Thursday 14 July 2016

Re: [wanabidii] Wapinzani kutoka bungeni ni mkakati wa kimakosa

Muhingo, 1) tukiongelea utendaji wa bunge tunaongelea 'principal organ' ya serikali yenye wajibu wa kuisimamia na kuishauri serikali. 2) Spika, Naibu Spika na wenyeviti wa bunge wana takiwa kuongoza vikao vya bunge kwa kufuata katiba, kanuni za bunge, sheria za nchi, uzoefu wa mabunge mengine ya Jumuiya ya Madola na zaidi ya yote kwa kutenda haki. Kwa hiyo, nategemea licha ya kufuata kanuni na sheria haki ionekane ikitendeka bungeni na kama hii haionekani hata kama ni kwa watu wachache ina maana haki haionekana ikitendeka na kama haki haionekani ikitendeka ina maana pia sheria hazijafuatwa kwa namna iliyotakiwa zifuatwe.

2016-07-14 15:36 GMT+03:00 'ELISA MUHINGO' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>:
Magobe.
UKAWA walikuwa sahihi kupeleka malalamiko yao kwa peaker. Na huenda walikuwa sahihi kugoma kuingia Bungeni. Kwa sababu mgomo wao haukuwa na impact walistahili kurudi bungeni siku ya pili kusubili appeal yao toka kwa Speaker. Lilikuwa kosa kubwa kuendelea kugoma na kosa hilo waliwakosea waajiri wao (wapiga kura)
Baada ya hapo ni Naibu Speaker kukalia kiti vikao v yote bila kuachia wenyeviti. Hili lina sababu kwbwa tatu:
1) Naibu Speaker hakukosea. Wenyeviti huwa wanakuja kupata uzoefu na kutoa msaada maspeaker wasichoke. Wanakuja pale kwa kupangiwa na Speaker. Sasa hakuwapangia na hakuvunja sheria.
2) Ilikuwa hivyo ili kwenda na ratiba. Tayari hija za UKAWA zilikuwa ''zinaudhi''. Kama kuendelea kukalia kiti Nasibu spika kutawaweka nje kwanini Bunge lisitumie mwanya huo.
3) Inawezekana Serikali ililiagiza bunge kufanya hivyo. agizo hilo ni batili tu kama Bunge likililalamikia. Kana hakuna nani atalalamika.
4) naongezaa ya nne ambayo kwa ushirikiano wa Bunge na Serikali wanaweza kufanya hivyo (kwa kuwa wote ni CCM) wakaamua kuandaa hoja ya kuiangusha UKAWA.

Kwa utendaji wa Serikali ya awamu ya tano naiogopa sababu ya nne kuwa inaweza kuimaliza UKAWA calories zilizobaki hivyo tukalazimika namna ya kutafuta chama mbadala.
Ohoo TANU yajenganchi! TANU heeeee! TANU yajenga nchi.
--------------------------------------------
On Wed, 7/13/16, Telesphor Magobe <tmagobe@gmail.com> wrote:

 Subject: Re: [wanabidii] Wapinzani kutoka bungeni ni mkakati wa kimakosa
 To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
 Date: Wednesday, July 13, 2016, 3:43 PM

 Thanks De Kleinson Kim.
 Najaribu kuchangia kichwa cha habari: 'Wapinzani kutoka
 bungeni ni mkakati wa kimakosa'
 1. Kuna waliotolewa bungeni na kuna waliotoka bungeni.
 Kwa sasa ngoja nijikite kwa waliotoka bungeni.
 2. Ili kujua whether kutoka kwa Ukawa bungeni ni
 mkakati wa kimakosa au la, ni lazima kujiuliza pia kama
 kilichokuwa kikiendelea bungeni ni fair (kwa reasonable
 person).
 3. Kama kilikuwa fair, ina maana hatua waliyoichukua
 Ukawa siyo fair. Kama kilikuwa unfair, ina maana hatua ya
 ukawa ilikuwa fair.
 4. Kisheria na kikanuni, Ukawa wana haki ya kufanya
 walivyofanya na katika mazingira waliyokuwemo.
 5. Tujiulize pia kama wenyeviti wa vikao vya
 bunge wapo ni sababu zipi zilimfanya Naibu Spika kuongoza
 vikao vyote vya bunge (non-stop) as if hawapo wakati haikuwa
 hivyo kabla ya Ukawa kuazimia kupeleka malalamiko yao kwa
 Spika ili hatimaye wapige kura ya kukosa imani naye? Ina
 maana kwa vile Naibu Spika aliendelea kuongoza vikao vya
 bunge muda wote hadi bunge kuahirishwa July 1, 2016 bila ya
 wenyeviti wa bunge hawaitajiki tena? Je, tungetegemea bunge
 ambalo linafuata sheria na haki kuendeshwa kama
 lilivyoendeshwa? Kwa mawazo haya hebu tuchangie -
 tuelimishane na kupeana mwanga.

 On Wed, Jul 13, 2016
 at 2:15 PM, De kleinson kim <dekleinson@gmail.com>
 wrote:
 Thank
 God Magobe is here,

 You are the Human Right Activist (TO ME). Say something on
 this, seems

 like this Government is messing up deadly!!  Can you take
 us there?

 PLEASE SIR!

 Thank you.

 --

 *"Anyone who conducts an argument by appealing to
 authority is not using

 his intelligence; he is just using his memory." Leonardo
 daa Vinci

 *

 --

 Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

 Kujiondoa Tuma Email kwenda

 wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 
 Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

 Disclaimer:

 Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
 for any legal consequences of his or her postings, and hence
 statements and facts must be presented responsibly. Your
 continued membership signifies that you agree to this
 disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

 ---

 You received this message because you are subscribed to the
 Google Groups "Wanabidii" group.

 To unsubscribe from this group and stop receiving emails
 from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

 For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

 --

 Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

 Kujiondoa Tuma Email kwenda

 wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya
 kudhibitisha ukishatuma

 Disclaimer:

 Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
 for any legal consequences of his or her postings, and hence
 statements and facts must be presented responsibly. Your
 continued membership signifies that you agree to this
 disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

 ---

 You received this message because you are subscribed to the
 Google Groups "Wanabidii" group.

 To unsubscribe from this group and stop receiving emails
 from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

 For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

0 comments:

Post a Comment