Monday, 25 February 2013

Re: [wanabidii] Re: Mh. Bernard Membe-Rais Mtarajiwa:Hii Imekaaje???

Yona, mgombea katika stage ipi?
Sent from my BlackBerry® smartphone from Vodacom Tanzania

From: Yona Maro <oldmoshi@gmail.com>
Sender: wanabidii@googlegroups.com
Date: Mon, 25 Feb 2013 11:27:36 +0300
To: <wanabidii@googlegroups.com>
ReplyTo: wanabidii@googlegroups.com
Subject: Re: [wanabidii] Re: Mh. Bernard Membe-Rais Mtarajiwa:Hii Imekaaje???

Sheria zetu nadhani zinatubana ila ni vizuri tuwe kama baadhi ya nchi kwa kuunga mkono au watu chama pale chombo cha habari kinapoona ni sahihi kufanya hivyo na kama mtu huyo ataweza kutetea agenda zake vizuri .

Tukumbuke kwenye uchaguzi wa mwaka 2010 baadhi ya vyombo vya habari na waandishi waliunga mkono vyama na wagombea ndani ya vyama na mpaka leo wengine wanaendelea hivyo , kuna magazeti ya vyama kwahiyo sioni tatizo .

2013/2/25 <nevilletz@gmail.com>
He he heeeeee! Haya nami nakuja na ajenda ya kumuunga mkono Capt. John Komba kuwa Rais, hapo vp?

Haya bwana ila jambo moja muhimu, kwanza Membe hajawahi kutangaza rasmi kuutaka urais, lakini pia hata mchakato ndani ya chama chake bado, kwahiyo hata kama Magic FM wangekuwa wakimuunga mkono walipaswa kusubiri mchakato ndani ya chama chake na pia wajitokeze wa upande mwingine.

Kama wanamuunga mkono wanafanya hivyo against who na kwa vigezo gani? Nadhani wamepotoka kama alivyopotoka Dk Kigwangala maana hata yeye hiyo 60 pc sijui kaipata vipi! Au ndo utabiri mbadala wa Shehe Yahya?
Sent from my BlackBerry® smartphone from Vodacom Tanzania

From: lilian timbuka <liliantimbuka@yahoo.co.uk>
Date: Mon, 25 Feb 2013 07:41:02 +0000 (GMT)
Subject: Re: [wanabidii] Re: Mh. Bernard Membe-Rais Mtarajiwa:Hii Imekaaje???

Jibu lako Rehema si sahihi, Magic kitaaluma, wanaupotosha umma, labda Meena nisaidie katika hili tafadhali

--- On Mon, 25/2/13, Rehema Kikwete <rehemaki@gmail.com> wrote:

From: Rehema Kikwete <rehemaki@gmail.com>
Subject: [wanabidii] Re: Mh. Bernard Membe-Rais Mtarajiwa:Hii Imekaaje???
To: "Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com>
Date: Monday, 25 February, 2013, 7:16

sioni ubaya kwa chombo cha habari kutangaza kuumuunga mkono fulani

On Feb 25, 10:00 am, Constantino Kudoja <c.kud...@zantel.co.tz> wrote:
> Wanabidii,
> Leo asubuhi saa 12:00 nilikuwa nasikiliza taarifa ya habari kutoka redio Magic FM.Walikuwa wakielezea mkutano wa Mh. Bernard Membe na Mh. Yousuf bin Alawi bin Abdulla wa Oman.Katika taarifa hiyo mtangazaji alimtaja Mh. Membe kama Rais Mtarajiwa.Hivi wanabidii hii imekaaje?Ni sahihi walivyofanya hawa Magic FM?
>
> Best Regards.....*,
> Constantino Kudoja
> Senior Power Plant Technician-BO
> Zanzibar Telecom Limited
> P.O.Box 77052
> Dar EsSalaam
> Tel. 077 3131164

--
Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

www.wejobs.blogspot.com Jobs in Africa
www.jobsunited.blogspot.com International Job Opportunities

--
Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
 
0 comments:

Post a Comment