Bandugu, sote hapa hatuna uhakika wa moja kwa moja kama alilawiti ama hapana. Ni watatu tu waujua ukweli, Mungu, padri na kijana. Mbele ya macho ya sheria, tunaambiwa hakutenda kosa. Yawezekana kweli ama rushwa hatuj. Tusitoane macho, Mungu atamkipa kila mtu kadri ya matendo yake
Sent from my Huawei Mobile
'Mashaka Mgeta' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
>
>
>Fadhili unastahili kuandika hivyo kwa maana inakupasa.
>
>
>------------------------------
>On Tue, Nov 18, 2014 9:26 PM PST fadhil fadhil wrote:
>
>>Kiwasila usipate tabu na hawa jamaa kuna watu kazi yao kutetea ujinga
>>haliyakuwa ukweli wanaufaham, kwakuwa aliyefanya hivyo ni kiongozi wa
>>kidini.
>>On Nov 19, 2014 8:11 AM, "'Hildegarda Kiwasila' via Wanabidii" <
>>wanabidii@googlegroups.com> wrote:
>>
>>> Hili suala ni la Kanisa katoliki Ubungo Kisiwani, baadae kutokana na tabia
>>> hizi alihamishwa huyu ninakumbuka alipelekwa Kibaha akawa anarudi kumchukua
>>> kijana kumtembelea kwao na kufanya aliyokuwa akiyafanya. Nikisali kanisa
>>> hilo, lilijadiliwa katika jumuiya yetu. Ndio maana ninasema na kuonyesha
>>> wasiwasi na haki kisheria. Inasikitisha sana. Nchi hii-kichwa cha
>>> wenzawazimu. Wabakaji wengi wanakwepa sheria namna hii. Mifano ni mingi
>>> nchini. Kama mtoto akiitwa aongee radioni au katika TV atoe evidence na
>>> mzhini!! Tutetee tu ujinga.
>>>
>>>
>>>
>>> On Tuesday, 18 November 2014, 22:21, 'Mashaka Mgeta' via Wanabidii <
>>> wanabidii@googlegroups.com> wrote:
>>>
>>>
>>>
>>>
>>> Juma Mzuri, Baba wa Taifa, hayati Mwal JK Nyerere alisema ukiona mtu
>>> katika kujadili hoja anakimbilia udini(kama ulivyoandika) ama ukabila au
>>> ukanda, nasi huyo ni mufilisi.
>>>
>>>
>>> ------------------------------
>>> On Mon, Nov 17, 2014 11:37 AM PST Juma Mzuri wrote:
>>>
>>> >Reginald Miruko na Mashaka Mgetta wote ni wakatoliki .
>>> >
>>> >On Monday, November 17, 2014 10:03:35 PM UTC+3, Reginald Miruko wrote:
>>> >
>>> > Kweli mashaka. Aliyetoa laana aziondoe au alaaniwe yeye
>>> > On Nov 17, 2014 10:00 PM, "'Mashaka Mgeta' via Wanabidii" <
>>> > wana...@googlegroups.com <javascript:> wrote:
>>> >
>>> >
>>> >
>>> > Ninavyokumbuka, mpendwa Padri Sixtus hakutoroka. Baada ya kuhukumiwa na
>>> > kama ilivyo haki kwa raia mwingine, alikata rufaa. Akashinda na kutoka
>>> > gerezani.
>>> >
>>> >
>>> > ------------------------------
>>> > On Sun, Nov 16, 2014 10:42 PM PST 'Hildegarda Kiwasila' via Wanabidii
>>> > wrote:
>>> >
>>> > >
>>> > >
>>> > >Familia iliyomtolea dhamana wakati wa kesi yake ilaaniwe. Vidhibiti
>>> > vyote vilikuwa wazi. Kesi za namna hii sisi ktk NGO yetu zimetushinda
>>> > kutokana na ndugu kumtoa mshitakiwa kwa dhamana au kuhonga na kutoroka
>>> > akiwa rumande. Anatorokaje? Mnafuatilia kesi ya ubakaji mpaka mtuhumiwa
>>> > anakamatwa alikotorokea. Kisha ndugu wanakaa kikao na kumuonya mshitaki
>>> > kufuta kesi. Mshitaki anaweza kuwa muathirika au mke/mlezi aliyeshitaki
>>> > mume kubaka, kulawiti. Mke nae kufuta kesi eti kulinda ndoa. Inapofikia
>>> > mshitaki kufuta kesi licha ya vidhibiti kuwepo naye atiwe hatiani.
>>> > Inapofika daktari kubadili vidhibiti-atiwe hatiani. Daktari wa zahanati
>>> > atatoa vidhibiti kubalika na vya haki alipomsaidia kwa mara ya kwanza
>>> > (akatoa photocopy akaweka akatupatia nakala moja) ile ya kupimwa Health
>>> > centre vipimo zaidi au district hospital inakuja kinyume kabisa na ile
>>> > original observation. Training ya Medical doctors na Mahakimu ktk
>>> > kushughulikia sexual offences na ile manual yake
>>> > > wanayotakiwa kuzingatia ilakuwa biashara kichaa. Hata kama ni mtu wa
>>> > dini ameingia tamaa ya makosa ya Kujamiiana na mengineyo-aadhibiwe.
>>> Wazazi
>>> > waangalie sana watu wanaojitokeza kusaidia watoto wao me na ke kuwapa
>>> > misaada ya kifamilia kuwasomesha etc; kuwalaza watoto wadogo na kaka
>>> zao,
>>> > houseboy, na wageni na watoto wa jirani ili kutatua tatizo la
>>> > chumba.nafasi. Mahusiano dreva wa nyumbani na watoto; dreva wa bodaboda
>>> > uliyomkabidhi kumchukua kumpeleka na kumrudisha mtoto kadogoo shule
>>> > ilikuokoa muda wako wewe wa kazi. Housegirl na wanao na houseboy pia
>>> > wameambukiza familia ukimwi na kubaka vitoto walalavyo nao pia.
>>> Housegirl
>>> > anacheza michezo na vibwana mdogo vyako-watoto wa kiume na wavulana
>>> wako.
>>> > Asilimia 80-90 ya ulawiti watoto wa kiume hutokea au kufanyika
>>> nyumbani.
>>> > Watch out!!
>>> > >
>>> > >
>>> > >
>>> > >
>>> > >On Monday, 17 November 2014, 9:20, Yona Fares Maro <oldm...@gmail.com
>>> > <javascript:> wrote:
>>> > >
>>> > >
>>> > >
>>> > >MTUHUMIWA wa kesi ya kulawiti mtoto wa kiume, aliyekua akitafutwa na
>>> > mahakama ya rufaa Sixtus Kimaro ambaye alikutwa na tuhuma hizo wakati
>>> > akiwa Padri katika kaniska katoliki jimbo kuu la Dar es salaam amefia
>>> > nchini Msumbuji na mwili wake umesafirishwa kuja Dar.
>>> > >
>>> > >Taarifa za kifo cha Padri huyo zililifikia Gazeti hili wakati tayari
>>> > mwili wake ukiwa umefikishwa katika hospitali ya Jeshi JWTZ,Lugalo na
>>> > baadaye zilithibitishwa na Askofu mkuu wa Jimbo Denis Wigilla.
>>> > >
>>> > >Padri Wigila alisema taarifa za mazishi zinafanyika chini ya familia
>>> > yake kwani tayari aliashaacha kazi ya Upadri hivyo kanisa halitahusika
>>> na
>>> > taratibu za mazishi zitakazofanyika Mkoani Kilimanjaro.
>>> > >
>>> > >Julai mwaka huu Padri huyo alitoroka n chini baada ya kuhiukumiwa
>>> > kifumngo cha miaka30 jela ambapo alikua na mashtaka matatu ikiwemo
>>> > kumlawiti motto wa kiume wa miaka17,shambulio la aibu na kumdhalilisha
>>> > mtoto huyo.
>>> > >--
>>> > >Send Emails to wana...@googlegroups.com <javascript:>
>>> > >
>>> > >Kujiondoa Tuma Email kwenda
>>> > >wanabidii+...@googlegroups.com <javascript:> Utapata Email ya
>>> > kudhibitisha ukishatuma
>>> > >
>>> > >Disclaimer:
>>> > >Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any
>>> > legal consequences of his or her postings, and hence statements and
>>> facts
>>> > must be presented responsibly. Your continued membership signifies that
>>> you
>>> > agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and
>>> Guidelines.
>>> > >---
>>> > >You received this message because you are subscribed to the Google
>>> > Groups "Wanabidii" group.
>>> > >To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send
>>> > an email to wanabidii+...@googlegroups.com <javascript:>.
>>> > >For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
>>> > >
>>> > >--
>>> > >Send Emails to wana...@googlegroups.com <javascript:>
>>> > >
>>> > >Kujiondoa Tuma Email kwenda
>>> > >wanabidii+...@googlegroups.com <javascript:> Utapata Email ya
>>> > kudhibitisha ukishatuma
>>> > >
>>> > >Disclaimer:
>>> > >Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any
>>> > legal consequences of his or her postings, and hence statements and
>>> facts
>>> > must be presented responsibly. Your continued membership signifies that
>>> you
>>> > agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and
>>> Guidelines.
>>> > >---
>>> > >You received this message because you are subscribed to the Google
>>> > Groups "Wanabidii" group.
>>> > >To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send
>>> > an email to wanabidii+...@googlegroups.com <javascript:>.
>>> > >For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
>>> >
>>> > --
>>> > Send Emails to wana...@googlegroups.com <javascript:>
>>> >
>>> > Kujiondoa Tuma Email kwenda
>>> > wanabidii+...@googlegroups.com <javascript:> Utapata Email ya
>>> > kudhibitisha ukishatuma
>>> >
>>> > Disclaimer:
>>> > Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any
>>> > legal consequences of his or her postings, and hence statements and
>>> facts
>>> > must be presented responsibly. Your continued membership signifies that
>>> you
>>> > agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and
>>> Guidelines.
>>> > ---
>>> > You received this message because you are subscribed to the Google
>>> Groups
>>> > "Wanabidii" group.
>>> > To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send
>>> an
>>> > email to wanabidii+...@googlegroups.com <javascript:>.
>>> > For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
>>> >
>>> >
>>> >
>>> >--
>>> >Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>>> >
>>> >Kujiondoa Tuma Email kwenda
>>> >wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
>>> ukishatuma
>>> >
>>> >Disclaimer:
>>> >Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any
>>> legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts
>>> must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you
>>> agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>>> >---
>>> >You received this message because you are subscribed to the Google Groups
>>> "Wanabidii" group.
>>> >To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an
>>> email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>>> >For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
>>>
>>> --
>>> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>>>
>>> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>>> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
>>> ukishatuma
>>>
>>> Disclaimer:
>>> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
>>> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be
>>> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree
>>> to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>>> ---
>>> You received this message because you are subscribed to the Google Groups
>>> "Wanabidii" group.
>>> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an
>>> email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>>> For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
>>>
>>> --
>>> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>>>
>>> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>>> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
>>> ukishatuma
>>>
>>> Disclaimer:
>>> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
>>> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be
>>> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree
>>> to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>>> ---
>>> You received this message because you are subscribed to the Google Groups
>>> "Wanabidii" group.
>>> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an
>>> email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>>> For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
>>>
>>
>>--
>>Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>>
>>Kujiondoa Tuma Email kwenda
>>wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>>
>>Disclaimer:
>>Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>>---
>>You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
>>To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>>For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
>
>--
>Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
>Kujiondoa Tuma Email kwenda
>wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>
>Disclaimer:
>Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>---
>You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
>To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
0 comments:
Post a Comment