Tuache unafiki na umamluki, tujiruhusu kuwa wakweli wa nafsi hata kama kwa kufanya hivyo kunaweza kutugharimu fadhaa. Freeman Mbowe hana Ubavu wala Uwezo wa Kukemea Udini na Ukabila maana ni moja ya ajenda yake katika kufikia malengo yake ya kiuchumi, kisiasa na kijamii. Na ikitokea akafanya hivyo basi ukweli wa mambo ni kuwa huo ni unafiki tu wa kawaida. Ni sawa na kusema wagombea wa Urais nchini Kenya wanapinga ukabila wakati bila ukabila Kenya huwezi kupata kura. Huo ndio ukweli mchungu. Au tunasema Mbowe akemea Ukabila au "eti Mbowe naye akemea ukabila" sawa na unabii wa mawe kuongea. --- On Sun, 2/24/13, Ansbert Ngurumo <ansbertn@yahoo.com> wrote:
|
Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
0 comments:
Post a Comment