Monday, 18 July 2016

Re: [wanabidii] KUWAFUNGIA MATABIBU CLINIC ZAO: NI mkakati wa kukuza ubunifu au tunafanya tusichokijua?

Walifungiwa kwa sababu walijiita waganga wa kisasa badala ya kujiita waganga wa tiba asili au tiba mbadala. Elisa hivi ulisikiliza wahusika walivyofafanua kwanini waliwafungia...walisema ni kwa sababu WALIJIITA au kwa sababu walikuwa wanatoa huduma zisizo mbadala?

Naona na wewe unakurupuka maana unasema huhitaji kuuliza!

2016-07-18 16:53 GMT+03:00 'ELISA MUHINGO' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>:
Hatuhutaji kuuliza tunachokijua. Walifungiwa kwa sababu walijiita waganga wa kisasa badala ya kujiita waganga wa tiba asili au tiba mbadala. Kuhusu garama hii inawapunguzia wateja. Wakishusha wanaongeza wateja. Inaweza isiwe sababu ya serikali. Kuhusu Wizara kukurupuka historia inasaidia. Tunakumbuka aliyekwenda kufunga gate kudhibiti wachelewaji na akiamuru walinzi badala ya afisa utumishi. Ni miezi tu inapishana kati ya kukurupuka na kutokurupuka huku.
--------------------------------------------
On Mon, 7/18/16, Atu Mwangomale <acanemwango@gmail.com> wrote:

 Subject: Re: [wanabidii] KUWAFUNGIA MATABIBU CLINIC ZAO: NI mkakati wa kukuza ubunifu au tunafanya tusichokijua?
 To: wanabidii@googlegroups.com
 Date: Monday, July 18, 2016, 4:17 PM

 labda
 tungeenda mbali kujua zaidi kwanini hawa watu wamefungiwa
 kuliko kulaumu. kuna wataalamu wa tiba mbadala ambao
 consultation fee tu ni zaidi ya 100,000. na hiyo ni single
 visit kitu ambacho hakina uhalisia  na hali halisi ya
 maisha ya mtanzania. Sidhani kama wizara
 ilikurupuka..kwanini hao tu wakati wapo wengi na wapo kila
 kona ya nchi hii?
 2016-07-18 16:02 GMT+03:00
 'ELISA MUHINGO' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>:
 Nimemaliza kujifuta machozi.
 Umenikosea sana Misango. Umenikumbusha ya Dr. Masau. Baada
 ya kummbaliza wakajiita majina ya hospitali ambayo alikuwa
 anataka iwasaidie watanzania. Mungu apishe mbali hata siku
 moja nisilale katika hospitali hiyo Kila ikitamkwa taasisi
 ya moyo na nanihii nasikia ki9chefuchefu.

 --------------------------------------------

 On Mon, 7/18/16, 'Charles
 Misango' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
 wrote:  Subject: Re: [wanabidii] KUWAFUNGIA MATABIBU CLINIC ZAO:
 NI mkakati wa kukuza ubunifu au tunafanya tusichokijua?

  To: "wanabidii@googlegroups.com"
 <wanabidii@googlegroups.com>

  Date: Monday, July 18, 2016, 3:24 PM  Naungana

  nawe Elisa kwa maoni yako. Kinachotusumbua watanzania
 wengi

  naweza sema ni 'ushamba' uliopitiliza ukawa

  'ujinga'.. Ujinga uliotusukuma wengi kuwa na wivu
 wa

  kipuuzi uliozaa roho mbaya.  Enzi ya

  Mwalimu, utawala wake na hasa yeye mwenyewe alikuwa na
 moyo

  wa kuwainua watanzania. kuwaonyesha wazungu kwamba
 ngozi

  nyeusi sio laana wala kukosa akili, ujuzi na maarifa.
 Yeye

  katika umri mdogo aliwahenyesha na wanalijua hilo.
 Kitendo

  cha kumteua kijana mdogo kwa umri wakati huo, Salim
 Ahmed

  Salim kuwa balozi kilishangaza wengi. Au alipomtuma
 kijana

  mdogo wakati ule kwenda israel kusomea uhandisi,
 marehemu

  Beda Amuri kilikuwa ni kitendo cha kuutambulisha
 ulimwengu

  kuwa ipo siku tutakwenda huko kwa weupe kuwafundisha

  kazi.Mzee

  kaondoka na ujasiri huo. Nyuma wakabaki wasaidizi wake

  waliohusudu sana, wageni. Jambo likifanywa na mtanzania

  mwenye uchu wa kuchuma mali za halali kwa bidii yake,

  atakwamishwa sana. Reginard Mengi hata kama ana
 matatizo

  yake, kama sio kusimama imara asingefika hapo alipo.

  Serikali iseme imeweka mkono gani kwake kufika hapo? Dk

  Masau, mtaalamu bingwa wa magonjwa ya moyo alitendewa
 unyama

  wa kutisha na waliotakiwa kumuunga mkono kwa nguvu
 zote.

  Nina uhakika Dk Masau angekuwa mweupe, angelambwa hata
 miguu

  na kupewa kila ambacho angetaka. Lakini mswahi wa
 Majita,

  wapi na wapi.Mzee wa

  kikombe cha Loliondo, alikimbiliwa
 kwa sababu aliegemea

  mambo ya Imani na Kanisa lake akiwemo askofu wake,

  wakamuunga mkono.Kumbe

  akina Mwaka walitakiwa kusaidiwa pale walipokosea,
 kusudi

  waweze sasa kutenda vyema. sio kufungia bila kuangalia
 mtu

  huyu kasota vipi kufanikisha kazi yake

     On Saturday, July 16,

  2016 6:40 PM, 'Hildegarda Kiwasila' via
 Wanabidii

  <wanabidii@googlegroups.com>
 wrote:  Kuna dreva mmoja wa chuo kikuu Dar (UDSM)

  katibiwa cancer ya mguu kwa dawa ya miti shamba. Maisha
 yake

  yamekuwa mapya kwani hata kutembea alikuwa hawezi
 wakati

  Muhimbili na Ocean road wanatumia miale na mbinu sa
 kisasa.

  Hebu fikiria ni raha na furaha kiasi gani Tiba Asili

  imemponya! Full doze ni 450,000/= kwa matibabu ya miezi

  3.  Cha kufanya ni Wizara ya

  Afya na Jinsia kutafuta mwekezaji au hela kujenga
 kiwanda

  cha kufyatua dawa ziwe katika unga, maji, mafuta etc na
 kuwa

  packaged kama inavyotakiwa. Mbona zinafanyiwa utafiti
 na

  kuthibitishwa na Muhimbili na Taasisi ya Utafiti wa
 Tiba

  asili kuthibitishwa na NIMR na TFDA? Zipo za kutoka
 nchi

  mbali mbali zinauzwa kariakoo. Baadhi ya tabibu
 hawakusoma

  kabisa wamerithi kutoka wazazi, bibi na babu na watu

  wanatibiwa wanapona. Madaktari wa Tanzania walipelekwa
 China

  kusomea barefoot doctors na kujua masuala ya Tiba
 Asilina

  Mbadala na ndio wapo wizarani kitengo cha Tiba Asili.
 Ulaya

  unanunua dawa asili packaged. Wajenge kiwanda kifyatue
 dawa

  kiusalama zaidi. Badala ya kushindana na
 kufungiana-dialogue

  inahitajika. Mbona Baraza la Wizara la Tiba Asili lipo
 na

  Vyama vya Waganga au Tabibu Asili vipo na
 vimeandikishwa

  kisheria. Wanakutana na Wizara kupitia wawakilishi wao
 ktk

  Baraza-dialogue inashindikana kivipi.  Kwenye waganga wa Tiba Asili kuna

  specialization pia-kutibu magonjwa mbali mbali na wengi

  wamesaidiwa kwa bei nafuu badala ya kwenda India
 kutibiwa 

  matibabu ya kisasa. Wanaotibu  pumu, malaria,
 parkinsons,

  uzazi, kupooza, kichwa kuuma etc kwa miti shamba/miti
 dawa

  na madini asilia au dawa asilia.  Tutatue matatizo kwa majadiliano na makubaliano

  kabla ya wahusika wa kuwafungia hawajaanza kwenda
 mwendo

  kazi barabarani na kuyapita magari ya sasa ya jiji ya
 mwendo

  kasi ili Tiba Asili aje kuonyesha mfano wa kumtibu ili
 apate

  kuheshimiwa!  Kama Kawa  --------------------------------------------

  On Sat, 16/7/16, Emmanuel Muganda <emuganda@gmail.com>

  wrote:   Subject: Re:

  [wanabidii] KUWAFUNGIA MATABIBU CLINIC ZAO: NI mkakati
 wa

  kukuza ubunifu au tunafanya tusichokijua?  To: "wanabidii@googlegroups.com"

  <wanabidii@googlegroups.com>

   Date: Saturday, 16 July, 2016, 16:53   Elisa,Nakuunga mkono. We are

  our own worst

   enemy.em  2016-07-16 3:30 GMT-04:00

   'ELISA

  MUHINGO' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>:

   Zamani

   fulani niliwahi

  kuandika makala katika moja ya magazeti  iliyokuwa na kichwa cha habari kisemacho: Wabunifu wetu

  wa

   magobole wamo magerezani wakilindwa na

  magobole ya wabunifu

   wenzao kutoka

  India.   Nilichosema ni

  kuwa Tanzania imewakamata watengeneza  magobole ambayo (magobole) yalikuwa hayakutengenezwa
 kwa

   kibali. Na India hivyohivyo. Sisi

  watengenezaji hao wa

   magobole tukawashtaki

  kwa kutengeneza magobole hayo bila

   kibali

  cha serikali. India wa kwao ikawatafutia nyenzo

   wakaendelea kutengeneza magobole na (India)

  kuanza kuyauza

   nje. Sisi kwa kuwa tulikuwa

  tunatafuta bunduki za kulinda

   magereza yetu

  tukagundua kuwa zile zinazouzwa India  zinatufaa. Tukazinunua na zikasaidia maaskari magereza

  wetu

   kulinda wafungwa wetu wakiwemo

  wabunifu wetu wa magobole.

   Nilipokuwa

  naandika makala hiyo kulikuwa na kesi mahakamani

   na watu hao walihukumiwa vifungo kweli. Siyo

  India peke yake

   inayogeuza 'uhalifu'

  kuwa Fursa. Uganda enzi za Obote

   ilikuwa na

  shida ya waganda kutengeneza gongo wakati gongo

   hilo ni haramu. Baadaye uongozi wa Obote

  ukachemsha kichwa

   (okufumba omutwe).

  Wakawageuza wapika gongo kuwa wakala wa  'Uganda Waragi'. (kwetu ni Konyagi) hivyo Uganda

  waragi

   ikawa inanunua Gongo na kulichuja na

  kuliweka kwenye chupa

   hivyo tatizo

  likapungua, (halikuisha).

  Tanzania ina dira yake sasa. Tunataka kujenga uchumi wa

  kati

   ifikapo 2025. Njia moja wapo ni kukuza

  viwanda. Huo ni

   mpango wa Taifa. Si

  serikali peke yake inayotekeleza pango

   huo.

  La! Serikali, Taasisi za kidini, Wananchi, wataalamu wa

   kila sekta, wanasiasa-wote tunatekeleza hilo.

  Ndiyo maana

   wanaoona; vyama vya siasa

  walipofungiwa kufanya mikutano ya  kikampeni-tuliunga mkono. Tunaona wanataka kutupotezea

  muda

   kwa kisingizio cha demokrasia.   Moja kati ya mikakati ya

  kutekeleza lengo hilo la taifa

   wakajitokeza

  watanzania wenzetu wasomi wa mambo ya afya  katika ngazi ya kati (Matabibu) wakafanya utafiti kwa

   kuoanisha magonjwa wanayoyajua kitabibu; na

  matibabu ya

   kienyeji (Kiasili). Serikali

  kwa kutambua hilo ikawawekea

   utaratibu.

  Waitwe watoa tiba ya asili au tiba mbadala.

   Dawa ya kutibu malaria (kwa mfano) kwa

  dawa ya kienyeji, ni

   bakuli moja ya lita

  moja mara mbili kwa siku. Wao kwa

   kuangalia

  ukubwa wa lita na uwezo wa kuitumia wakajitahidi

   wakaiweka katika unga na sasa wamefikia hatua

  ya kutumia

   unga wa kijiko kimoja kwenye

  glass ya maji. Ni hatua

   hiyo.   Watu hawa wameendelea na

  sasa wana clinics nyingi na

   zinatibu

  magonjwa ambayo baadhi yameshindikana katika

   hospitali zinazoitwa za kisasa.   Dawa zao zimepiga hatua

  kutoka kibakuli cha lita moja mpaka

   glass

  moja. Wamepiga hatua kiasi cha kutengeneza vifungashio

   vizuri tu vya kisasa. Wakasema sasa huduma zao

  ni za

   'kisasa'. Kwa neno hilo

  wakafungiwa.   Majuzi rais

  wetu amewakaribisha wahindi kuja kuwekeza katika

   viwanda vya madawa, badala ya kuendelea

  kutuuzia dawa.

   Ukienda India baadhi ya

  viwanda vinavyotuuzia madawa hayo

   viko

  uwani mwa nyumba za kuishi. Wanachofanya ni kutumia

   majina ya viwanda vikubwa na luweka

  'label' zao na

   kuwalipa kamisheni.

  Ndizo tunazotumia na huwezi kujua labda  Mwijage (waziri wa viwanda) akienda huko. (Namuamini
 ana

   uwezo wa kugundua hilo. Wengine hamna).   Miti inayotumika kutengeneza

  dawa ya Malaria ni Cinchona na

   imezagaa na

  ndiyo Bukoba wanatengeneza dawa za  'Omushana' lakini China wanatuletea Malaraquine.
 Dawa

  za

   Dr Mwaka tunasema za asili na akisema za

  kisasa tunamfungia

   lakini za Mchina

  tunazikubali na kuziita za kisasa. Tofauti  ya dawa hizi ni moja: za wachina hatujui

  wanakozitengenezea.

   Ndiyo tofauti. Kumbe

  akina 'Dr. Mwaka' wa China

   walisaidiwa

  na serikali yao na sasa wanatuuzia dawa na sisi

   tumefaulu kuwanyamazisha wabunifu wetu sasa

  tunataka 'Dr.

   Mwaka' wa kichina na wetu

  tunaua. Dr. Mwaka akikosea

   akaenda china na

  kuanzisha kiwanda akaiita 'hwa ngwi  chi', dawa zake zitanunuliwa tena kwa garama kubwa na

   kutumika katika hospitali zetu za kisasa.   Hivi muda tunaotumia

  kumlaumu Dr. Mwaka na wenzake kwa

   kutumia

  neno 'matibabu ya kisasa' badala ya  'asili/mbadala' kwa nini tusiutumie kumsaidia

  kuzifanya

   dawa zake za kisasa? Kama

  tumehakikisha zinatibu; kama

   tumehakikisha

  zinaboreshwa kutoka bulkiness mpaka small  packages; Kama amefikia hatua ya kuzifungasha

   vizuri-tunashindwa nini kumpeleka mbele akawa

  wa kiwango cha

   kisasa?   Kwa kuzima ubunifu Tanzania inaweza kusifika.

  Ukiondoa swala

   la magobole, tunakumbuka

  jinsi Mafuta ya Ubuyu ulivyozimwa.

   Ukienda

  Dodoma vijijini kukutana na mzee wa myaka 120

   anakimbizana na mbuzi kama kijana ni jambo la

  kawaida.

   'Watafiti' wa

  kyenyeji/asili/mbadala wa kitanzania  wakahusishaa matumizi ya mbegu za ubuyu na uzee mwema

  huo.

   Wakafanya utafiti; wakayakamua na

  yakaanza kuwasaidia

   watanzania kiafya na

  kiuchumi. Akakurupuka huko mtu na

   kusema

  mafuta hayo ni 'hatari kwa binadamu'. Kulikuwa na

   uvumi kuwa kuna mtu mmoja alitaka kuhodhi soko

  la mafuta

   hayo na akaanza kwa kuzima

  wanaoyauza. Kwamba ni kweli au

   sio hiyo

  siri kubwa.   Sipendi

  kuamini kuwa katika amri hii ya matibabu kufungiwa

   ina swala la mahusiano ya mtu na mtu kwa

  makusudi ya

   kukomoana. Tunafahamu kuwa

  kuliwahi kutokea mzozo kati ya

   uongozi mpya

  wa wizara ya Afya na Clinic ya Dr. Mwaka.  Lakini nadhani hakuna mahusiano na si kusudi la makala

  hii

   kulijadili. Kalamu imeteleza tu.   Ninachosema ni kuwa Tanzania

  inahitaji kufanya zaidi ili

   kukuza sayansi.

  Lazima tujipe nafasi ya kutumia akili  zetu.   Nimesikia habari za

  uanzishwaji wa ''Jiji la sayansi'.  Nilisikiliza sana nikahofu tunaanza jiji hilo na kosa
 la

   msingi ambalo litatupoteza njia. Mpango wa

  jiji hilo ni kuwa

   Mtu mwenye degree akiwa

  na wazo la ubunifu atapeleka wazo

   hilo.

  Wataalamu wenzake watalipitia na lifanyiwe kazi.

   Najiuliza Wasomi wetu wenye degree wamewahi

  kubuni nini

   kinachosaidia jamii.

  Waliofungiwa wote wako ngazi ya kati.  Matabibu; yaani Clinical officers (au Clinical

  Assistants).

   Kama tutajikita kuwatumia

  wenye degree tu basi kukwama kwa

   kutimiza

  lengo la kuanzisha jiji hilo kutaanzia hapo.   Elisa Muhingo   0767 187 507   --    Send Emails to wanabidii@googlegroups.com         Kujiondoa Tuma Email

  kwenda

    wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 

   Utapata Email ya    kudhibitisha ukishatuma         Disclaimer:    Everyone

  posting to this Forum bears the sole  responsibility    for any

  legal consequences of his or her postings, and

   hence

   statements and facts must be presented responsibly.

   Your

   continued membership signifies that you agree to this    disclaimer and pledge to

  abide by our Rules and

   Guidelines.    ---    You received this message

  because you are subscribed to

   the    Google Groups

  "Wanabidii" group.    To

  unsubscribe from this group and stop receiving

   emails

   from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.    For more options, visit

  https://groups.google.com/d/optout.   --   Send Emails to wanabidii@googlegroups.com   Kujiondoa Tuma Email kwenda

   wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 

   Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma   Disclaimer:

  Everyone posting to this Forum bears the sole

  responsibility

   for any legal consequences

  of his or her postings, and hence  statements and facts must be presented responsibly.
 Your

   continued membership signifies that you agree

  to this

   disclaimer and pledge to abide by

  our Rules and

   Guidelines.

   ---   You

  received this message because you are subscribed to the

   Google Groups "Wanabidii" group.   To unsubscribe from this

  group and stop receiving emails

   from it,

  send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.   For more options, visit

  https://groups.google.com/d/optout.

   --   Send Emails to wanabidii@googlegroups.com       Kujiondoa Tuma Email kwenda

   wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 

  Utapata Email ya

   kudhibitisha ukishatuma       Disclaimer:

  Everyone posting to this Forum bears the sole

  responsibility

   for any legal consequences

  of his or her postings, and hence  statements and facts must be presented responsibly.
 Your

   continued membership signifies that you agree

  to this

   disclaimer and pledge to abide by

  our Rules and

   Guidelines.

   ---

  You received this message because you are subscribed to

  the

   Google Groups "Wanabidii"

  group.   To unsubscribe

  from this group and stop receiving emails  from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.   For more options, visit

  https://groups.google.com/d/optout.  --

  Send Emails to wanabidii@googlegroups.com  Kujiondoa Tuma Email kwenda  wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 

  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma  Disclaimer:

  Everyone posting to

  this Forum bears the sole responsibility for any legal

  consequences of his or her postings, and hence
 statements

  and facts must be presented responsibly. Your continued

  membership signifies that you agree to this disclaimer
 and

  pledge to abide by our Rules and Guidelines.

  ---

  You received this message

  because you are subscribed to the Google Groups

  "Wanabidii" group.

  To unsubscribe

  from this group and stop receiving emails from it, send
 an

  email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

  For more options, visit

  https://groups.google.com/d/optout.

  --  Send Emails to wanabidii@googlegroups.com     Kujiondoa Tuma Email kwenda  wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 
 Utapata Email ya

  kudhibitisha ukishatuma     Disclaimer:  Everyone posting to this Forum bears the sole
 responsibility

  for any legal consequences of his or her postings, and
 hence

  statements and facts must be presented responsibly.
 Your

  continued membership signifies that you agree to this

  disclaimer and pledge to abide by our Rules and

  Guidelines.  ---  You received this message because you are subscribed to
 the

  Google Groups "Wanabidii" group.  To unsubscribe from this group and stop receiving
 emails

  from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.  For more options, visit https://groups.google.com/d/optout. --

 Send Emails to wanabidii@googlegroups.com Kujiondoa Tuma Email kwenda

 wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 
 Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma Disclaimer:

 Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
 for any legal consequences of his or her postings, and hence
 statements and facts must be presented responsibly. Your
 continued membership signifies that you agree to this
 disclaimer and pledge to abide by our Rules and
 Guidelines.

 ---

 You received this message because you are subscribed to the
 Google Groups "Wanabidii" group.

 To unsubscribe from this group and stop receiving emails
 from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

 For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.


 --

 Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

  

 Kujiondoa Tuma Email kwenda

 wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya
 kudhibitisha ukishatuma

  

 Disclaimer:

 Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
 for any legal consequences of his or her postings, and hence
 statements and facts must be presented responsibly. Your
 continued membership signifies that you agree to this
 disclaimer and pledge to abide by our Rules and
 Guidelines.

 ---

 You received this message because you are subscribed to the
 Google Groups "Wanabidii" group.

 To unsubscribe from this group and stop receiving emails
 from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

 For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment