Tuesday 26 July 2016

[wanabidii] TAARIFA YA YA KUANZISHWA MAFUNZO NA MTANDAO WA WAJASIRIAMALI TANZANIA


Kampuni ya CPM Business Consultants imeanzisha mpango wa mafunzo ya ujasiriamali na ubunifu na kujenga mtandao wa wajasiriamali Tanzania ujulikanao kwa jina la EAGLE TEAM Kupitia Wasap na Facebook groups, ambapo watakutana kila juma mosi. Malengo ya mpango huu ni kutoa mafunzo ya ujasiriamali kwa vitendo, kuwawezesha wajasiriamali kujifunza ujasiriamali  huku wakiingiza kipato kupitia mpango huu.

Mafunzo ya ujasiriamali yatafanyika kila siku ya jumamosi katika ukumbi kama utakavyokuwa ukitangazwa kila wiki kuanzia saa 4.00 asubuhi hadi saa 7.00 mchana. Kiingilio cha mafunzo ni sh. 15,000. Mtandao wa EAGLE TEAM ambao umeundwa unaruhusu mtu yeyote kujiunga bila malipo yoyote ila atalazimika kulipia gharama za mafunzo ya  ujasiriamali kila anapohudhuria mafunzo. Mwanachama mpya anaweza kujiunga kwa njia 3. Kwa wasap kwenye EAGLE TEAM Wasap Group, Kwa Facebook  kwenye EAGLE TEAM   GROUP au  kujiunga utakapokuja kwenye mafunzo ya ujasiriamali jumamosi. Kuna wanachama wa aina 2 za wanachama wa EAGLE TEAM. Kuna wanachama wa kawaida na wanachama waandamizi (inner  circle) Mtu yeyote anaweza kujiunga na kuwa mwanachama wa kawaida. Kwa walioko mikoani tunatoa fursa ya mafunzo kwa internet kupitia tovuti yetu hii hapa; http://www.freecapturepagegenerator.com/display.php?cpid=18380  ukibofya tovuti yetu utajaza fomu ya uanachama na kuanza kupata mafunzo kwa njia ya email utapata ripoti ya namna ya kuwa tajiri bila malipo kisha  utaanza kupata mafunzo  kwa njia ya  kulipia. Hawa walioingia kuupitia kwenye tovuti yetu watahesabiwa kama wanachama wa kawaida.

  1. Sifa za mwanachama waandamizi (inner circle) ni;

I.                     Wanachama waanzilishi

II.                  Wanachama waliotoa wazo bora la biashara (million dollar idea)

III.                Wanachama walioleta wanachama wengi,au kutuletea mteja atakayeweza  kununua bidhaa nyingi (key contact)

IV.                Anaweza kunua uanachama wa mwanachama mwandamizi (inner circle)

Faida za kuwa mwanachama wa kawaida ni;

  1. Kupata kipato cha sh. 5,000 kwa kila mteja  atakayemualika kwenye mafunzo.
  2. Kupata mafunzo ya ujasiriamali na mengine yoyote yatakayotolewa na Eagle team
  3. Kuwa sehemu ya mtandao wa wajasiriamali Eagle team.

Faida za kuwa mwanachama mwandamizi (inner circle) ni;

  1. Faida zote zilizotajwa hapo juu anazopata mwanachama wa kawaida.
  2. Mgao wa faida kwenye mapato ya Eagle Team.

  Wanachama wote wanawajibika kufanya mambo yafuatayo;

  1. Kujenga mtandao wa EAGLE TEAM kwa kuwaalika watu kwenye mafunzo ambapo watalipa kiingilio cha sh. 15,000 sh. 5000 zitalipwa kwa mtu aliyemwalika n ash. 10,000 zitaingizwa kwenye mapato ya  Eagle team.
  2. Kutoa mawazo ya biashara kwa ajili ya maendeleo ya Eagle team.
  3. Kuhudhuria mafunzo na kulipa kiingilio cha mafunzo hayo kama itakavyoamriwa na Eagle team.

Huduma na bidhaa zinazotolewa na Eagle Team ni;

  1. Mafunzo ya ujasiriamali na ubunifu.
  2. Mafunzo ya biashara ya ufugaji wa kuku.
  3. Mafunzo ya kilimo biasshara
  4. Mafunzo ya uwekezaji wa pesa
  5. Mafunzo ya uwekezaji katika majengo
  6. Mafunzo ya kufanya biasdhara kwenyer mtandao wa internet.
  7. kitabu cha Mbinu za biashara 1 na 2
  8. Ushauri wa biashara
  9. Kuandaa michanganuo
  10. Kusajili Kampuni
  11. Mafunzo ya jinsi unavyoweza kutoa sadaka na kufanya biashara yako kubarikiwa.

Kwa maelezo zaidi unaweza kuwasiliana na Charles Nazi Mkurugenzi mtendaji wa Kampuni ya CPM Business Consultants kwa simu namba 0755394701.

TAARIFA HII IMETOLEWA NA;

 Charles Nazi

Mkurugenzi mtendaji wa Kampuni ya CPM Business Consultants .

 

 

 

 

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment