Saturday, 2 February 2013

Re: [wanabidii] Re: DR W P SLAA APITILIZA UMRI WA KUSTAAFU

Please respect my name and integrity! Sioni unapata wapi ujasiri wa kuniita Yona. Ni ujinga tu wa kujifanya kufanya kazi ya Mungu kufahamu binadamu wakati hakujui na humjui. Tuheshimiane, sijaja hapa kuudhiwa na mtu, na sina sababu ya kutukanana na wewe kwa kunibatiza majina nisiyoyajua ili kukusaidia kuhoji jambo. Tuheshimiane.
Sent from my BlackBerry® smartphone provided by Zantel Etisalat Tanzania.

-----Original Message-----
From: kimdr53@gmail.com
Sender: wanabidii@googlegroups.com
Date: Sat, 2 Feb 2013 10:04:18
To: <wanabidii@googlegroups.com>
Reply-To: wanabidii@googlegroups.com
Subject: Re: [wanabidii] Re: DR W P SLAA APITILIZA UMRI WA KUSTAAFU

Hivi Yona Maro aka Yachama Gabriel unajaribu kuwapima wa Tanzania uwezo wa uelewa wao katika siasa katika karne ya 21? Au unataka kutuonyesha mapungufu yako ya uelewa wa mambo ya siasa ki Dunia? I honestly doubt your sincerity in general! Una uwezo mkubwa wa kutuwekea habari mbali mbali za kitaifa na kimataifa na kweli ukaonekana mtaalam wa IT na umekubuu katika masuala hayo! Lakini umri wa mwisho kuwa Rais wa nchi huuelewi! Hapa nina maana nchi yeyote hapa Duniani. Hapa umejiweka wazi (naked) jinsi gani ngazi yako ya juu ya kuchanganya mambo! Kwani hapa jukwaani siamini kuna mtu ambaye hajui ukweli kuwa hakuna mpaka (age limit) ya kugombea U Rais wa nchi Duniani kote. Labda huyo ngombea kama akili yake ina mushkiri kwa sababu ya umri mkubwa! Kwa mfano Rais Reagan wa Marekani iliupata Urais ikiwa na umri mkubwa na alitawala kwa vipi viwili vya miaka minne, minne. Baada ya kutoka kwenye uongozi akapata ugonjwa ambao kama angeliupata kabla ya kuchaguliwa kipindi cha kwanza au cha pili asingeliweza kuchaguliwa, Nategemea kwa shule hii utakuwa umeelewa, pia najua unajuwa ila kuna kamakusudi katika maadishi yako. Tunakusoma sana katika jumbe zako! (We read U between de lines) Nakutakia kheri katika majukumu yako na tuendelee na mjadara.
MUNGU IBARIKI TANZANIA
Idriss Mussa

Sent from my BlackBerry® smartphone from Orange Botswana

-----Original Message-----
From: Yona F Maro <oldmoshi@gmail.com>
Sender: wanabidii@googlegroups.com
Date: Thu, 31 Jan 2013 07:20:08
To: Wanabidii<wanabidii@googlegroups.com>
Reply-To: wanabidii@googlegroups.com
Subject: [wanabidii] Re: DR W P SLAA APITILIZA UMRI WA KUSTAAFU

Ndugu Lwaitama kuhusu DR Slaa kugombea urais mwaka 2015 kwa tiketi ya
CHADEMA Muulize mwenyekiti wetu ambaye alishatangaza hivyo akiwa
karatu baadaye akaanza kutuzuga kwamba amenukuliwa vibaya ila ndio
msimamo wake na kwa maoni ya wengi kwenye mjadala huu inaonekana
wanamtaka dr slaa bila kujali kama chama kitampitisha au la .

Pili hatujui kama CHADEMA ikimtosa urais 2015 atakimbilia wapi sijui
CHAUMA ? Ambacho mmoja wa vigogo wa CHADEMA anatuhumiwa kukishika
mkono ? kwanini nasema hivyo ? ni kwa sababu mara kadhaa aliposhindwa
kwenye chaguzi ndani ya chama aliamua kukimbilia chama kingine
kutafuta madaraka .

Alianzia CCM alipokosa nafasi ya kugombea ubunge , aliposhindwa urais
jamaa wakampandishia dau la m7 sawa na wabunge kwa sababu wanazozijua
wao wenyewe .

Tuendelee kuwasiliana .

On Jan 31, 2:37 pm, "Mohamedi Mtoi" <mouddym...@gmail.com> wrote:
> Heche Yona hana njaa ana minyoo.
> Sent from my BlackBerry® smartphone on the Tigo Tanzania Network
>
>
>
>
>
>
>
> -----Original Message-----
> From: heche suguta <hechesugut...@yahoo.com>
>
> Sender: wanabidii@googlegroups.com
> Date: Thu, 31 Jan 2013 05:52:50
> To: wanabidii@googlegroups.com<wanabidii@googlegroups.com>
> Reply-To: wanabidii@googlegroups.com
> Subject: Re: [wanabidii] Re: DR W P SLAA APITILIZA UMRI WA KUSTAAFU
>
> Yona njaa itakuua...
>
> ________________________________
>  From: Yona F Maro <oldmo...@gmail.com>
> To: Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
> Sent: Wednesday, January 30, 2013 2:22 PM
> Subject: [wanabidii] Re: DR W P SLAA APITILIZA UMRI WA KUSTAAFU
>
> Ni katibu Mkuu wa CHADEMA , CHADEMA si mali ya Umma au Watu Binafsi ?
>
> On Jan 31, 1:17 am, Emmanuel Muganda <emuga...@gmail.com> wrote:
> > For your information Dr. Slaa si mfanyikazi wa umma. He is a politician.
> > Ronald Reagan aliingia White akiwa 69.
> > Hivi Mwai Kibaki ana umri gani hivi sasa? Kajipange tena.
> > em
>
> > 2013/1/30 Yona F Maro <oldmo...@gmail.com>
>
> > > Ndugu zangu
>
> > > Ukisoma Wasifu wa Dr W P SLaa inaonyesha amezaliwa 29 October 1948 na
> > > mwaka 2010 wakati anagombea urais wa Tanzania kwa tiketi ya CHADEMA
> > > alikuwa na miaka 62 miaka 2 zaidi ya umri wa Kustaafu kwa mfanyakazi
> > > wa Umma kwa Tanzania .
>
> > > Mwaka 2015 akigombea tena kwa tiketi ya CHADEMA au CHAUMA atakuwa na
> > > miaka 67 amepitiliza miaka 7 ya kustaafu .
>
> > > Tukumbuke wanasiasa vijana wamewahi mara kadhaa kutoa maoni yao kuhusu
> > > umri wa Umri wa kugombea Urais upunguzwe na uwe na kikomo .
>
> > > Tunaweza tusikubaliane katika mambo mengine lakini suala la ukomo wa
> > > umri ni muhimu kwa maslahi ya Nchi yetu na watu wake .
>
> > > --
> > > Jobs in Africa -www.wejobs.blogspot.com
> > > International Jobs -www.jobsunited.blogspot.com
>
> > > Kujiondoa Tuma Email kwenda
> > > wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha
> > > ukishatuma
>
> > > Disclaimer:
> > > Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
> > > consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be
> > > presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree
> > > to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
> > > ---
> > > You received this message because you are subscribed to the Google Groups
> > > "Wanabidii" group.
> > > To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an
> > > email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
> > > For more options, visithttps://groups.google.com/groups/opt_out.
>
> --
> Jobs in Africa -www.wejobs.blogspot.com
> International Jobs -www.jobsunited.blogspot.com
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
> ---
> You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
> For more options, visithttps://groups.google.com/groups/opt_out.

--
Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

0 comments:

Post a Comment