Ugonjwa huu wa kifafa cha kuyaparamia magazeti na wahariri kupitia
polisi umeota mizizi lazima itafutwe dawa tofauti na hapo watanzania
wote tupo kizuizini.
Hizi mbinu mbona ni mchezo mchafu? Wameua, wametesa, wamefungia,
wamenyonga na sasa ni kukaba mchana kweupe tumesubiri kufanyiwa mabaya
yapi zaidi? Kwa nini hawasemi ni habari gani aliyoandika huyo kamkara?
Pengine ni kuhusu matokeo mabaya ya Form IV, kwani kwao habari ni zile
tu zinazoisifia serikali tu? Kwa nini hawajiulizi sababu ya gazeti la
uhuru kutonunulika? Kwa mtindo huu tutasoma habari za nje tu kupitia
internet za hapa tanzania itabidi wahariri wawe polisi na NEC ya CCM.
Habari zenyewe zitakuwa na heading kama " Tanzania yapiga hatua
kielimu zaidi ya nusu ya waliomaliza Form 4 wamepata sifuli" "CCM
kiboko yao, kila mtanzania kusomeshwa ulaya ifikapo 2014" na nyingine
kama hizo. Kwa mtindo huo hatufiki kokote mbali gizani
On 2/25/13, Abdalah Hamis <hamisznz@gmail.com> wrote:
> Mhariri wa habari wa Tanzania Daima, Edson Kamukara anashikiliwa na
> polisi makao makuu kwa madai ya kuhariri na kuchapisha habari ambayo
> hadi sasa haijatamkwa.
>
> Kamukara aliyekuwa Mtwara kikazi, aliitwa na jeshi hilo, akitakiwa
> kufika leo makao makuu ya p[olisi kwa kile kile
> kilichodaiwa kutoa maelezo kuhusiana na habari iliyosababisha
> kukamatwa kwa Mhariri wa Tanzania Daima Jumamosi, Charles Misango na
> mwandishi Josephat Isango.
>
> Lakini leo saa tatu asubuhi, Kamukara alipewa
> taarifa tofauti na kwamba anahusika kuhariri habari nyingine 'mbaya'
> na
> sio kama alivyoambiwa awali.
>
> --
> Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
> International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
> ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be
> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to
> this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
> ---
> You received this message because you are subscribed to the Google Groups
> "Wanabidii" group.
> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an
> email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
> For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
>
>
>
--
Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
0 comments:
Post a Comment