Monday, 9 September 2013

Re: [wanabidii] Re: NAUNGA MKONO KENYA KUJIONDOA ICC

Yona, hayo ya kujotoa ni kwa maslahi ya wakubwa na pengine na wewe
unaunga mkono Kenya kujitoa kwa vile wewe una maslahi na hao wakubwa.
Hebu firikia kiongozi anayefanya uamuzi mbaya hawezi kushtakiwa kwa
sheria tulizo nazo. Lakini ulaya walau kama kiongozi akifanya madudu
akimaliza mkono wa sheria unamfikia. Kwetu sisi ICC ndiyo kimbilio
letu. Mimi ningeunga mkono kama Kenya wangejitoa kabla ya machafuko ya
kisiasa yaliyotokea walau ningeamini wana sababu muhimu. Lakini kwa
sasa ni kutaka wakubwa wanaotuhumiwa wasiwe na kesi ya kujibu. Huwa
naangalia ICC wanavyoendesha mambo yao na niko impressed. Haiwezekani
mtu asiye na hatia aundiwe kesi na ahukumiwe kufungwa na ICC maana
wana wanasheria waliobobea kutoka nchi mbalimbali. Sasa kama tunataka
haki ionekane ikitendeka ni lazima iwe hivyo kwa wote - viongozi wetu
na raia wake. Raia mara zote wanafikiwa na mkono wa sheria. Lakini
viongozi wetu hapana na hivyo ICC ina balance mambo. AU Yona ungetaka
pia tusiwe na mahakama zetu ili raia nao wasepe mkono wa sheria na
hivyo kuleta usawa kwa wote?

On 9/9/13, Tracy John <tracykwetu@gmail.com> wrote:
> We are a Sovereign State. I will not support such decisions, We are By Law
> required to uphold Justice and Equal rights of our Country, Citizen and by
> so, on that order we can not support Kenya's decision. They have so made
> their decision through their Parliament, and if they want our support, let
> the Executive of this nation ask our representatives. We are signatories of
> the Rome Statue and have sworn to protect the lives and right of our
> people. Voting on Kenya's support it there for indicate we are a country
> that does not respect the Geneva Convention on the Bill of Rights.
>
> Be it clear that it was Kenya's themselves who made the Hague decision, It
> was their decision as well to be member of the Rome Statue, and so if they
> wish to withdraw let them go ahead and so, cause they never asked us in the
> first place that they should be signatories of the Rome Statue.
>
> Why now? If you have made crimes, and you consider our support to help you
> cover your crimes that is stupidity, only a complete idiot can do that.
>
> If you are innocent let the courts prove you not guilty. And prove to the
> people of Kenya that indeed the two accused are innocent.
>
>
> 2013/9/9 Yona Maro <oldmoshi@gmail.com>
>
>> Hata hivyo kenya Ni nchi huru kama ilivyo israel na marekani ambazo
>> haziko
>> kwenye mkataba huu wa roma na wanaendelea kudunda sasa kwanini tuweke
>> rehani uhuru wa kenya kwa nchi nyingine ?
>>
>> Na kwanini hamtaki kuongelea hilo la katiba mpya ya kenya na hili la ICC
>> ?
>>
>> Labda watuambie kuna kitu wanataka kenya .
>>
>>
>>
>> On Mon, Sep 9, 2013 at 12:35 PM, Clement Oginga
>> <cloginga@gmail.com>wrote:
>>
>>> Naam Kaka Herment, naam.
>>>
>>> Ahsante sana ; umenena ukweli. Kama ni Odinga aliyeshtakiwa bunge la
>>> Kenya halingeanza huu muswada wa kujiondoa kutoka kwenye huo mkataba wa
>>> Roma. Unavyoliita usanii, nami ninavyoliita.
>>>
>>>
>>> 2013/9/9 Herment Mrema <hmrema11@hotmail.com>
>>>
>>>> Mahakama ya ICC ni muhimu sana na inatakiwa. Kinachofanyika Kenya ni
>>>> usanii wa hali ya juu ambao umejaa unafiki, ubinafsi, na ujinga mwingi
>>>> tu
>>>> kwani hawa wabunge hawafanyi hivyo (kujiondoa kutoka ICC) kwa nia
>>>> njema.
>>>> Kama Odinga ndio aliyekuwa mahakamani hao wabunge wa Jubilee wangetunga
>>>> sheria ya kujitoa? Waafrika inabidi tuache unafiki kwani tunageuka kuwa
>>>> kituko na ndio maana hatuheshimiani na hatuheshimiwi.
>>>>
>>>> Tutafakari
>>>>
>>>> Herment
>>>>
>>>> ------------------------------
>>>> Date: Mon, 9 Sep 2013 05:04:32 -0400
>>>> Subject: Re: [wanabidii] Re: NAUNGA MKONO KENYA KUJIONDOA ICC
>>>> From: cloginga@gmail.com
>>>> To: wanabidii@googlegroups.com
>>>> CC: wanazuoni@yahoogroups.com
>>>>
>>>>
>>>> Yona,
>>>>
>>>> You have worked for the Uhuru/Jubilee campaign in Kenya so I'm not
>>>> surprised kwamba you're supporting that stupid move by the Kenyan
>>>> Parliament.
>>>>
>>>> ICC is not against Africa. It's Africa that is committing the most
>>>> Crimes Against Humanity and that's why most cases at the ICC are from
>>>> Africa. If we pull out of the ICC, we'll be back to the 1970s and 1980s
>>>> where our leaders can just slaughter us at will and then go to their
>>>> OAU/AU
>>>> annual meetings and celebrate their ubingwa.
>>>>
>>>> Africa will be making a very big mistake by quitting the Rome Statute /
>>>> ICC process.
>>>>
>>>>
>>>>
>>>>
>>>> 2013/9/9 Yona Fares Maro <oldmoshi@gmail.com>
>>>>
>>>> Tusisahau pia hapa tanzania tuko kwenye mchakato wa katiba mpya ni
>>>> vizuri kuangalia masuala ya kimataifa kama haya yaelezwe kabisa kwenye
>>>> katiba kwa maslahi ya nchi hii na watu wake - haitakuwa busara
>>>> watanzania
>>>> kushtakiwa nje ya nchi .
>>>>
>>>>
>>>> On Monday, September 9, 2013 11:49:32 AM UTC+3, Yona Fares Maro wrote:
>>>>
>>>> Ndugu zangu ,
>>>>
>>>> Pamoja na kwamba siungi mkono vurugu zilizotokea nchini Kenya mwaka
>>>> 2007
>>>> baada ya uchaguzi hii isiwe sababu ya mie kuunga mkono hii mahamana ya
>>>> kimataifa ya ICC na mkataba wao wa ROMA .
>>>>
>>>> Ndugu zetu jirani zetu wa Kenya wameamua kujiondoa kwenye mkataba huu
>>>> wa
>>>> roma na kusisitiza kwamba wakati wanaingia kwenye mkataba huo hakukuwa
>>>> na
>>>> katiba ya sasa na mambo mengi zaidi ya kikatiba hayakufuatwa kwahiyo
>>>> wameona bora wajiondoe .
>>>>
>>>> Mie naungana na wakenya naunga mkono nchi ya jumuiya ya afrika
>>>> mashariki
>>>> kuamua kujiondoa kwenye mahakama hii , inapaswa kesi zinazohusu
>>>> mwanachama
>>>> wa jumuiya zishugulikiwe na mahakama za jumuiya au zile za umoja wa
>>>> afrika
>>>> haipaswi kwenda zaidi ya hapo .
>>>>
>>>>
>>>> --
>>>> Find Jobs in Africa <http://www.wejobsafrica.blogspot.com> Jobs in
>>>> Africa
>>>> International Job Opportunities <http://www.naombakazi.blogspot.com/>
>>>> International
>>>> Job Opportunities
>>>> Jobs in Kenya <http://www.findjobinkenya.blogspot.com> Jobs in Kenya
>>>>
>>>>
>>>> --
>>>> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>>>>
>>>> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>>>> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
>>>> ukishatuma
>>>>
>>>> Disclaimer:
>>>> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any
>>>> legal consequences of his or her postings, and hence statements and
>>>> facts
>>>> must be presented responsibly. Your continued membership signifies that
>>>> you
>>>> agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and
>>>> Guidelines.
>>>> ---
>>>> You received this message because you are subscribed to the Google
>>>> Groups "Wanabidii" group.
>>>> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send
>>>> an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>>>> For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
>>>>
>>>>
>>>>
>>>> --
>>>> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>>>>
>>>> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>>>> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
>>>> ukishatuma
>>>>
>>>> Disclaimer:
>>>> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any
>>>> legal consequences of his or her postings, and hence statements and
>>>> facts
>>>> must be presented responsibly. Your continued membership signifies that
>>>> you
>>>> agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and
>>>> Guidelines.
>>>> ---
>>>> You received this message because you are subscribed to the Google
>>>> Groups "Wanabidii" group.
>>>> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send
>>>> an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>>>> For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
>>>>
>>>> --
>>>> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>>>>
>>>> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>>>> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
>>>> ukishatuma
>>>>
>>>> Disclaimer:
>>>> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any
>>>> legal consequences of his or her postings, and hence statements and
>>>> facts
>>>> must be presented responsibly. Your continued membership signifies that
>>>> you
>>>> agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and
>>>> Guidelines.
>>>> ---
>>>> You received this message because you are subscribed to the Google
>>>> Groups "Wanabidii" group.
>>>> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send
>>>> an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>>>> For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
>>>>
>>>
>>> --
>>> You received this message because you are subscribed to the Google
>>> Groups
>>> "WANAKENYA" group.
>>> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send
>>> an
>>> email to wanakenya+unsubscribe@googlegroups.com.
>>>
>>> For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
>>>
>>
>>
>>
>> --
>> Find Jobs in Africa <http://www.wejobsafrica.blogspot.com> Jobs in Africa
>> International Job Opportunities <http://www.naombakazi.blogspot.com/>
>> International
>> Job Opportunities
>> Jobs in Kenya <http://www.findjobinkenya.blogspot.com> Jobs in Kenya
>>
>> --
>> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>>
>> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
>> ukishatuma
>>
>> Disclaimer:
>> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any
>> legal
>> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must
>> be
>> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree
>> to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>> ---
>> You received this message because you are subscribed to the Google Groups
>> "Wanabidii" group.
>> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an
>> email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>> For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
>>
>
> --
> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
> ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be
> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to
> this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
> ---
> You received this message because you are subscribed to the Google Groups
> "Wanabidii" group.
> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an
> email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
> For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
>

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

0 comments:

Post a Comment