Binafsi na support kujenga daraja hili,lkn sio la muhimu sana. Wapunguze misongamano mijini kwanza,waboreshe elimu,waboreshe viwanja vya ndege nk. Wa kujenga daraja hili ni serikali ya zanzibar sio mainland.
'Sylvanus Kessy' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
>Du ningewashukuru na ningeona wana akili iwapo wangejenga kwanza barabara za juu Dar ili kupunguza msongamano wa magari. Hapo ningewaona they are real good planners. Otherwise ....
>
>
>--------------------------------------------
>On Sun, 11/2/14, mngonge franco <mngonge@gmail.com> wrote:
>
> Subject: Re: [wanabidii] Daraja la kuunga Dar - Zanzibar laja
> To: wanabidii@googlegroups.com
> Date: Sunday, November 2, 2014, 2:09 PM
>
> Phares
> Nafikiri wote tunajua faida zote hizo kinadharia hapa
> kinachogomba ni practicability ya hili wazo. Wazo kama wazo
> liko OK lakini mazingira yetu tunayajua sana na ndiyo maana
> tuko skeptical na hizi zinazoonekana ni hadithi za kisanii.
> Kwani tuliposikia habari ya Maisha bora kwa mtanzania nani
> alikataa maisha bora? tatizo lilikuja pale maelezo ya
> kuyaleta hayo maisha bora ilipokuwa hadithi za kalumekenge
>
> 2014-11-02 13:29
> GMT+03:00 Phares Magesa <magesa@tanzaniaports.com>:
> Wanabidii,
>
> Kwa maoni yangu daraja hili linaweza kuwa na manufaa ya
> kiuchumi na kijamii kwa pande zote za Muungano.
>
> Daraja hili litaongeza ufanisi katika usafirishaji ambapo ni
> dhahiri watu na bidhaa nyingi zitaweza kusafiri kwenda pande
> zote kwa gharama nafuu na haraka zaidi.
>
> Daraja hili litaongeza mahusiano na biashara zaidi kati ya
> pande zote mbili kutokana a ukweli kuwa baadhi ya watu na
> bidhaa ni vigumu kusafiri kwa njia ya maji au anga lakini ni
> rahisi kwa njia ya nchi kavu.
>
> Pia aliyesea litaongeza utalii yuko sahihi, kwa baadhgi yetu
> tuliabahatika kutembea baadhi ya sehemu duniani tunafahamu
> namna miundombinu iliyojengwa na wanadamu ambapo watu
> husafiri kwenda kuangalia na hivyo kuongeza pato la jamii
> husika kutokana na kuongezeka kwa shuguli za kiuchumi katika
> jamii husika.
>
> Kipindi chote cha mradi pia kitaleta manufaa ya kiuchumi,
> kijamii na kiteknolojia kwa wadau wote wanahusika na mradi
> ikiwa ni pamoja na jamii yote iliyoko eneo la mradi pamoja
> na nchi yote kwa ujamla.
>
> Daraja hili litakuwa na manufaa ya kiuchumi zaidi kwa
> wajenzi kwa sababu watakusanya tozo hivyo kurudisha fedha
> zao.
>
> Mradi huu kama ukitekelezwa utatekelezwa kwa njia ya PPP
> hivyo Serikali haitagharamia mradi huu moja kwa moja hivyo
> hakuna hasara ya moja kwa moja ambayo Serikali itapata
> kutokana na kutekeleza mradi kwa kuwa Serikali itaendelea na
> majukumu yake ya msingi ya uwekezaji kwenye maeneo ambayo
> imeweka kama vipaumbele.
>
> Ushauri wangu tukubali kama wazo zuri na tusubiri uchambuzi
> na upembuzi wa kitaalamu na wafanya maamuzi watafikia
> maamuzi kwa manufaa ya wadau wote.
>
> Hongera NSSF na wwekezaji wote mliokuja na wazo hili.
>
> Watanzania tubadilike tuwe na mawazo chanya kuhusu
> maendeleo.
>
> Phares Magesa
> Sent from my BlackBerry® smartphone provided by Airtel
> Tanzania.From: Jovias Mwesiga <ngonzy@gmail.com>
> Sender: wanabidii@googlegroups.com
> Date: Sun, 2 Nov 2014 03:47:53
> -0600To: <wanabidii@googlegroups.com>ReplyTo:
> wanabidii@googlegroups.com
> Subject: Re: [wanabidii] Daraja la kuunga
> Dar - Zanzibar laja
> Kama hawa jamaa wanataka kweli kuwa wabunifu
> wapelekeeni taarifa ya kipato cha kaya iko hspa
> jukwaani.
> Kuna nyanja lukuki za kuwekeza na kumtoa mtanzanis katika
> lindi la umasikini bila kuathirsavings za watu.
> Au tulambe tusi la bwana salum la kujenga daraja lefu
> wstalii waje kuangalia hahah sifa za kijinga.
> Mwambieni huyo bwana hata kama aliongea tu hii joke yake
> hailipi
> On Nov 2, 2014 3:21
> AM, "salumkango via Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com>
> wrote:
>
>
>
>
> Ni uwekezaji wa kitalii. Watakuja wengi kushangaa daraja
> refu kupitia yote Africa. Hahahahaa. Wabongo tuko juu.
>
>
>
>
>
> Sent from my smartphone on the new Vodafone network
>
>
>
> 'Reuben Mwandumbya' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
> wrote:
>
>
>
> >Njovu;Kuwa na Investment Director sio maana ya kufanya
> vizuri,mambo yote yanayoharibika tunayoyasikia kila kukicha
> yapo chini ya waangalizi hao hao i.e.
> Directors,Managers,PS,Ministers n.k.Binafsi concern yangu
> naona ni kamradi ka kipigaji,sio muhimu kwa wakati huu
> katika kuboresha maisha ya sisi malofa.Kuna mambo mengi ya
> msingi wanaweza kufanyia fedha zetu km. katika Afya na
> Elimu,huku directly watayagusa maisha yetu. Reuben
>
> >
>
> > From: Xavery.L.K Chikatizo Njovu <njovucom@gmail.com>
>
> > To: wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
>
> > Sent: Saturday, November 1, 2014 1:10 PM
>
> > Subject: Re: [wanabidii] Daraja la kuunga Dar -
> Zanzibar laja
>
> >
>
> >Mwesiga
>
> >Hii ni investment. NSSF wana investment
> Director. Kabla hawaja announce kitu kwa public.
> Huyu bwana anafanya risk analysis ya investment
> hiyo. Na anaangalia kama kuna low risk au high risk kwenye
> investment hiyo.Kwa NSSF ni good investment. Kwa
> kasumba ya utanzania wetu ni ndoto ya mchana, Ni
> kucheza
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
0 comments:
Post a Comment