Wednesday 13 July 2016

Re: [wanabidii] Wapinzani kutoka bungeni ni mkakati wa kimakosa

Thanks De Kleinson Kim. Najaribu kuchangia kichwa cha habari: 'Wapinzani kutoka bungeni ni mkakati wa kimakosa'
1. Kuna waliotolewa bungeni na kuna waliotoka bungeni. Kwa sasa ngoja nijikite kwa waliotoka bungeni.
2. Ili kujua whether kutoka kwa Ukawa bungeni ni mkakati wa kimakosa au la, ni lazima kujiuliza pia kama kilichokuwa kikiendelea bungeni ni fair (kwa reasonable person).
3. Kama kilikuwa fair, ina maana hatua waliyoichukua Ukawa siyo fair. Kama kilikuwa unfair, ina maana hatua ya ukawa ilikuwa fair.
4. Kisheria na kikanuni, Ukawa wana haki ya kufanya walivyofanya na katika mazingira waliyokuwemo.
5. Tujiulize pia kama wenyeviti wa vikao vya bunge wapo ni sababu zipi zilimfanya Naibu Spika kuongoza vikao vyote vya bunge (non-stop) as if hawapo wakati haikuwa hivyo kabla ya Ukawa kuazimia kupeleka malalamiko yao kwa Spika ili hatimaye wapige kura ya kukosa imani naye? Ina maana kwa vile Naibu Spika aliendelea kuongoza vikao vya bunge muda wote hadi bunge kuahirishwa July 1, 2016 bila ya wenyeviti wa bunge hawaitajiki tena? Je, tungetegemea bunge ambalo linafuata sheria na haki kuendeshwa kama lilivyoendeshwa? Kwa mawazo haya hebu tuchangie - tuelimishane na kupeana mwanga.

On Wed, Jul 13, 2016 at 2:15 PM, De kleinson kim <dekleinson@gmail.com> wrote:
Thank God Magobe is here,
You are the Human Right Activist (TO ME). Say something on this, seems
like this Government is messing up deadly!!  Can you take us there?
PLEASE SIR!
Thank you.

--
*"Anyone who conducts an argument by appealing to authority is not using
his intelligence; he is just using his memory." Leonardo daa Vinci
*

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment