Friday 15 July 2016

[wanabidii] Haki za kuuza kitabu cha Mbinu za biashara


Haki za kuuza kitabu cha Mbinu za biashara

Napenda kuwafahamisha kwamba natoa haki za kuuza kitabu cha Mbinu za biashara soft copy ambapo mtu ambaye anataka kukiuza kwa njia ya email. Gharama za haki ya kuuza kitabu hiki kwa email ni sh. 100,000 ukipata haki ya kuuza kitabu hiki utauza nakala kiasi chochote utakachokitaka. Pia napenda kuwafahamisha wale (Publishers) ambao watahitaji kuuza hard copy ya kitabu hiki watalazimika kulipa sh. 1,500,000 kwa vitabu 1,000 ambapo watachukua na kuuza vitabu 500 na mtunzi atachukua vitabu 500. Kwa maelezo zaidi unaweza kunipigia simu namba 0755394701.

Kitabu Cha Mbinu za biashara kimetungwa na Charles Nazi Mkurugenzi mtendaji wa CPM Business Consultants , ambaye pia ni Mshauri wa biashara na mjasiriamali. Kitabu hiki kimetungwa mwaka 2008, na zimeuzwa nakala 5,000 na kimewainua wajasiriamali wengi.Kitabu hiki kinapendwa sana na kinalenga kumsaidia mtu yeyote ambaye anatafuta utajiri kwa kufanya biashara ndogondogo hadi kubwa. Pia kinatoa maarifa, mbinu na mikakati mbalimbali ya kupambana na umaskini, kinatoa elimu ya biashara na mbinu mbalimbali za namna ya kupata pesa kwa njia halali ili kukurahisishia safari yako ya kuelekea kwenye kutafuta na kupata utajiri. Mtunzi wa Kitabu hiki Charles P. M. Nazi ni mshauri wa masuala ya biashara. Kitabu hiki ni matokeo ya utafiti na uzoefu katika kazi za ukaguzi alizozifanya kwa kuangalia matatizo ya uendeshaji wa biashara mbalimbali pamoja na ushauri alioutoa kwa watu walioomba ushauri kutoka kwake.

Mtu yeyote au (Publishers) ambao watahitaji kuuza hard copy au soft copy ya kitabu hiki apige simu namba 0755394701
CHARLES NAZI

MTUNZI WA KITABU CHA MBINU ZA BIASHARA

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment