Du ningewashukuru na ningeona wana akili iwapo wangejenga kwanza barabara za juu Dar ili kupunguza msongamano wa magari. Hapo ningewaona they are real good planners. Otherwise ....
--------------------------------------------
On Sun, 11/2/14, mngonge franco <mngonge@gmail.com> wrote:
Subject: Re: [wanabidii] Daraja la kuunga Dar - Zanzibar laja
To: wanabidii@googlegroups.com
Date: Sunday, November 2, 2014, 2:09 PM
Phares
Nafikiri wote tunajua faida zote hizo kinadharia hapa
kinachogomba ni practicability ya hili wazo. Wazo kama wazo
liko OK lakini mazingira yetu tunayajua sana na ndiyo maana
tuko skeptical na hizi zinazoonekana ni hadithi za kisanii.
Kwani tuliposikia habari ya Maisha bora kwa mtanzania nani
alikataa maisha bora? tatizo lilikuja pale maelezo ya
kuyaleta hayo maisha bora ilipokuwa hadithi za kalumekenge
2014-11-02 13:29
GMT+03:00 Phares Magesa <magesa@tanzaniaports.com>:
Wanabidii,
Kwa maoni yangu daraja hili linaweza kuwa na manufaa ya
kiuchumi na kijamii kwa pande zote za Muungano.
Daraja hili litaongeza ufanisi katika usafirishaji ambapo ni
dhahiri watu na bidhaa nyingi zitaweza kusafiri kwenda pande
zote kwa gharama nafuu na haraka zaidi.
Daraja hili litaongeza mahusiano na biashara zaidi kati ya
pande zote mbili kutokana a ukweli kuwa baadhi ya watu na
bidhaa ni vigumu kusafiri kwa njia ya maji au anga lakini ni
rahisi kwa njia ya nchi kavu.
Pia aliyesea litaongeza utalii yuko sahihi, kwa baadhgi yetu
tuliabahatika kutembea baadhi ya sehemu duniani tunafahamu
namna miundombinu iliyojengwa na wanadamu ambapo watu
husafiri kwenda kuangalia na hivyo kuongeza pato la jamii
husika kutokana na kuongezeka kwa shuguli za kiuchumi katika
jamii husika.
Kipindi chote cha mradi pia kitaleta manufaa ya kiuchumi,
kijamii na kiteknolojia kwa wadau wote wanahusika na mradi
ikiwa ni pamoja na jamii yote iliyoko eneo la mradi pamoja
na nchi yote kwa ujamla.
Daraja hili litakuwa na manufaa ya kiuchumi zaidi kwa
wajenzi kwa sababu watakusanya tozo hivyo kurudisha fedha
zao.
Mradi huu kama ukitekelezwa utatekelezwa kwa njia ya PPP
hivyo Serikali haitagharamia mradi huu moja kwa moja hivyo
hakuna hasara ya moja kwa moja ambayo Serikali itapata
kutokana na kutekeleza mradi kwa kuwa Serikali itaendelea na
majukumu yake ya msingi ya uwekezaji kwenye maeneo ambayo
imeweka kama vipaumbele.
Ushauri wangu tukubali kama wazo zuri na tusubiri uchambuzi
na upembuzi wa kitaalamu na wafanya maamuzi watafikia
maamuzi kwa manufaa ya wadau wote.
Hongera NSSF na wwekezaji wote mliokuja na wazo hili.
Watanzania tubadilike tuwe na mawazo chanya kuhusu
maendeleo.
Phares Magesa
Sent from my BlackBerry® smartphone provided by Airtel
Tanzania.From: Jovias Mwesiga <ngonzy@gmail.com>
Sender: wanabidii@googlegroups.com
Date: Sun, 2 Nov 2014 03:47:53
-0600To: <wanabidii@googlegroups.com>ReplyTo:
wanabidii@googlegroups.com
Subject: Re: [wanabidii] Daraja la kuunga
Dar - Zanzibar laja
Kama hawa jamaa wanataka kweli kuwa wabunifu
wapelekeeni taarifa ya kipato cha kaya iko hspa
jukwaani.
Kuna nyanja lukuki za kuwekeza na kumtoa mtanzanis katika
lindi la umasikini bila kuathirsavings za watu.
Au tulambe tusi la bwana salum la kujenga daraja lefu
wstalii waje kuangalia hahah sifa za kijinga.
Mwambieni huyo bwana hata kama aliongea tu hii joke yake
hailipi
On Nov 2, 2014 3:21
AM, "salumkango via Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com>
wrote:
Ni uwekezaji wa kitalii. Watakuja wengi kushangaa daraja
refu kupitia yote Africa. Hahahahaa. Wabongo tuko juu.
Sent from my smartphone on the new Vodafone network
'Reuben Mwandumbya' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
wrote:
>Njovu;Kuwa na Investment Director sio maana ya kufanya
vizuri,mambo yote yanayoharibika tunayoyasikia kila kukicha
yapo chini ya waangalizi hao hao i.e.
Directors,Managers,PS,Ministers n.k.Binafsi concern yangu
naona ni kamradi ka kipigaji,sio muhimu kwa wakati huu
katika kuboresha maisha ya sisi malofa.Kuna mambo mengi ya
msingi wanaweza kufanyia fedha zetu km. katika Afya na
Elimu,huku directly watayagusa maisha yetu. Reuben
>
> From: Xavery.L.K Chikatizo Njovu <njovucom@gmail.com>
> To: wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
> Sent: Saturday, November 1, 2014 1:10 PM
> Subject: Re: [wanabidii] Daraja la kuunga Dar -
Zanzibar laja
>
>Mwesiga
>Hii ni investment. NSSF wana investment
Director. Kabla hawaja announce kitu kwa public.
Huyu bwana anafanya risk analysis ya investment
hiyo. Na anaangalia kama kuna low risk au high risk kwenye
investment hiyo.Kwa NSSF ni good investment. Kwa
kasumba ya utanzania wetu ni ndoto ya mchana, Ni
kucheza na pesa ya wanachama , ni ulaji. All in All
government agency and parastal organization ndo
zinatakiwa zifanye wonders ili kuisaidia
serikali katika kujenga hospital bora africa ,
vyuo bora africa na n.k
>Regards
>
>
>2014-11-01 7:50 GMT+03:00 Jovias Mwesiga <ngonzy@gmail.com>:
>
>Ulevi mwingine si lazima kugonga funga pingu hahah
hakuna kitu kama hichoOn Oct 31, 2014 10:58 PM,
"'Reuben Mwandumbya' via Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com>
wrote:
>
>Njovu;You are right,hebu tusimulie kdg urahisi wa maisha
utapatikanaje?mana hawa jamaa wamesahau katika taarifa hii
kutuambia umuhimu wa daraja hilo ktk maisha ya sasa ya
Kibongo,au vibaka watapata unafuu wa kutubana waenda kwa
miguu mana nao ni WaTz pia. Reuben
>
>
> From: Xavery.L.K Chikatizo Njovu <njovucom@gmail.com>
> To: wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
> Sent: Friday, October 31, 2014 8:36 PM
> Subject: Re: [wanabidii] Daraja la kuunga Dar –
Zanzibar laja
>
>Hongera NSSF. " THIS IS THINK BIG
". Ni investment nzuri sana ambayo itafanya
tz kuwa moja na maisha za znz kuwa marahisi kidogo.
>
>
>2014-10-31 11:53 GMT+03:00 Emmanuel Muganda <emuganda@gmail.com>:
>
>Nadhani Dau amelewa madaraka.em
>2014-10-31 1:51 GMT-04:00 'Reuben Mwandumbya'
via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>:
>
>Comrades;Je hiki ni kipaumbele sahihi na muhimu kwa sasa
hapa Tz?Au tunatafuta opportunities za upigaji?Napita tu.
> Reuben
>
> From: Abdalah Hamis <hamisznz@gmail.com>
> To: wanabidii@googlegroups.com
> Sent: Thursday, October 30, 2014 3:02 PM
> Subject: [wanabidii] Daraja la kuunga Dar – Zanzibar
laja
>
>BAADA ya ndoto ya kuziunganisha pande mbili za katikati
ya Jiji la Dar es Salaam na Kigamboni kwa daraja lenye
umbali wa meta 680, Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii
(NSSF) linaangalia uwezekano wa kujenga daraja la kihistoria
zaidi litakalounganisha Dar es Salaam na Zanzibar.
>
>Kwa sasa, uongozi wa shirika hilo upo katika mazungumzo
na wataalamu mbalimbali ili kuangalia uwezekano wa kujenga
daraja hilo katika bandari ya Dar es Salaam kwa upande wa
Tanzania Bara na Unguja, kwa upande wa Zanzibar.
>
>Umbali kati ya Dar es Salaam na Zanzibar ni kilometa
73.43, sawa na maili 45.62 hivyo kuwapo kwa
>mradi huo ni jambo linalowezekana, kwani kuna madaraja
marefu zaidi duniani yanayounganisha upande mmoja wa bahari
na mwingine.
>
>Kwa sasa, daraja refu kabisa duniani ni lile la
Danyang–Kunshan lililopo China ambalo lina umbali wa
kilometa 165, sawa na maili 102.4. Daraja hilo lilifunguliwa
Juni mwaka 2011.
>
>Hayo yameelezwa na Mkurugenzi Mkuu wa NSSF, Dk Ramadhan
Dau wakati alipokuwa akijibu swali la Mwenyekiti wa Kamati
ya Kudumu ya Bunge ya Maendeleo ya Jamii, Said Mtanda ambaye
alitaka kufahamu kama kuna matarajio ya kujenga daraja kubwa
zaidi, ikiwezekana la kati ya Dar es Salaam na Zanzibar.
>
>Alisema wapo katika mazungumzo na wataalamu mbalimbali
ambapo mazungumzo hayo yakienda sawa, ujenzi wa daraja hilo
huenda isiwe ndoto, bali ukweli.
>
>"Hilo wazo lipo mheshimiwa na tayari tumeshaanza
mazungumzo ya awali, kwa hiyo hilo wazo lipo na sisi
tulilifikiria," alisema Dk Dau.
>
>Kamati hiyo ilifanya ziara katika miradi mikubwa mitatu
ya shirika hilo ambayo ni daraja la Kigamboni, ujenzi wa
nyumba za Mtoni Kijichi na 'Dege Eco village' ambao
una nyumba zaidi ya 7,000.
>
>Akizungumza wakati wa kuhitimisha ziara hiyo, Mtanda
alisema, kamati yake imeridhishwa na miradi hiyo ya NSSF
ambayo inaendelea huku akitaka kuongezwa kwa kasi ili
watanzania waanze kunufaika na miradi hiyo.
>
>"Muangalie na hilo la ujenzi wa daraja la kutoka
Dar es Salaam hadi Zanzibar na mradi wa makazi bora na
salama ambao utaweza kubadili taswira ya Jiji la Dar es
salaam," alisema.
>
>Alisema kamati yake isingependa kuona changamoto zozote
ambazo zinaweza kukwamisha miradi hiyo na kwamba serikali
kupitia Wizara ya Ujenzi itaangalia namna ya kuunganisha
miundombinu karibu na miradi hiyo.
>
>"Lakini pia tumesikia kuwa serikali inadaiwa na
mifuko ya hifadhi, tunashauri serikali kuilipa mifuko hii
ili kuifanya kuwa na nguvu na kuweza kuleta maendeleo,"
alisisitiza Mtanda.
>
>
> - HabariLeo: NSSF kuunganisha Dar – Zanzibar kwa
daraja
>--
>Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
>Kujiondoa Tuma Email kwenda
>wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>
>Disclaimer:
>Everyone posting to this Forum bears the sole
responsibility for any legal consequences of his or her
postings, and hence statements and facts must be presented
responsibly. Your continued membership signifies that you
agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules
and Guidelines.
>---
>You received this message because you are subscribed to
the Google Groups "Wanabidii" group.
>To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
>
>
>
> --

>XAVERY LANGA KAPECHA CHIKATIZO NJOVU
>
>0783 662681
>
>" The Poor man is not he without cent,
but he who is without a dream"

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails

For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
0 comments:
Post a Comment