji kutokana na limited freedom ya kuzunguka eneo la Loliondo na serengeti na mifugo yao kutokana na ujio wa hilo kabila lingine la wafugaji wapiganaji.

Sonjo traditional irrigation system imeandikwa sana na wanahistoria. Wamaasai ni group la mwisho la wafugaji kuingia Loliondo na eneo ambalo sasa ni Serengeti NP. Waliotangulia maeneo ambayo sasa ni Serengeti N.Park na NCAA ni group liitwalo Barbaig (Wamang'ati ). Vita ya Wasonjo na hawa Wamang'ati) vs Wamaasai ni historical hadi miaka ya late 1994 Wamang'ati na Maasai kukaa kikao cha mila na desturi kukubaliana mgogoro huo uishe. 
Huko nyuma-Mjerumani alisaidia sana vita hivi kuwapendelea Wasonjo na Mang'ati na kuua Maasai wengi sana. Hasira hizi ziliendelea na zinaendelea uchao Sonjo mapambano na Maasai ila na Mang'ati vimeisha labda wakikutana huko Kilosa na kuibiana mifugo au kuudhiana kilabuni kwenye vilaji.

Lakini historia ya ujio wa makabila inajirudia kwamba ajae na kumkuta mwingine anamfukuza aliyemkuta atawale yeye na mauaji hutokea. Mwisho makabila au kabila moja kumtawala aliyemshinda kuwa mtumwa wake au kuwa mtani wake au kuwa adui yake maisha kupigana hadi leo hii wanapokutana hata machungoni, kilabuni mapigano yanaweza kuanza. Huu ni uadui wa kihistoria usiokwisha.

Ndio ujio wa Wangoni kutoka S.Afrika hadi Songea kupiga, kuua, kuteka, kuingia kukaa, kutawala na kusonga mbele within TZ. Wangoni waliingia hadi Malinyi-Kidodi na baadhi Sumbawanga hadi Tabora. Mkwawa na uzawa wake wa Wahehe, Wabena, Wabenamanga, Watemekwira n.k. Ujio wa Wapare kutoka Taita Hills na Ethiopia; Ujio wa Wasukuma kutoka-West Africa (Chad) na ni kabila kubwa kwa wingi hapa nchini pamoja na Wangoni.  Sijui wasukuma walichapa bakora watu kiasi gani kote huko walikopita na hadi leo wanachapa watu huko Kilosa.

Tusome vitabu vya historia na tukazanie watoto wetu wasome ili wajitambue. Tumeacha kusoma vitabu vya historia kama ilivyokuwa lazima sana zamani enzi za mwalimu. Akina Profesa Kimambo na wenzake wafufue ile association yao ya wanahistoria.  watoto wetu kuacha kusoma historia inatugharimu na kuleta haya malumbano ya sasa ya watu wengine kusahau historia ya walikotoka na kujiona wao mabwana sana na kutaka kuvunja hata Muungano.

Tusome na geography tujue kuwa hata visiwa huko awali baadhi vilikuwa sehemu ya nchi kavu kubwa kama TZ au volvano ya baharini iliviinua na ipo siku hiyo volcano na Tsunami inaweza ikavizamisha ikabidi warudi bara (Tanganyika). Na huko nyuma, maji yalipokuwa yakikupwa (kukauka) Wahehe walifika Rufiji delta wakatembea hadi Kisiju-Mkuranga na kuweza kupita baharini kwa mguu hadi Kisiwa kidogo cha Mafia Kiitwacho 'Koma' ambako Mfalme wa Mafia aliweka huko  wenye 'ukoma'. Huko Wahehe walimpelekea binti huyo miti shamba akapona ukoma na wakaahidi kumsaidia kila muda huo wa maji kupwa muda mrefu wakifika na mfalme akawasubiri. Walimponya binti mfalme (chotara wa Uajemi) na wakapewa zawadi baadae kuondoka nae kumuoa. Msione machotara katika makabila mengine mkajiuliza rangi na nywele hizo wamezitoa wapi. Ni mpare wa Ethiopia kati ya wapare wengi kakundi kako hivyo au ni Mhehe wa Kiajemi au Mmasai pamoja na originality yao huko walikotoka lakini huyu  Baba ni Msomali (aliyekuwa akijificha ndani ya maboma kuwinda tembo za serengeti kulipia vita kwao na kulimbikiza hela).

TZ nchi ya watu wa historia mbali mbali, wa rangi ya mwili na nywele tofauti au zinazofanana, tupendane. Makabila ni utambulisho wa asili, mila na destruri tu-tupendane.
Udini wala Ukabila hautatusaidia kitu kimaisha ila kisaikolojia kuwa umepata ulichotaka kufanya kumuumiza au kumuonea mwenzako. Ila hiyo pepo hutoipata kwa vitendo viovu. Tupendane.

Amini usiamini, tulikuta huko NCAA 1994 Wamang'ati wanaoana na Wamaasai baada ya kumaliza mgogoro wao kwa vikao vya kimila na Wamaasai na wakiwa pamoja siku ya soko Endulen hao wamama na waume zao. Hii ndio inayotakiwa-kuungana. Hofu ya wanademography  ni kwamba, Wamang'ati epidemiologically and demographically wana high fertility ambapo itaongeza population ndani ya NCAA. 

Usidhanie wote waliovaa nguo za kabila fulani ni kabila hilo kweli. Makabila mengine yenye mila za kufanana mfano tohara ya kike huoana. Hivyo utakuta ndani ya maboma ya maa groups walioolewa humo kuna Meru, Sambaa, Pare, Arusha wamevaa kimasai. Msukuma haolewi humo zaidi male msukuma atakuwa kibarua aliishi ndani au nje ya boma kulima mashamba yao na kunywa maziwa ya bure.

Hayo mapigano yanayoendelea ya kikabila na kuogopana wakati mwingine ni kiini macho. Na hata kutaka kuuvunja muungano wa Tanganyika na ZNZ ni kiini macho wakati mtu nduguze wapo Mkuranga, Kigamboni, Kilwa au Rufiji, au ukoo mkubwa upo Tabora, Mangesani, Ramihya au Kaole Bagamoyo au mmezaliana rasmi au kwa kuibana maana mila haikuruhusu Mmaasai kuoa Msonjo au Msukuma. Mpemba kazaa kote anakotua nanga dau au jahazi auzapo samaki ana nyumbandogo ya siri na watoto kuanzia mangesani bagamoyo, Tongoni Pangani Tanga mpaka Nyamisati-Rufiji na Jibondo-Mafia.

Mungu ibariki TZ.

--- On Fri, 22/2/13, Victor Mwita <victormwita@gmail.com> wrote:

From: Victor Mwita <victormwita@gmail.com>
Subject: Re: [wanabidii] Wamasai waziba barabara maeneo ya Vigwaza
To: wanabidii@googlegroups.com
Date: Friday, 22 February, 2013, 17:33

Wasonjo ni sehemu ya wakurya
On Feb 22, 2013 8:07 PM, "matinyi@hotmail.com" <matinyi@hotmail.com> wrote:
Mollel,
Wamasai wanawaogopa Wasonjo.

T-Mobile. America's First Nationwide 4G Network

----- Reply message -----
From: "lesian mollel" <aramakurias@yahoo.com>
To: <wanabidii@googlegroups.com>
Subject: [wanabidii] Wamasai waziba barabara maeneo ya Vigwaza
Date: Fri, Feb 22, 2013 11:48 am

mbona watoto wa shule wanagoma mara kibao, kama maombi yao hayasikilizwi ndio maana
wamezuia magari kushinikiza kusikilizwa na kutendwa mahitaji yao, watakua wamechoka.
nilishwawahi kusema japo mtasema kwa kua pia ni maasai, huwa wamasai hawaanzishagi ugomvi ila ukianzisha mtiti wake ni zaidi ya jwtz.
--- On Tue, 2/19/13, Mobhare Matinyi <matinyi@hotmail.com> wrote:

From: Mobhare Matinyi <matinyi@hotmail.com>
Subject: RE: [wanabidii] Wamasai waziba barabara maeneo ya Vigwaza
To: wanabidii@googlegroups.com
Date: Tuesday, February 19, 2013, 9:41 AM

Mwita,
Kwa Kiswahili tatizo hili linaitwa "ombwe la uongozi". Tutakoma mara hii.
Matinyi.
 
Date: Tue, 19 Feb 2013 17:22:05 +0300
Subject: [wanabidii] Wamasai waziba barabara maeneo ya Vigwaza
From: victormwita@gmail.com
To: wanabidii@googlegroups.com

Nipo njiani natokea Morogoro na bus la Mohamed trans. Tumefika hapa Vigwaza na kukuta magari yamesimama yote. Nimesogea eneo moja na kukuta wamasai wameziba njia na kuzuia gari kupita. Kisa cha yote ni kutaka wawekewe tuta ili kupunguza ajali hasa za magari kugonga binadamu na mifugo. Najiuliza mwenyewe tunakoelekea ni wapi? Kila mtu anataka kujichukulia sheria mkononi. Bahati nzuri RPC Pwani kafika na naona wamelegea

--
Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
 
0 comments:

Post a Comment