Kwa mtaji huu lazima upande mwingine upandikize vijana wa kuleta fujo maana kushindana kwa hoja hawawezi
2014-11-11 19:00 GMT+03:00 Joseph Beda Rupia <rupia.joseph@gmail.com>:
------------ Forwarded message ----------
From: Tumaini Makene <makenet84@gmail.com>
Date: 2014-11-11 18:23 GMT+03:00
Subject: PICHA ZA MKITI MBOWE MKUTANO WA MPANDA MJINI
To: mtanzania95 <mtanzania95@yahoo.co.uk>, karedia2005@yahoo.co.uk
Cc: fidelismbaze@yahoo.comHelkopta kutua Shaulili;Helkopta inayotumiwa na Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe katika mikutano yake ya Oparesheni Delete CCM, ikitua katika Uwanja wa Shule ya Msingi Kashaulili mjini Mpanda juzi.Helkopta kuondoka Kashaulili;Helkopta inayotumiwa na Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe ikiondoka katika Uwanja wa Shule ya Msingi Kashaulili mjini Mpanda, baada ya mkutano wa hadhara wa Oparesheni Delete CCM, uliofanyika juzi.Mbowe akihutubia Kashaulili 1-2;Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe akiwahutubia maelfu ya wakazi wa mji wa Mpanda na vitongoji vyake, kayika mkutano wa hadahara wa Oparesheni Delete CCM, juzi.Mbowe kukabidhi kadi;Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe akikabidhi kadi ya chama hicho kwa aliyekuwa kiongozi wa CCM katika Ktaa wa Makanyagio mjini Mpanda, Boniphace Futakamba baada ya mkutano wa hadhara wa Oparesheni Delete CCM juzi.Mbowe kuondoka Kashaulili;Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe akiwapungia mkono wananchi wa mji wa Mpanda, wakati akiondoka katika Uwanja wa Shule ya Msingi Kashaulili mjini Mpanda, ambako alihutubia mkutano wa hadhara wa Oparesheni Delete CCM juzi.
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:
Post a Comment